Serikali imebaini baadhi ya watumishi wa umma wanatumia njia za udanganyifu na nyaraka za kughushi mtandaoni, ili kufanikisha uhamisho wa vituo vya kazi pasipo kuridhiwa na mamlaka husika.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema...
Rais Samia amemsifu Waziri Mchengerwa kwamba kafanya kazi nzuri sana kwenye Wizara alizopita ndio maana amemhamishia Tamisemi Ili akasimamie kivumbi Cha mwakani yaani uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani anajua anaweza.
-
"Kwa mfano Mchengerwa nilipompeleka utumishi mwanzo kaingia na kasi kelele...
Kosa la kuruhusu mkataba kuvuja na wasiotakiwa kuuona limeshafanyika na gharama ya kujitetea zimekuwa kubwa kwa upande wa serikalini. Mijadala imekuwa ni mingi kutoka kwa watu wa kada mbalimbali juu ya masuala ya kisheria.
Nani alivujisha siri za serikali? Wahusika wanajuana na wameshaiona...
Katika miaka michache niliyowahi kufanya kazi katika jamii, nimegundua na kushuhudia namna WATENDAJI wa serikali wanavoihujumu serikali na nchi yao kwa kupokea rushwa.
Hili linajidhihirisha katika mikoa ya Tabora, Shinyanga na Simiyu ambapo watoto wengi huachishwa shule kwaajili ya kuchunga...
Nimekua nikifuatilia sana majukumu ya watendaji wa kata na mtaa hasa wa mtaa wana changamoto kubwa sana hasa waliopo Dar es salaam.
Sikatai kuna wengine hawana maadili lakini wengi wanakumbana na changamoto sana hasa kwenye kazi zao.
Leo nitazungumza kuhusu mauziano ya ardhi hapa Kuna ulazima...
WAZIRI MHAGAMA AKABIDHI VITENDEA KAZI KWA WATENDAJI WA CHAMA (CCM) PERAMIHO
Watendaji wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Peramiho wamehimizwa Kuendelea kushirikiana katika kusimamia utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi na kuhakikisha Miradi ya maendeleo inafanikiwa na kutoa huduma sawa sawa kwa...
Mamlaka za maji nchini zina kiburi sana, hakuna nidhamu ya watendaji. Miradi ya maji wanapiga, kuunganisha watu maji awataki, wanabambikia wenye maji bili, ukienda ofisini kwao hakuna anayekuchukulia kama mteja kila mtu yupo busy na masuala yake, wengi wana elimu ndogo ya uchumi na hivyo...
Kesi itakayotolewa uamuzi Leo ni kesi iliyofunguliwa na Mwanaharakati Bob Chacha Wangwe dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inapinga Vifungu vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi ambavyo vinaruhusu wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi, ikidiwa kuwa 'makada wa Chama Cha Mapinduzi'...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Serikali za Mitaa.
Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi mpya pamoja na kuwahamisha vituo vya kazi baadhi ya Makatibu...
Wewe Mwenyewe kwa kutaka Sifa kwa tuliokuwa tukikusikiliza na kumuonyesha aliyekuwa Juu yako alikuwa hafai ulisema hutokuwa Mkali na Bandidu na utatudekeza sasa leo unalialia nini kuwa Unadharaulika na Watendaji wako tena uliowateua Mwenyewe?
Wenye Akili Kubwa hapa tunaona unatupigia tu Kelele...
MBUNGE JANEJELLY NTATE AHOJI KULIPWA POSHO ZA WATENDAJI WA KATA
Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amehoji Bungeni kuhusu watendaji wa Kata wanaolipwa na wasiolipwa posho ambapo swali lilijibiwa na Naibu Waziri TAMISEMI Mhe. Deo...
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi nchini Veta, licha ya kuwapatia Watanzania elimu ya ujuzi kama nia na dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, na kuwezesha wananchi, hasa vijana kuajirika kwa urahisi, kuongeza tija ya uzalishaji viwandani na...
Itakumbukwa 28 Machi, 2023 kulikuwa a mechi baina ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda (Uganda the Cranes) kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Siku hiyo umeme ulikatika wakati mechi hivo inaendelea katika Uwania wa Benjamin Mkapa...
kukatika kwa umeme
kukatika umeme
lawama
meneja
mkapa
radhi
saba
serikali
tanesco
umeme
uwanja
uwanja wa mkapa
uwanja wa taifa
viongozi
wasimamishwa
watendaji
watumishi
yanga
Tunapenda kuchagua viongozi ambao wanaweza kuongea vizuri na kuahidi mambo mengi, lakini hatujali sana kuhusu uwezo wao wa kutekeleza ahadi hizo.
Uongozi ni vitendo na utekelezaji wa mipango. Viongozi wa kweli wanafanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha mipango yao inafanikiwa na wanajitahidi...
Nampongeza Mhe. Rais Kwa ukali anaouonyesha Kwa vitendo na kwakuzingatia ethics za utumishi na Mila zetu.
Ila napata wasiwasi pale ambapo Makatibu wakuu waliochemsha wanapopewa nafasi yakujibu tena hoja; NI approach nzuri hasa Kwa wanaoamini kama Mimi kwamba report ya CAG imejaa Sana hoja za...
Huku ndiko kwenye mashina ya wananchi, ndipo wanapokutana na wananchi moja kwa moja kutatua changamoto zao. Kama vile migogoro ya ardhi, familia na kimkataba.
Lakini serikali inatuletea mabinti wadogo wadogo, kweli kuja kusikiliza migogoro ya ndoa, familia na kiuchumi kweli? Wanasikiliza na...
Sijui kama ni Mimi peke yangu ndiye simwelewi DCI Kingai au ni watu wengi? Matukio ya Uhalifu yameongezeka Sana siku za hivi karibuni. Polisi kutunishiana misuli na raia limekuwa Jambo la kawaida lakini kibaya zaidi NI kuongezeka Kwa matukio ya Askari kufanya mauaji Kwa raia kizembe wakati...
Kwako Mhe.Rais wa JMT,
Nakusalimu kwa jina la JMT...kazi iendelee.
Awali ya yote ninapenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutujalia afya njema na tumeweza kufika muda na wakati kwa neema zake Mwenyezi Mungu.
Pia, nichukue nafasi hii kukupongeza kwa utendaji kazi uliotukuka na...
Februari 24, 2023 Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva akiambatana na uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa ameshiriki zoezi la ugawaji wa pikipiki kwa Maafisa Watendaji wa Kata nane ambazo zimetolewa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Wakati wa zoezi hilo Mkuu wa Wilaya amemshukuru Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.