Habari za leo wana Jf.
Hakika ni ijumaa njema yenye baraka.
Hivi karibuni nimefika eneo moja la michezo ya watoto hapa jijini.
Awali lilikuwa limefungwa kwa ajili ya ukarabati kwa sasa wamefungua.
Eneo hilo lilikuwa lina maeneo matatu.
Eneo la kwanza unalipia kuna farasi magari na midoli...