watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuchapa watoto hovyo ni tabia za watu maskini wenye msongo wa mawazo

    Habari!. Watoto wa matajiri hufanikiwa zaidi kwakuwa ni watoto wanaokua kwa furaha. Wazazi wao ni marafiki zao. Mtoto hahitaji majumba ya ghorofa, hahitaji magari ili afurahi. Anahitaji kupendwa na kupewa vizawadi vidogovidogo kabisa. Uswahili watoto wanadundwa sana , wanakaripiwa sana na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa kike siku hizi wanapiga sana picha za utupu?

    Wasalaam Imekuwa kama fasheni sasa watoto wa kike hasa vyuoni kupiga picha za utupu either wakiwa na wapenzi wao au wao kwa wao. Na hii imeleta usumbufu mkubwa kwa wazazi na familia mara tu zinaposambaa hizi picha. Wazazi tatizo ni malezi au ndo utamaduni wetu unayumba. Niliwahi kwenda India...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Wazazi wavamia shule wakidhani watoto wanachomwa chanjo ya COVID-19

    Picha: Baadhi ya Wazazi wakiwa katika Shule ya Msingi Imanga Wazazi wa watoto wanaosoma Shule ya Msingi Imanga katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, wamezuka shuleni hapo kwa madai ya kuhoji sababu za wanafunzi kupewa chanjo dhidi ya corona bila kupewa taarifa. Hata hivyo...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UN: Watoto 620,000 wanaougua UKIMWI Afrika hawapokei dawa

    Ripoti moja ya Umoja wa Mataifa inasema watoto katika bara la Afrika wanatelekezwa linapokuja suala la matibabu yanayohusiana na virusi vya ukimwi VVU. Ripoti moja ya Umoja wa Mataifa inasema watoto katika bara la Afrika wanatelekezwa linapokuja suala la matibabu yanayohusiana na virusi vya...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Njombe: Wananchi wataka wanaotupa watoto kuchukuliwa hatua

    Wakazi wa Kijiji cha Matiganjola wilayani Njombe wameiomba Serikali ya wilaya kufanya oparesheni ya kuwasaka wazazi wanaotelekeza watoto wao na kuwachukulia hatua kutokana na kukidhiri kwa vitendo hivyo. Wamesema hayo leo Agosti 8, 2021 katika mkutano wa hadhara wa mbunge wa Lupembe, Edwin...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kama jamii, tuwajenge watoto wetu wawe na mwelekeo wa maisha tangu wakiwa wadogo

    Nilikutana na mhandisi kutoka Iran, amepata scholarship ya kusoma shahada ya uzamili Ulaya. Katka maongezi yetu nilimuuliza ni kwanini madaktari na wahandisi wengi wanatoka Iran, Syria Egypt nk? Alinijibu kuwa katika jamii yao wamejengwa kufikia hapo. Yaani ukiwa na familia tangu watoto...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania UNICEF: Janga la Corona ni changamoto kwa watoto masikini kupata elimu

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la UNICEF, Mtoto mmoja kati ya wanne ndiye mwenye kutumia Vifaa vya Kidigitali na Mtandao. Imeelezwa, Familia nyingi zimeuza mali zao au kuchukua Mkopo ili kununua Vifaa hivyo na kuwawezesha Watoto wao kuendelea na Masomo wakati huu wa Ugonjwa...
  8. Uchumi wa Mifugo

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mimba za utotoni ni "kaburi" la ustawi wa Watoto wa Kike nchini

    Amina (siyo jina halisi)mwanafunzi wa kidato cha tatu katika mojawapo ya shule za sekondari wilayani Kibaha mkoa wa Pwani kila siku anaamka saa 11 ili awahi kwenda shule,shule iliyopo umbali wa kilometa sita kutoka nyumbani kwao.Kila siku anaenda na kurudi kwa miguu, nyumbani hapati kifungua...
  9. Hermenegild sulle

    JamiiForums Tanzania Walimu na ualimu: Jamii ina mchango mkubwa katika malezi na makuzi ya vijana wetu

    Elimu bora ni hazina ambayo wazazi wenye uelewa hujivunia wanaposhuhudia imewakomboa kupitia kwa watoto wao. Wazazi wa namna hii hutambua ili kufanikisha utume huu, wanajukumu la kuwa walimu wakwanza kwa kuonyesha mfano bora kupitia imani na maisha yao. Katika hali hii watoto wanakuwa ni kioo...
  10. Charles Bakari

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tuwatambue watoto wa nje ya ndoa kwani ni damu zetu na tujitahidi kuwa waminifu katika ndoa zetu na mahusiano yetu

