wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nyimbo za Navy Kenzo zaniongezea wateja mgahawani kwangu

    Unajua kila alfajiri hapa nchini Ujerumani ninafungua kamgahawa kangu; ni kagari nimekafanya mgahawa unaotembea. Sasa kuna sehemu apa karibu nimepata location nzuri ina mchanganyiko wa watu, nikaamua nipaki gari langu aina Fiat ndogo. Nikashusha spika zangu kubwa mbili nika-play nyimbo ilivo...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Aina mbalimbali za wateja wa ajabu ajabu maofisini na madukani

    Ingawa Wahenga waliwahi kusema kuwa Mteja ni Mfalme au Malkia! Lakini Baadhi ya wateja maofisini na madukani huwa ni vichomi na vichefuchefu wakubwa! Ukiachilia mbali baadhi ya watoa huduma kuwa chanzo cha kuchangia ukorofi wa wateja wao! Zipo tabia mbali mbali za wateja wasumbufu kwa watoa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania TCRA na Kampuni za Simu zirudishe vifurushi vya data za Wateja baada ya Mitandao kuzimwa

    Makampuni ya mawasiliano nchini yamezima data takriban wiki moja sasa. Wakati yakizima, hayakuwatangazia wateja juu ya uzimaji huo, na hivyo wateja wengi wakajikuta vifurushi walivyokuwa wameweka kwenda bure! Lakini pia, kwa wale ambao hawakujua kuwa kuna kuzimwa kwa makusudi kwa mtandao...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safaricom inasherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuruhusu wateja wake kupiga simu mara moja bure

    Safaricom ina miaka ishirini sasa. Ili kusherehekea, Safaricom itaruhusu wateja wake kupiga simu mara moja bila malipo. Safaricom ina takriban 33 million customers hapa Kenya. Kila customer atapata hii fursa...
  5. JamiiForums Tanzania Jifunze Kutengeneza wateja wako mwenyewe, Wateja ndio Msingi wa biashara yako

    Unajua ujasiriamali ni Kitu pana yenye inahitaji elimu kila siku jinsi ya kui master na kujua nini ufanye na nini usifanye ili kuepuka kile watu wanaita HASARA,hamna mtu anapenda hasara kila mtu anafungua biashara ili apate faida na hii faida huwa huwezi kufungua tu droo ukakuta hela...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wateja wa benki ya CRDB walalamikia fedha kutolewa kwenye akaunti zao bila taarifa ya kueleweka

    Benki ya CRDB jibuni hizi tuhuma haraka kabla hamjachafua hadhi yenu
  7. K

    JamiiForums Tanzania ATCL jirekebisheni vinginevyo mtapoteza wateja

    Tunayo Shirika letu la Ndege la ATCL na sasa hivi kwa safari za humu nchini haina ushindani kabisa kwa lugha ya kimombo ina (monopoly). (1) Kwanza nianze na gharama zao mfano Mwanza mpaka Dar. Gharama zao ni kubwa sana na kama ndege zilinunuliwa kwa ajili ya watanzania kwa nini sasa manufaa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa Uduvi

    Ndugu wadau, Kwa wale wafugaji wanaohitaji uduvi kutoka Ziwa Victoria tunao. Bei ni Tsh. 1,600/= kwa kilo mmoja, tunapatikana Tabata DSM.
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi simu za China zinavyowaibia wateja Afrika

    Programu (Malware) ambazo zinawasajili watumiaji bila ruhusa yao zimepatikana kwenye maelfu ya simu zinazouzwa Afrika. Simu 53,000 za Tecno zenye virusi zimeuzwa Ethiopia, Cameroon, Misri, Ghana na South Afrika. Transsion ambae ni mzalishaji wa simu aina ya Tecno inayoongoza kwa mauzo barani...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: CCM ya-test mitambo, yazindua Kituo cha Huduma kwa Wanachama na Watendaji

    Published on Aug 17, 2020 Kuelekea Uchaguzi mkuu 2020 Chama cha Mapinduzi kimezindua kituo maalum cha mawasiliano lengo kuu likiwa ni kuhakikisha wanakuwa na mawasiliano ya karibu na wanachama na watendaji wa chama icho Katika kipindi cha uchaguzi mkuu Akizingumza mapema leo jiji Dodoma katibu...
  11. JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Bimamkononi wanatabia ya kufokea wateja

    Kuna kampuni la simu wana huduma inaitwa bimamkononi unapigiwa simu na mdada anajitambulisha anakuelezea iyo bima una mjibu dada sihitaji anakwambia eti huna ata 4000 ujilinde na majanga. Mkimjibu kiukali anakufokea sasa as if iyo simu ni uliazima kwao. Wadau na nyie mshawahi kukutana na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania NMB acheni mambo ya kizamani, mnapoteza wateja wengi zama hizi za ushindani

