Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.
Mtoto wa kike tamaa yake kubwa itakuwa ni kupendeza na kuwakoga wenzake. Kama atachomoa hela za kampuni itakuwa ni kwa ajili ya nguo, vikuku vya dhahabu na handbags. Mtoto wa kike kama ni mpenzi atakuwa nae mmoja na ni mara chache sana atamshirikisha katika mambo ya pesa.
Mtoto wa kiume...
Mtoto huwa anaishi kwenye maji ndani ya placental. Hujigeuza na huzoea mazingira yake. Anapozaliwa humchukua muda mfupi kuzoea hali ya duniani, kipindi hiki mtoto analia sana hasa akihisi baridi ya usiku.
Miezi mitatu mtoto anakua amepashapata chanjo za awali na ameanza kujenga adopted immune...
Kifua kikuu ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vya bakteria na huenezwa kwa njia ya hewa. Mtu mwenye maambukizi ya kifua kikuu akikohoa, kupiga chafya au kutema mate ovyo husambaza vijidudu hivyo hewani na huweza kumwambukiza mtu mwingine.
Ugonjwa huu unakingwa kwa chanjo ya kifua kikuu...
Salaam wakuu,
Watoto wengi wanaogopa Sana sindano na wengi wao hawajawahi hata kuchomwa hizo sindano zenyewe lakini wanaziogopa tu.
Yaan unakuta ukiwatajia tu neno sindano wanaanza kulia na kukimbia kwa woga.
Hivi ni kwanini?
Mimi najiuliza tu,
Nchi yangu Tanzania, inakila aina ya rasilimali ya utakachotaka, Inazo rasilimali za kila aina, ajabu hakuna chochote tunajivunia licha ya kuwepo Rasilimali nyiiingi kiasi kwamba nyingine hazijawahi kuguswa tangu dunia iumbwe..!
Najuiliza pia, Ni kwa nini Mungu alitupa Hizi...
1. Mwanangu amechaguliwa kuendelea na masomo ya kidato cha tano na sita (F. V & VI) mwaka huu 2021 Shule ya Sekondari Nyantakara katika tahususi (Combination) ya Chemistry, Biology & Geography (CBG) iliyoko wilaya ya Biharamulo mkoa wa Kagera. Hii ni shule ya serikali ya Tanzania.
2. Licha ya...
Kuna Mama Mmoja nilimkuta Kamvalisha Mwanae na nilipojaribu Kumuelimisha kwa Kumuambia kuwa huo ni 'Upuuzi' na kutaka Kumvua alinitishia kuwa nikithubutu tu nakuwa Chura Maji muda huo huo nikasalimu Amri.
Nashukuru Mungu sikuvalishwa kabisa.
Asalaam,
Ndoa yangu ilikuwa nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla...
Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mbunge wa Songwe, Philip Mulugo leo Bungeni amesema mwaka kesho serikali itashindwa kuwapeleka watoto Form one kwenye shule za serikali kwasababu mpango wa elimu bure ulianza miaka sita iliyopita hivyo watoto waliopo leo darasa la sita ni takribani 1.8 milioni...
Watoto wengi wakiafrika wamekuwa wakiamini kuwa mwenye mahusiano ni kama kosa na ni kitu kinacho takiwa kufanywa kama siri .Nadhani wazizi wengi wengi wamechangia kufanya watoto wawe hivyo ukali na kutojari hisia za watoto toka wadogo .
Lakini tofauti na wenzetu wazungu mtoto toka mdogo amekuwa...
Uzinzi/kuchepuka
Uuaji
Kujichua
Utapeli
Wizi
Kutamani mke wa jirani yakoo
Ulevi
Uongo
Ufiisadi
Na mengine.kama hayooo
Comt 0753
466675 past mzuri sana haitaji hela yakyako imwone Mungu
Habari za asubuhi wadau wa Afya, natumaini mko salama.
Niende straight kwenye mada.
Mwanangu wa kike anaumri wa miezi mi4, sasa takribani mwezi na wiki2 zilizopita alitokewa na vipele kama vi4 chini ya kwapa kuelekea mgongoni.
Vipele hivyo ni kama vimevujia damu na chaajabu havimuumi ila kama...
Mwaka 1991, Jumuiya ya Nchi Huru za Afrika (AOU) ambayo sasa inajulikana kama Umoja wa Afrika (AO), ilitangaza Juni 16 kila mwaka kuwa Siku ya Mtoto wa Afrika, ikiwa ni kumbukumbu ya mauaji ya Soweto, nchini Afrika Kusini Juni 16, 1976 ambapo polisi waliwashambulia kwa risasi wanafunzi waliokuwa...
Kumfundisha Mtoto kuhusu hatari za Mtandaoni anazoweza kukumbana nazo pamoja na namna ya kuziepuka au kuziripoti ni moja kati ya hatua muhimu kuhakikisha usalama wake
Angalia historia ya kile mtoto anatafuta mtandaoni mara kwa mara. Pia inashauriwa kuweka kifaa anachotumia sehemu ya wazi ili...
Mpaka mtoto afikishe miaka miwili + ndiyo anaweza kutambua kuwa anahitaji haja kubwa au ndogo hapa ndipo anafundishwa kujistiri.
Enzi tuna vaa magome ya miti watoto walitunzwaje ili kinyesi kisitapakae? Hali kadhalika babu zetu walihimili vipi baridi bila kuwa na mavazi?
Mshikaji alikuwa na mwanamke kwa muda kama mwaka hivi. Mwanamke anaenda analala na kusepa asubuh kwa mama yake
Yule dada wengi walikuwa wanajua tabia zake za kurukaruka. Wengi walikuwa wanasema kuwa huko mtaani kwao watu kibao walikuwa wanajilia kama utani (kuna washikaji zangu wana camp flan...
Mitandao inaweza kwa mizuri kwa watoto katika masuala mbalimbali ikiwemo ya Shule, lakini inakuja na hatari mbalimbali ikiwemo uonevu wa mitandaoni (Cyberbullying)
Wazazi wanapaswa kufahamu kile Watoto wanaona na kusikia mitandaoni, watu wanaokutana nao pamoja na taarifa ambazo Watoto wanazitoa...
Nilikuwa namfundisha mtoto wa sister mara nikafika kwenye jedwali hilo hapo chini, Sasa kila nikitafuta majibu naona chenga,dah sijui ni mimi kilaza au kitabu ndio kina shida?
Kama kitabu ndio kina shida kwanini hivi vitabu vipo mashuleni?
Hotep Hotep Wakushi wote humu ndani. Ni natumaini YANGU kuwa mu buheri wa siha muruwa kabisa.
Ama baada ya salaam amazing, dhumuni la waraka huu ni kuwashirikisha kisa cha Mama mkwe wangu na tabia yake ya ajabu awaadhibupo wajukuu zake.
Nimekuja na watoto ukweni, Nyanda za Juu Kusini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.