watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watoto Walindwe: Mtoto apigwa kama mnyama, ugomvi wangu ni huyu aliyechukua hii video anaroho mbaya sana

    Wazazi na jamii kwa ujumla hatuna budi kuwapa ulinzi watoto mahali popote pale unapokutana na tukio ambalo si la kiungwana kwa watoto, mtoto hata kama si wako ni wajibu wako kumlinda. Nimetafakari nikakosa majibu huyu aliyekuwa anachukua video hii alikuwa na roho gani? Badala ya kumuokoa mtoto...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Viti Maalum, Neema Lugangira: Sheria za kugharamia matunzo ya watoto zina changamoto

    Mbunge wa Viti Maalum Neema Lugangira amesema bado kuna changamoto kubwa kisheria kwa upande wa suala la kugharamia matunzo ya Watoto kwa Wanawake wanaoachiwa kuwalea bila msaada wa Baba. Akiwa Bungeni amehoji kama Serikali haioni haja ya kurekebisha Sheria zilizopo ili gharama ya matunzo ya...
  3. JamiiForums Tanzania Nilifadhaika sana kupata watoto wa kike tu

    Hali hii hutokea katika ndoa nyingi. Mke anazaa watoto wa jinsia moja tu mfululizo, ama wa kike au wa kiume tu. Wazazi wengi huwa wanapenda wapate watoto wa jinsia zote. Kwa sababu hiyo inapotokea wanapata watoto wa kiume tu au wa kike tu huanza kutafuta njia ya kutatua 'tatizo' hilo. Wengine...
  4. JamiiForums Tanzania Wazanzibari acheni kuwaminya Watoto visogo

    Moja kwa moja kwenye point. Wazanzibar utamaduni wenu wa kuzaa mtoto na kumminya nyuma ya kichwa ili asiwe na kisogo una hatari kubwa sababu mna disturb sehemu sensitive Sana ya ubongo wa mtoto. Mkijua pale nyuma ndio pana central processing yote ya ubongo wa mwanadamu. Ukipabonyeza wakati wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kama Wazazi wa leo ni kama huyu je, tuendelee Kuwekeza katika Elimu za Watoto wetu ili waje kuwa na Maendeleo yao na Faida kwa Taifa?

    Leo nimedokezwa kuwa Wanafunzi wa Darasa la Nne wanafanya Mtihani wa Moko sijajua kama ni kwa Taifa zima au labda ni kwa baadhi ya Shule tu. Nikiwa katika zunguka zunguka yangu nimekutana na Mzazi Mmoja wa Kike akifanya Tukio moja ambalo kutokana na kwamba namjua vyema lakini limenishtua pia...
  6. JamiiForums Tanzania Kama Mahari ni asante kwa Wazazi, kwanini Wazazi wa Mwanaume hawapewi?

    Habarini wakuu, Kuna mijadala humu imetokea inayohusiana na mahari nimeona maoni kutoka katika pande mbili (ke&me). Wanawake wanasema mahari ni kama unawashukuru wazazi wa binti kwa kumlea huyo mke sasa najiuliza kama mahali ni asante kwa wazazi je. 1. Hawa mabinti nawao wanaleta asante gani...
  7. JamiiForums Tanzania Singapore: Watoto waonekana kuathiriwa zaidi na aina mpya za Virusi vya Corona

    Mamlaka zimeonya aina mpya za Virusi vya Corona vimeonekana kuwaathiri zaidi Watoto na kutokana na hilo, masomo ya Shule zote za Msingi na Sekondari yataendelea kutoka nyumbani kuanzia Jumatano Mei 19 hadi Mei 28 ambapo Muhula utamalizika Haijawekwa wazi ni Watoto wangapi wamepata maambukizi...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wanaume wengi huwapenda zaidi watoto waliopigiwa kuliko watoto wao wa damu?

    Kuna hii nadharia imeenea sana kwenye jamii za kiafrika kuwa mtu anampenda zaidi mtoto ambae sio damu yake kwenye ndoa. Unakuta mtu ana watoto wanne, wakwanza anafanana nae, wa pili pia wa tatu anapigiwa na kinatoka kitu tofauti na yeye. Unakuta dingi jeusi kama dhambarau lakini mtoto white na...
  9. JamiiForums Tanzania Kweli ngono ya mapema hupoteza

    Saizi nimeamini kwamba ngono na vitendo vyovyote vinavyohusiana na ngono Asa ikiwa mapema humpoteza Mtu kimalengo ya baadaye, masomo, stara, hofu ya Mungu etc Hii kutokana ushuhuda wangu kabsa, nakumbuka navyoanza barehee darasa la sita / la saba, nilikuwa sio muongeaji kabisa, lakini mademu...
  10. JamiiForums Tanzania Watoto niwapeleke wapi leo Eid wakatembee hapa Dar? Nimechoka na Coco Beach

    Eid Mubarak! Baada ya kuwanunulia nguo za Eid 😃sasa niwakati wa kutafuta sehemu ya kuwapeleka wanangu kutembea Leo hii siku ya Eid. Naombeni sehemu ya kwenda maana nimechoka kila siku Coco beach tu bhana. Asanteni
  11. JamiiForums Tanzania Profesa Ndalichako: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na masomo kwa njia mbadala