    Kama kuna benki yenye kiwango cha chini kwenye ubunifu basi NMB ni moja wapo! Wakati benki zingine zikiwa zimeshaachana na lile sharti la kung'ang'ania mfanyakazi anayetaka mkopo lazima mshahara wake upitie benki yao, NMB wao ndo kwanza wanazidi kusisitiza hilo sharti kama kigezo namba moja...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaotumia Mtandao wa Halotel Basi Wana tabu siyo Internet wala Huduma kwa Wateja

    Nipo hapa nimeshajaribu kupiga huduma kwa Wateja lakini ninachokutana nacho, mtandao unasumbua Ata anayeongea humsikii, unaskiliza mikoromo tu mpaka masikio yanauma. Internet ndo kabisa Kwenye kudownload utakesha Inaenda slowly sana, Mida yake mpaka uivizie saa nne usiku Mpaka saa mbili humo...
  14. E

    JamiiForums Tanzania TCRA Tanzania kwa haya yanayofanywa na kampuni ya Vodacom Tanzania kwa wateja wanaotumia simu janja yako sawa?

    TCRA tanzania, naomba mnisaidie kujua kama mambo yanayofanywa na kampuni ya simu ya vodacom tanzania nisahii! Nakama nisahii mtupe ufafanuzi, kama siyo sahihi mkomeshe jambo hili na muwaagize warudishe gharama tulizotumia katika huduma ambayo kimsingi ni haki kwa mteja kuipata bila gharama...
  15. JamiiForums Tanzania Baadhi ya watu mnaofanya Computer diagnosis kwenye magari mnawamislead wateja wenu na kuwaingiza gharama zisizo za lazima

    Baadhi ya watu wamekuwa wakifanya OBD2 diagnosis kwenye magari. Ni kitu kizuri na kwa upande fulani kinaweza kurahisisha kutatua tatizo la gari husika hasa ukizingatia kwamba tatizo moja la gari linaweza kuwa na possible causes hata 10. Tools zinazotumika kufanya diagnosis zipo za aina nyingi...
  16. JamiiForums Tanzania Halotel Tanzania jaribuni kuwa na aibu walau. Mnaibia wateja waziwazi kabisa!

    Masikitiko yangu kwa hawa Halotel kwa wanalowafanyia wateja wao sio jambo jema hata kidogo. Nashindwa kuamini mtandao unashindwa kudownload hata app ya 12mb inabaki kuload tu ila cha kushangaza zaidi nashuhudia data zikikimbia bila kuelewa wapi zinaenda na wakati task ndogo kama ya kudownload...
  17. JamiiForums Tanzania Zoom itaweka 'strong encryption' kwa wateja watakaolipia

    Zoom ni kati ya mitandao inayotumika sana kufanya mikutano kwa njia ya video, na imepata umaarufu mkubwa baada ya janga la #COVID19 ambalo limefanya watu waitumie zaidi ili kuepuka mikutano ya ana kwa ana Mtandao huo umekuwa unakumbwa na udukuzi wa mara kwa mara baada ya wadukuzi kuvamia...
  18. JamiiForums Tanzania Namna ya kubadili wafuasi (followers) wako kwenye mitandao ya kijamii kuwa wateja

    Mitandao ya kijamii ni muhimu sana katika kukuza biashara mbalimbali. Kuna njia nyingi za kufanya promosheni ya bidhaa au huduma zako, na miongoni mwa hizo ni matangazo ya kulipia. Lakini unaweza pia kupata wateja wengi kama ukitambua ni namna gani ubadili wafuasi (followers) wako kuwa wateja...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wafanyakazi wa makampuni ya simu wanatuchukuliaje wateja wao?

    Kuna kampuni moja hivi ambayo si elewi elewi maana ishabadilishwa majina kibao na ujanja ujanja kibao ndani yake. Ipo pale yale mabasi yenye njia yake yanapo geukia. Sasa bana, juzi kati nilinunua bando la buku mbili shida yangu ilikuwa kupata MB's; cha ajabu sijui ndio kawaida yao basi bando...
  20. JamiiForums Tanzania NSSF Ubungo acheni longolongo! Lipeni wateja wenu mafao yao!

    WanaJF, Utendaji kazi wa baadhi ya watumishi NSSF Ubungo haulidhishi kabisa! Nimekuwa nikifuatilia kulipwa mafao yangu toka mwezi 7, 2019 mpaka leo hii sijalipwa napigwa kalenda tu bila hata kujali kuwa mtu huyu anatokea wapi! Manake si kila mtu anaishi na kufanya kazi Dar es Salaam. Watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…