watendaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Watendaji waaswa kutatua kero za Wananchi

    Katika kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kikamilifu na wananchi wanapata huduma stahiki, Serikali imewataka watumishi wa umma kuhakikisha wanasimamia ipasavyo mapato ya ndani na kushughulikia changamoto za wananchi katika maeneo yao Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro,Kiseo Yusuph...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Magdalena Rwebangira ametoa wito kwa Watendaji wa uchaguzi kuzingatia sheria, kanuni na miongozo

    Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Magdalena Rwebangira, ametoa wito kwa Watendaji wa Uchaguzi kuhakikisha wanafuata kwa umakini Katiba, sheria, kanuni na miongozo yote inayosimamia mchakato wa uchaguzi nchini Akizungumza akiwa Tabora wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Watendaji wa...
  3. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Mtendaji wa kata ama kijiji anapaswa kuwa na degree ya utawala, au sheria ama associate degree kwa mambo ya uongozi. Siyo hawa watoto wenye vyeti

    Hivi kuna tatizo gani kwenye vichwa vya viongozi wetu? Yaani leo hii unaajiri mtendaji wa kijiji ama mtaa mwenye elimu ya kidato cha nne na cheti cha taaluma alichosomea mwaka mmoja ama miwili ? Halafu huyo mtu anakwenda kumsimamia mkuu wa shule mwenye shahada moja ama shahada ya uzamivu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kipengele kipya cha Anuani ya Makazi (NaPA) katika Fomu ya Mkopo wa HESLB hakieleweki kwa Watendaji wengi, HESLB itoe elimu

    Kwenye uombaji wa mkopo kuna kipengele kipya cha kuweka National physical address (NaPA) hiki ni kipengele kipya kwa waombaji Mwaka 2025. Tatizo kimetolewa bila maelekezo yoyote na Wadau wanaohusika na utoaji wa hizo reference number ambao ni Watendaji wa Vijiji na Mitaa hawajui chochote...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Vijana wanakwama baada ya masomo sababu Taasisi za Elimu ya Juu zinazalisha Wasimamizi badala ya Watendaji

    Licha ya juhudi zilizofanyika, Tathmini ya Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana (2007) iliyofanyika mwaka 2022 imebaini kuwepo kwa vijana wenye ujuzi usioendana na mahitaji ya soko la ajira. Mathalani, vijana wengi wana sifa za viwango vya chini vya ujuzi ngumu na tepe. Takwimu za...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina: Misimamo yangu mikali ya kusimamia haki za wananchi na kufichua ubadhirifu imemletea upinzani na chuki

    Luhaga Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa na mmoja wa wanasiasa wachache wanaojitambulisha kwa ushujaa wa kusema ukweli, amekuwa akijihusisha na harakati mbalimbali za kupigania haki, uwajibikaji, na uwazi ndani ya utumishi wa umma. Uthubutu huu wa kukemea maovu bila uoga umemuingiza kwenye...
  7. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Heshimuni Haki ya kusikilizwa kabla ya kuadhibu Art. 13(6)(a) Katiba

    Kuna matukio mengi tangu mwaka 2015 through 2020 hadi sasa ya wateuliwa wa serikali wanaolipwa mishahara ya kodi zetu, wanapotoa maamuzi yanayoathiri hatima ya mtu au kikundi, wanasahau kuwa lazima wazingatie haki ya kusikilizwa ambayo ipo kwenye Ibara ya 13(6)(a) ya Katiba ya nchi yetu. Ibara...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule kutofungwa wakati wa likizo ni udhaifu wa Kamishna wa Elimu na watendaji wake

    Miaka ya hivi karibuni kumekua na tabia imeibuka na imeota mizizi ya kuwanyima wanafunzi haki yao ya kupumzika wakati wa likizo.Shule nyingi zimekua haziwapi likizo wanafunzi mpka mwezi wa 12. Hii ina maana wanafunzi wanasoma mwaka mzima bila kupumzika.Tabia hii ilianza kwa shule binafsi hasa...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️"

    Hii Nchi inahitaji katiba Mpya. CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️" Ndugu yangu Nimemuuliza kulikoni? Akajibu ni Maelekezo. Je hii ni haki? Watanzania tushakubaliana neno la taifa ni No reforms no Election.
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi Idara ya Usalama wa Taifa ya Kisiwa maarufu cha 'Puerto Rico' Watendaji wake WANACHUKIANA mno na kuna MPASUKO mkubwa sana?