    Wizara ya Elimu imesema kuwa inaandaa utaratibu wa kuruhusu wanafunzi waliobeba mimba wakiwa masomoni kuendelea na masomo kwani ni haki yao ya msingi.Haki hiyo ya msingi inatajwa kuzuiwa kipindi cha uongozi wa awamu ya tano. Profesa Joyce Ndalichako amesema haya... Kwenye upande wa watoto wa...
  12. JamiiForums Tanzania DC Msafiri apiga marufuku watoto chini ya miaka mitano kulipia matibabu

    Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri ameagiza kituo cha afya Makambako kuacha mara moja kuwatoza fedha watoto chini ya miaka mitano kwa ajili ya matibabu kwa kuwa ni kinyume na sera ya Afya. Akizungumza na kituo hiki kufuatia malalamiko ya baadhi ya wanachi wa halmashauri ya mji wa makambako...
  13. JamiiForums Tanzania Hiki anachofanya Masanja Mkandamizaji sio sahihi kabisa

    Kuna video imesambaa mtandaoni ikimuonyesha Masanja Mkandamizaji na vijana wengine nadhani ni wafuasi wake katika kanisa lake lile liko pale Leaders club. Clip inaonyesha wako ktk shule fulani nmeshindwa kujua ni shule gani exactly lakini kwa mazingira inaweza kuwa Arusha, anaonekana Masanja...
  14. JamiiForums Tanzania Shule za akademia na kudumaza kwa vipaji vya watoto wetu

    Habari za mchana wanabodi, hongera kwa waliofanikiwa kufunga mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhan mpaka siku ya leo, hakika mola yupo nanyi! Baada ya salamu hiyo napenda kutoa maoni yangu machache kuhusu hizi shule zetu zinazoibuka kila siku kwa jina english medium, kwa kweli napenda kukiri...
  15. JamiiForums Tanzania Watoto wa siku hizi hawatoi ushirikiano wa kulala na wageni vyumbani mwao

    Enzi zetu chumbani mnalala na bibi, shangazi, dada wa kazi ukiwa na bahati unaweza kuwa na kitanda chako mwenyewe. Hawa wageni wanaweza kukaa miezi sita na maisha yaliendelea. Hawa watoto wa siku hizi vyumba vyao ni kama private home. Hata mzazi huruhusiwi kuingia. Umwambie bibi amekuja...
  16. JamiiForums Tanzania Mali: Mwanamke Avunja Rekodi ya Guinness kwa Kujifungua Watoto Tisa

    Halima Cisse mwanamke mwenye miaka 25 nchini Mali ameripotiwa kujifungua watoto tisa watano wakiwa wa kike na wanne wakiume. Wizara ya Afya imesema Halima alitarajiwa kupata watoto saba ambapo alilazimika kupelekwa Morocco kwa kuwa Mali ni nvhi yenye huduma duni za afya. Kitabu cha rekodi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Watoto waokota bomu ambalo halijalipuka lililoachwa na wanajeshi waliokuwa katika mafunzo ya kivita

    Wananchi wa Vijiji vya Nyiboko, Borenga, Machanchari na Maremboto vilivyopo Kata ya Kisaka wilayani Serengeti wameliomba Jeshi la Wananchi (JWTZ) kukagua na kuondoa mabomu yaliosalia maeneo ya makazi baada ya Watoto kuokota bomu ambalo halijalipuka mara baada ya kuhitimisha mafunzo ya kivita...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanza yatajwa kuwa na watoto wabwia ugoro wengi

    Mwanza yatajwa kuwa na watoto wabwia ugoro wengi Mkoa wa Mwanza umetajwa kuwa ni miongoni mwa mikoa nchini yenye vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwemo ubakaji, ulawiti na mimba za utotoni kitendo ambacho kinatajwa kuwa ni hatari kwa ukuaji wa uchumi na kukosa nguvu kazi ya Taifa. Inaelezwa...
  19. JamiiForums Tanzania Lugha ya kiswahili itakufa? Nasikia watoto wa english medium hawakijui

    Juzi nimeona mtandaoni mama mmija akilalamika kuwa mwanae wa miaka 8 hajui vizuri kiswahili. Mwingine anasema mwanae anaongea kiswahili kama cha wahindi. Hili ni jambo zuri au ni tatizo? Hii ipo kwa kiasi gani? Kiswahili kinaenda kufa?
  20. JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya miaka 4 ya ajali ya watoto wa Lucky Vincent iliyotokea Arusha mwaka 2017

    Simanzi na majonzi kutoka kwa wazazi, walimu na wanafunzi wa St Lucky Vincent katika kumbukumbu ya ajali iliyouwa watoto 32, walimu wawili na dereva mmoja mnamo Mei 6 2017. Mamia ya watu walihudhuria katika ajali hiyo iliyo tokea mei 6,2017 katika wilaya ya Karatu mkoani Arusha ambayo iliibua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…