watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania RC Mtaka yupo sahihi. Ni kweli kabisa viongozi wetu hawana uchungu na elimu ya watoto wetu

    Pamoja na approach aliyoitumia ila alichokisema RC antony mtaka ni ukweli uliochelewa kusemwa kwa sababu ni kwa miaka mingi sana elimu yetu imekuwa ikifanyiwa siasa na kuharibiwa na viongozi tuliowapa dhamana ya kuisimamia. Mara kadhaa kumekuwa kukitolewa matamko yasiyo na kichwa wala miguu...
  2. JamiiForums Tanzania RC Antony Mtaka kumsema Waziri mbele watoto umekosea. Kama watoto wakimdharau, watamheshimu nani?

    RC Antony Mtaka kama watoto wakimdharau Waziri wetu je watamheshimu nani kumsema Waziri mbele ya watoto umekosea. Hiyo sio nidhamu waziri yupo juu yako huwezi kumsema na kuwakataza watoto wasifuate maagizo yake. Kama ulikua na nia hiyo ungesubiri umwambie kwenye mkutano wa viongozi wa serikali...
  3. JamiiForums Tanzania Wababa wanalalamika sana kutengwa na watoto wao kimawasliano hata kiuchumi. Je, shida ni nini? Wamama mnaliongeleaje hili? Watoto mnafanya haya kweli?

    Kumekua na malalamiko mengi kwenye jamii za kitanzania na kiafrika kwa ujumla mara watoto wanapokua na kuanza kujitegemea na umri wa wazazi kusogea, wototo huwa wanakua karibu na mama zao zaidi ya baba zao. Wababa wengi huumizwa na jambo hili na kujiona kutengwa na watoto wao baada ya watoto...
  4. JamiiForums Tanzania Watoto wa UVCCM watuachie chama chetu cha kutovumilia unafiki

    Alichosema na kugusia Mwenyekiti wa CCM Mwanza ndg Diallo majuzi juu ya baadhi ya mapungufu ya utawala wa Awamu ya Tano yanaungwa mkono na sisi wapenda chama. Chama ni mawazo ya wanachama na si mtu. Hivyo mtu akikosea, kuchambuliwa ni lazima na ndio kukijenga chama. Moja ya imani ya chama ni...
  5. JamiiForums Tanzania Kuliko kuajiri mfanyakazi wa ndani tuwe na utaratibu wa kuchukua watoto wa ndugu kwa nia ya kuwaendeleza

    Unakaa na mtoto kwa mkataba wa kumsomesha au kumuendeleza. Mnapanga muda wake wa kwenda shuleni au mafunzoni na muda wake wa kazi. Anaishi kama mtoto wa nyumbani, unamnunulia mahitaji yake madogo madogo. Sehemu kubwa ya mshahara unakwenda kulipia ada na Bima ya afya. Akihitimu mafunzo...
  6. JamiiForums Tanzania Watoto wawili wauawa Nzega, ng’ombe zachukuliwa

    Tabora. Watoto wawili wenye umri wa miaka kumi na mbili wameuawa na miili yao kuzikwa ndani ya nyumba baada ya kurubuniwa na kuchukuliwa ng'ombe walizokuwa wanachunga. Tukio hilo limetokea mwishoni mwa wiki eneo la Ndala wilayani Nzega usiku wa kuamkia jana Jumapili Julai 11, 2021. Kamanda wa...
  7. JamiiForums Tanzania Unalipa ada za watoto zaidi ya mamilioni, eti bia mbili tu kosa

    Wanadamu wachokozi, wazandiki na makuhani tena wanahiyana una kifua gani cha kuhoji unywaji wangu,kisa wewe hunywi. Majukumu yangu yooote huyaoni bia mbili tatu kesi
  8. JamiiForums Tanzania Tunapaswa kuwafundisha watoto wetu kuwajua maadui zetu

    Habari wadau..! Nimewaza sana kwa nn baadhi ya wazazi hawawafundishi watoto wao kuwajua maadui zao. Binafsi naona kuna umuhimu sana wa kumfundisha mtoto awajue maadui na marafiki zako ,ili kesho asije kupata matatizo kwa kutokujua adui za baba yake. Kama utamfahamisha mtoto kuwajua marafiki...
  9. JamiiForums Tanzania Wahitimu wengi wa Vyuo Vikuu vya Kitanzania hawawezi kufanya mjadala kama huu wa watoto wa shule

    Nimeangalia kwa makini sana huu mjadala na kama mtu niliyewahi kufundisha chuo nimeshangazwa sana na uwezo wa hawa wanafunzi wa Kiafrika. Kipindi wanafanya huu mjadala walikuwa ni wenye umri mdogo sana, lakini uwezo wao wa kujenga na kujibu hoja, kuzungumza lugha ngeni kwa ufasaha, ujasiri...
  10. JamiiForums Tanzania Wakati Nyerere na Familia yake (Mke na Watoto wakishiriki vita ya Kagera miaka hiyo) Marais waliofuata wanashirikiana na familia zao kutufisadi