    Na chuki kubwa inasemekana ni kwa miaka takribani Mitatu Minne hivi 75% ya Watendaji wa Idara hiyo kutokea Mji wa Ponce anakotoka Rais na siyo Mji Mkuu wa San Juan. Na taarifa ambazo Mtanzania Mimi GENTAMYCINE niliye na Marafiki huko Kisiwani Puerto Rico nilizonazo ni kwamba CHUKI hii kubwa na...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mbunge ahoji kwanini wenye diploma hawaajiriwi kuwa watendaji wa vijiji

    Mbunge wa Mbulu Vijijini (CCM) Flatei Massay amehoji kwa nini Serikali haiwaajiri wahitimu wenye Diploma kuwa Watendaji wa Vijiji. Akiuliza swali leo Mei 22,2025 bungeni Dodoma Mbunge huyo amehoji kwa nini Serikali haiwaajiri wahitimu wenye Diploma kuwa Watendaji wa Vijiji. Akijibu,Naibu...
  12. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je watendaji wetu wanapofanya kitu ni kwa sababu ya rais, serikali au taifa?

    Si nadra kusikia watendaji wa umma wakisema "rais amefanya, ametoa, anataka, hataki,' na mengine mengi. Je watendaji wetu wapo kwa ajili ya rais au taifa? Je wanafanya wafanyayo kwa sababu ya hisani, mapenzi, au utashi wa rais au matakwa ya sheria za nchi? Je rais wetu ni sheria na yuko juu ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hawa watendaji wa mitaa na kata wana mamlaka haya?

    Msaada tutani. Kumfungia mtu ofisini kama selo kama anadaiana na mtu,au hajatekeleza jambo fulani na kumuacha humo bila huduma muhimu mf choo?
  14. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali Iweke Msisitizo wa Kuajiri Vijana Wenye Degree Kuwa Watendaji wa Vijiji na Mitaa.

    Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira kwa vijana wenye elimu ya juu, hasa wale waliomaliza degree katika vyuo vikuu. Wakati huo huo, nafasi za watendaji wa vijiji na mitaa mara nyingi hupewa wahitimu wa vyeti badala ya wahitimu wa shahada. Hii ni hali inayoshusha thamani...
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mwitikio wa wanaojiandikisha NIDA Wilaya ya Uyui ni mkubwa lakini Watendaji na Vifaa havitoshi

    Zoezi la uandikishaji Wananchi kwa ajili ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) limefanyika katika Kata ya Goweko huku kukiwa na mwitikio mkubwa unaoonekana kuzidi idadi ya Watendaji na vifaa vinavyotumika. Idadi ya Wananchi waliojitokeza ni takribani 500 ambapo kuna Watu wengi wanaotakiwa kulipia...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa Tabora awawashia moto watendaji, kisa vibarua wa ujenzi kutokulipwa, aagiza mkandarasi kukamatwa

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ametoa siku moja kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmshauri ya Manispaa ya Tabora Dkt. Shani Mdamu ahakikishe kukamatwa kwa mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa majengo Kituo cha Afya cha Itetemia kilichopo Manispaa ya Tabora kutokana na tuhuma za kutowalipa...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi: viongozi wa vyama vya siasa msiingilie majukumu ya watendaji wakati wa uandikishaji wa wapiga kura

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewasihi viongozi wa vyama vya siasa kutoingilia utekelezaji wa majukumu ya watendaji wa vituo wakati wa uandikishaji wa wapiga kura. Angalizo hilo limetolewa mjini Kibaha na Kaimu Mkurugenzi wa tume hiyo, Mtibora Seleman, alipokuwa akizungumza kwenye mkutano wa...
  18. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania WATENDAJI ARDHI WATAKIWA KUTOCHELEWESHA HUDUMA KWA MAKUSUDI

    Serikali imewataka watendaji wa sekta ya Ardhi nchini kutochelewesha huduma za sekta ya Ardhi kwa makusudi wakati wanapowahudumia wananchi wanaokwenda kupata huduma katika ofisi zao. Hayo yameelezwa Januari 31, 2025 mkoani Iringa na Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani wa Wizara ya Ardhi Nyumba na...
  19. A

    JamiiForums Tanzania WATENDAJI MANISPAA YA MOROGORO HAKIKA HAMUELEWEKI

    Kusema kweli Mkurugenzi, Meya na Madiwani mliopo Manispaa ya Morogoro Hamueleweki, Sijui huwa mnafikiria kwa kutumia vichwa gani? Hivi kweli Daladala Zote zinazotoka Pembezoni ya Mji kuja kati ya mji zinakosa sehemu Rasmi ya Kupakia Abiria? Mwanzoni walikuwa wakitumia Stand ya Zamani Mkawaondoa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watendaji uboreshaji watakiwa kuhamasisha wanachi kujiandikisha

    Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Elimu) Dkt. Rose Likangaga akifunga mafunzo hayo kwa niaba ya Mjumbe wa Tume, Dkt. Zakia Mohamed Abubakar. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Elimu) Dkt. Rose Likangaga akifunga mafunzo hayo kwa niaba ya...
Back
Top Bottom