    Nakusalimu kwa sauti kubwa ukapate kunisikia sikioni mwako,sina ukamilifu wa kutosha ila moyo unaniuma sana kuhusiana na ghazabu wanazozipata watoto wa nje ya ndoa Mtoto wa nje ndoa ni yupi? “Aliyezaliwa kabla ya baba na mama hawajaoana,alizaliwa bila ndoa na baadaye mzazi mmoja akaoa ama...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nauza nguruwe watoto na wakubwa kwa wanaohitaji wa kufuga

    Habari wakuu, Mimi ni mfugaji wa nguruwe napatikana Mwanza, nauza nguruwe watoto na wakubwa kwa wanaohitaji nguruwe wa kufuga, mbegu bora kabisa. Karibuni sana 0719832015
  12. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa mazoezi na faida zake kwa watoto wenye changamoto ya ulemavu wa akili

    Ulemavu wa akili: Ni ile hali ya mtu kushindwa kutumia viungo vyake sawasawa na kushindwa kutumia akili yake sawasawa kutokana na athari ya ubongo wake.Sababu za ulemavu zinaweza kutokea katika nyakati kuu tatu ambazo ni. (a)Kabla ya Kuzaliwa. (b) Wakati wa kuzaliwa. (c) Baada ya kuzaliwa. (A)...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wanaume kulialia kisa mapenzi nini shida?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wanaume kulilialilia mapenzi, hivi ni dalili udhaifu baadhi yetu tulionao na kukosa uanaume ndani yetu? Guys sometimes tujikaze na kumuacha aende bila kukupesa macho kuliko kusubiri kuja kulialia humu, hata kama unampenda jikaze kiume muonyeshe msimamo na muache...
  14. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Malezi: Watoto kuharibu vitu

    Wasalaam Wakuu!. Watoto ni baraka kubwa sana na kila mzazi angelipenda kuwa na watoto ili kujenga familia yenye furaha na amani. Watoto ni faraja kubwa sana kwa wazazi lakini muda mwingine ni changamoto sana. Je, umewahi kukutana na changamoto ya watoto kuharibu mali na vitu vya thamani katika...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi/walezi waliotuchapa viboko vya uhakika leo wanatuzuia na kawatetea tunapowachapa watoto wetu?

    Kuna muda huwa nakaa na siwaelewi Wazazi (Walezi) wetu ambao wakati akina GENTAMYCINE tukiwa Watoto miaka ya mwanzoni mwa 80 walikuwa wakituchapa Bakora (Mboko) tena za Kishalubela (Kikatili) ili watunyooshe Kitabia na Kimaadili ndiyo hao hao Leo hii nasi tukiwanyoosha Wajukuu zao (Watoto wetu)...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kuvalishana pete za uchumba ni lazima kuwe na wageni waalikwa pamoja na sherehe?

    Hello wakuu. Nina mpango wa kumvisha pete mtarajiwa wangu. Swali langu ni je, lazima kualika watu au naweza kumuita ghetto tu nikamvalisha na mchezo ukaisha?
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Masauni aagiza GBT kudhibiti ushiriki wa watoto michezo ya kubahatisha

    Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, ameiagiza Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) kuhakikisha inadhibiti ushiriki wa Watoto chini ya miaka 18 katika michezo ya kubahatisha na kuandaa mkakati na mapendekezo kwa Serikali ya namna ya udhibiti huo kutokana na...
  18. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa anaweza kurithi mali ya mama yake aliyefariki akiwa ndoani na baba mwingine ikiwa baba ndio aliwakuta mtoto na mama?

    Wakuu naomba kuuliza hili swali? Mtoto wa nje ya ndoa anaweza kurithi mali ya mama yake aliyefariki akiwa ndoani na baba mwingine? Ikiwa baba ndio aliwakuta mtoto na mama wanajitegemea Iko hivi wakuu Ikiwa mama anaishi na mtoto wake baada ya baba mtoto kufariki, wakawa na maisha yao ya...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Wazazi na mfumo wa malezi

    Wazazi ni watu muhimu sana kwani wao ndio chanzo cha watoto ambao ndo utajiri wa Mungu, lakini haimaanishi kwamba kila wasemacho, wafanyacho na waamuacho ni sawa kwa sababu huwa wana tabia ya kuamulia vitu watoto hao ambapo ni jambo zuri ila endapo amuzi ni sahihi. Malezi ya mtoto huonyesha...
  20. Emmanuel Nelson

    JamiiForums Tanzania SoC01 Bima ya Afya bure kwa watoto Vijijini - Mapendekezo yangu

    Kwa mujibu wa sheria zetu, mtoto ni mtu yoyote mwenye umri chini ya miaka 18. Bima ya afya ni mfumo unao muwezesha mtu kupata matibabu pasipo kuwa na fedha taslimu pindi apatapo ugonjwa fulani. Mara kadhaa tumeshuhudia kwa kusikia, kuona ama kusoma kupitia vyombo mbalimbali vya habari/mitandao...
Back
Top Bottom