    Nimewaza sana. Katika marais waliofuata nani angeruhusu mkewe au mtoto wake ashiriki kwenye vita kwa njia moja au nyingine? Hamna. Wanashirikiana mke na watoto/ mtoto na baba yao kutuibia mali zetu Watanzania. Kuanzisha Makampuni na kutuingiza mikataba ya Kichifu Mangungo wa Msovero. Wananchi...
  11. JamiiForums Tanzania Nilibahatika sikupitia njia hii ila najua ni njia inayowaumiza sana watoto kisaikolojia na kuwaacha na chuki kwa wazazi

    Kuna mambo yanafanyika ila athari zake huja huonekana baada ya muda mrefu sana..Ukifatilia asilimia kubwa watoto wanakuwa na migogoro na baba zao kuliko mama zao. Yaani ukisikia mtoto ana bifu na mzazi mmoja au amemtelekeza, basi asilimia 99% ya mzazi aliyetelekezwa anakuwa ni Baba. Moja kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Tabia muhimu za kuzijenga kwa watoto

    Wazazi/walezi wengi hutamani kujenga tabia mbalimbali nzuri kwa watoto lakini hujikuta katika njiapanda ya kuchagua tabia ipi waiwekezee nguvu zaidi ya nyingine. Katika kuhudumia kwangu wazazi kwa kuwapa ushauri kwa miaka zaidi ya sita sasa nimekutana na wazazi wengi ambao wanajua tabia gani...
  13. JamiiForums Tanzania Nguo za watoto grade A

    Hello nauza nguo za watoto za mtumba grade A za kike na za kiume kuanzia mtoto mchanga hadi wa miaka 4 kwa bei nzuri, Pia nauza novels za wakubwa na watoto kwa bei ya tsh 3000 kwa novel 1(3000@1) na novel 2 kwa tsh 5000(5000@2)nkwaapatikana dsm maelezo zaidi, maswali au mawasiliano yangu Karibu pm
  14. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Uduni wa maisha wapelekea wasichana kuozeshwa kwa sukari na majani ya chai

    Nimestaajabu sana kusikia taarifa hii kutoka katika mkoa ambao kila siku humu JF wanajinasibu kuwa ni mkoa wenye neema na tajiri. Katika kipindi cha magazeti EFM nimesikia habari hii ya kufedhehesha kuwa wazee mkoani humo wamepigika hawana hata mia mbovu hivyo akijitokeza kijana mwenye sukari...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada kunitajia movie ambazo sitakiwi kuangalia na watoto

    nilizoea kuishi mwenyewe..ila kwa sasa kuna watoto flan nitakuwa nao..so kwa vile mm ni mdau wa movie sana muda wote...naomba majina ya movie ambazo sitakiwi kuweka kwenye folder/flashdisk au dvd ,zile ambazo zina kwich kwich sana...maana hawa watoto wataharibika bure..
  16. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kama una biashara na unataka kuwaachia watoto wako wasimamie, masuala ya fedha muachie mtoto wa kike

    Mtoto wa kike tamaa yake kubwa itakuwa ni kupendeza na kuwakoga wenzake. Kama atachomoa hela za kampuni itakuwa ni kwa ajili ya nguo, vikuku vya dhahabu na handbags. Mtoto wa kike kama ni mpenzi atakuwa nae mmoja na ni mara chache sana atamshirikisha katika mambo ya pesa. Mtoto wa kiume...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kufundisha watoto kuogelea kuanzia miezi mitatu

    Mtoto huwa anaishi kwenye maji ndani ya placental. Hujigeuza na huzoea mazingira yake. Anapozaliwa humchukua muda mfupi kuzoea hali ya duniani, kipindi hiki mtoto analia sana hasa akihisi baridi ya usiku. Miezi mitatu mtoto anakua amepashapata chanjo za awali na ameanza kujenga adopted immune...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Yajue magonjwa yanayozuilika kwa chanjo kwa watoto (Sehemu ya Kwanza)

    Kifua kikuu ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vya bakteria na huenezwa kwa njia ya hewa. Mtu mwenye maambukizi ya kifua kikuu akikohoa, kupiga chafya au kutema mate ovyo husambaza vijidudu hivyo hewani na huweza kumwambukiza mtu mwingine. Ugonjwa huu unakingwa kwa chanjo ya kifua kikuu...
  19. JamiiForums Tanzania Ni kwanini watoto wanaogopa sindano?

    Salaam wakuu, Watoto wengi wanaogopa Sana sindano na wengi wao hawajawahi hata kuchomwa hizo sindano zenyewe lakini wanaziogopa tu. Yaan unakuta ukiwatajia tu neno sindano wanaanza kulia na kukimbia kwa woga. Hivi ni kwanini?
  20. P

    JamiiForums Tanzania Umasikini wetu umesababishwa na wingi wa Rasilimali tulizonazo?

    Mimi najiuliza tu, Nchi yangu Tanzania, inakila aina ya rasilimali ya utakachotaka, Inazo rasilimali za kila aina, ajabu hakuna chochote tunajivunia licha ya kuwepo Rasilimali nyiiingi kiasi kwamba nyingine hazijawahi kuguswa tangu dunia iumbwe..! Najuiliza pia, Ni kwa nini Mungu alitupa Hizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…