AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,536
- 4,513
Huku ndiko kwenye mashina ya wananchi, ndipo wanapokutana na wananchi moja kwa moja kutatua changamoto zao. Kama vile migogoro ya ardhi, familia na kimkataba.
Lakini serikali inatuletea mabinti wadogo wadogo, kweli kuja kusikiliza migogoro ya ndoa, familia na kiuchumi kweli? Wanasikiliza na kutoa ushauri gani hawa?
Nashauri serikali iweke utaratibu wa hizi ofisi za mashinani kuweka watu wazima wenye upeo wa kuyapambanua mambo, hekima busara experience na uadilifu, tena ikibidi katika wakazi kabisa wa mji husika.
Hivi vitoto hasa hasa vibinti hivi ni mtihani tu. Ni mitihani tupu. Jinsi wanavyoshughulikia migogoro ni kama wanavyoshughulikia migogoro yao na boyfriends zao.