Waziri Jenista: Tusipoondoa udumavu tutakuwa na watoto wasiofanya vizuri darasani

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Waziri wa Nchi (Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Walemavu) Jenista Mhagama amesema kuna Mikoa inafanya vizuri katika Uzalishaji wa Chakula lakini kiwango cha Utapiamlo na Udumavu bado kipo juu

Akiwa Bungeni Dodoma amesema, "Mkoa wa Iringa hali bado sio nzuri, kiwango cha Kitaifa ni 40% lakini Iringa wamefika asilimia 47.1, Songwe wamefika 43.3%"

Ameongeza, "Tukijipanga vizuri kwenye kila kitu tusipoondoa udumavu tutakuwa na Watoto ambao bado hawafanyi vizuri katika masomo yao darasani"
 
Back
Top Bottom