Kila kinachoendelea Tanzania Rais ndiyo anayetoa maamuzi na amri kuanzia kupandisha bei za mafuta, umeme, kukamata raia kuwaweka rumande na kuwaachia pia kama akina Mbowe, Sabaya & Co. mpaka hili la kufukuzwa kwa Watanzania kwenye ardhi yao kwa mitutu ya Bunduki ni rais ndiyo anafanya siyo...
Habari!
Yaani bila aibu Mtanzania, mtendaji wa kata, mtaa na wilaya anaomba rushwa kwa vijana walioomba nafasi za kuhesabu watu.
Hii ni aibu na ukatili mkubwa.
Kijana ambaye hana ajira unathubutu vipi kumwomba rushwa ili apate ajira?
Naamini sio wote wanaofanya huu uhuni ila nimefanya...
Watu 12 wakiwamo Watendaji wa Serikali za Mtaa, wamekamatwa wakidaiwa kuiba chupa 434 za dawa za kuua wadudu wa pamba, zilizotolewa na Serikali kwa wakulima wa zao hilo katika Kata ya Nyakabindi, Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu.
Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa Wilaya ya Ulinzi na...
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi amewaonya watendaji wa Mamlaka ya Maji Vijini (RUWASA) katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, akiwataka kuacha mara moja tabia ya kuchafuana kwa lengo la kusaka madaraka.
Amewataka wafanye kazi kwa pamoja kuhakikisha miradi ya...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka watendaji wa Serikali kuwa wabunifu na kuja na njia mbadala ya kutafuta fedha nje ya Bajeti ya Serikali, ili kufanikisha utekelezaji wa mipango ya Serikali.
Dk. Mwinyi amesema hayo katika Ufunguzi wa Mafunzo...
Watendaji wengi ambao hayati Magufuli alikuwa akiamka ama usiku wa manane akiwafurumusha hatimaye wengi wanarejeshwa kwa kasi tena wakipanda vyeo maradufu. Kwa uchache
1. Lawrence Mafuru alifurumushwa kutoka msajili hazina kwa kupinga kuwa hakuna mkurugenzi anayelipwa milioni 15. Leo...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, ameagiza watendaji wa Vijiji na Kata walioshindwa kufikia kiwango cha ukusanyaji wa mapato ya ndani kupangiwa kazi nyingine.
Homera ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani mara baada ya Uongozi wa Halmashauri kutangaza...
Ninaitwa JEROME ERNEST MMASSY ni mkazi wa kata ya Olasiti jijini Arusha.
Wakati Mh.Rais Magufuli akizindua mradi mkubwa wa maji jijini Arusha nililazimika kuacha kazi zangu zote za siku ile na kuungana naye katika hafla ile nikijua tumepata ukombozi ndani ya jiji la Arusha.
Pamoja na kuwa...
CCM YAJIFUNGIA SIKU TATU KUWAPIGA MSASA WATENDAJI WAKE
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ndugu Philip Japhet Mangula Leo Novemba 03 amefungua Mafunzo ya Makatibu wa Mikoa Na Wilaya Nchi Nzima katika ukumbi wa H/KUU Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.
Pamoja na Mambo mengine ya msingi lengo...
Nawasalimu sana kwa jina la JMT yetu pendwa!
Baada ya mheshimiwa raisi kuagiza fedha za IMF kwenda kwenye elimu na kujenga madarasa ili watoto wa kidato cha kwanza mwakani wasipate tabu ya kusubiri, na TAMISEMI kazipangia bajeti na kuzigawa, kazi imeanza huku chini (wilayani). Viongozi...
Viongozi wa Bavicha waliokuwa wanaelekea Ukerewe wameshindwa kupata huduma ya kivuko kwa sababu za uongo kwamba kivuko ni kibovu .
Jambo hili la kishamba ni marudio ya ukakasi uliofanyika wakati wa kampeni za urais wa mwaka 2020 , ambapo Mgombea aliyependwa kuliko wote Tundu Lissu alifanyiwa...
Wana Jf
Kukatika hovyo kwa umeme ni iShara mbaya sana kwa Wazir J.Makamba, huenda wafanyakazi wanamjaribu au aliowaingiza hawana uweledi wa viongozi, jana watu walishindwa kununua umeme, vijana mnaosema wajiajiri wamekosa pesa.
Siku mzima hawakufanya kazi, leo mkoa wa kagera na sehemu fulani...
1. Waziri mkuu..alitaka UDART waachane na ticket za vishina...mpaka Leo vishina vinaendelea kama Kawa.
2. Mkuu wa mkoa wa Dsm- Nahisi huyu sijui wanamchukuliaje maana anamatamko mengi sana mpaka mengine nimeyasahau..moja wapo kubwa ni la Wamachinga...hapa kauli zake (yake) huwa hazisikilizwi...
Serikali inajitaihdi sana kutoa mafungu mbalimbali ya fedha kwa ajiri ya maendeleo vijijini. Bahati mbaya zile hela mara nyingi vijiji huingiziwa na serikali bila ya kutoa muongozo wa matumizi. Serikali inaamini vijiji vina matatizo mengi, nikweli vijiji wanahitaji fedha nyingi kukamilisha...
Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.
Source: ITV Malumbano ya Hoja
TCRA walituambia baada ya usajiri wa alama za vidole utapeli wa tuma fedha kwenye namba hii utaisha kwani watu hao itakuwa rahisi kuwatambua.
Kitu za kushangaza hili suala bado linaendelea, TCRA na makampuni ya simu yanashindwa nini kuzifunga hizi line ikiwa ni pamoja na kuwakamata hawa jamaa...
Baada ya Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli kuonyesha Chuki zake alizokuwa amezihifadhi dhidi ya aliyekuwa Mtendaji Mwenzake Afisa Uhamasishaji Antonio Nugaz kuna yaliyojiri huko.
Najua Watu wengi mnashangaa na Kujiuliza ni Kwanini Msemaji wa GSM Yanga SC Haji Manara kuelekea Mechi ya Watani wa...
VIONGOZI NA WATENDAJI WA CHAMA NA SERIKALI SHUGHULIKENI NA CHANGAMOTO ZA WANANCHI
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amewaeleza viongozi na watendaji wote ndani ya chama na Serikali kushughulika na changamoto za wananchi badala ya kukaa ofisini.
Shaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.