wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania TCRA itupieni macho kampuni ya Vodacom kwa kukata fedha za wateja kwa madai mteja kajiunga na huduma fulani wakati si kweli

    TCRA, nawaomba muichunguze kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom kwa kukata fedha unaponunua muda wa maongezi kwa hoja kuwa mteja uliomba/ulijiunga na huduma fulani ambayo hutakiwa kulipia kwa kukatwa fedha mara tu unaponunua muda wa maongezi. Mimi binafai ni mhanga wa hili jambo kwani...
  2. F

    JamiiForums Tanzania TTCL huu ndio muda wenu wa kuvuna wateja wa voda, tigo, airtel, nyinyi shusheni bei ya internet - kodi tra wanawasamehe ki siri siri

    TTCL ni shirika la uma, limefufuka ila halina wateja wa kutosha Sasa huu ndio muda wa kuvuna wateja.. serikali iwabebe kama ilivyoibeba NHIF... Tigo, voda , hallotel mtawapora wateja wote
  3. Mtangoo

    JamiiForums Tanzania Ulipataje wateja wako 100 wa kwanza wa Biashara yako?

    Uzi huu ni kwa ajili ya wale wenye biashara zenye Wateja 100 au zaidi. Ni kwa ajili ya kujifunza tu wala si vinginevyo. Ulitumia mbinu gani kupata wateja 100 wa kwanza? Changamoto gani ulikutana nazo? Kama hutajali unaweza kutuambia ni biashara gani ulifanya au unafanya. Mimi kwa sasa nabaki...
  4. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Dkt. Faustine Ndugulile: Mafundi simu wenye tabia ya kufuta namba ya IMEI kuchukuliwa hatua

    Serikali imesema kuwa itawachukulia hatua kali mafundi simu wote wenye tabia za kufuta namba ya kipekee inayotambulisha simu husika (IMEI) wanapopelekewa simu na wateja wao kwa ajili ya matengenezo. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine...
  5. Wong Fei

    JamiiForums Tanzania Hatuko Salama: Vodacom kuiingilia Privacy za wateja

    Inasikitisha na ina hatia hasira sana. Kinachoondelea Vodacom wanasoma meseji na kusikiliza maongezi ya wateja wao ambapo ni kinyume na sheria. Vifurushi ninunue mm tena mniuzie kwa bei ghari na mnipangie cha kutuma. Kwann? Kila siku mnapandisha vifurushi na bado mnaingilia privacy za wateja...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt Ndugulile aipongeza TTCL uboreshaji vituo vya huduma kwa wateja

    Na Mwandishi wetu - Zanzibar Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe Dkt Faustine Ndugulile aipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania kwa kuboresha muonekano wa Vituo vya Huduma kwa Wateja nchi nzima ili kuongeza mvuto kwa wateja wa huduma za mawasiliano. Amesema hayo katika hafla...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Faustine Ndugulile azindua rasmi Kituo cha Huduma kwa Wateja cha TTCL Corporation Kijangwani, Zanzibar

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt Faustine Ndugulile azindua rasmi Kituo cha Huduma kwa Wateja cha TTCL Corporation Kijangwani, Zanzibar. Pia katika uzinduzi huo alikuwepo Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Corporation ndug. Waziri Kindamba #RudiNyumbaniKumenoga
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za maji safi na maji taka hazitakiwi kukatia wateja huduma za maji

    Unaambiwa kwenye sheria za Tanzania, hairuhusiwi Mwananchi yeyote kukatiwa maji pale anaposhindwa kulipia bili yake ya mwezi, hii ni kwa mujibu wa Sheria ya Maji safi na Mazingira ya mwaka 2019. “Mtu yeyote anaetumia maji ambayo yanatoka kwenye Mamlaka ya Maji Tanzania anatakiwa kisheria...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Wamiliki wa Hotel kuchukuliwa hatua ikiwa wageni wao watatoka bila kuvaa stara

    Serikali ya Zanzibar imesema itawachukulia hatua wamiliki wa hoteli ambao wageni wao watatoka hotelini wakiwa hawajavaa nguo za stara. Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale amewataka wageni hasa watalii kutovaa nguo zinazokiuka maadili wawapo maeneo ya umma, mfano sokoni. Chanzo: Swahili Times
  10. R

    JamiiForums Tanzania Marekani: Benki zaanza kukataa pesa za wateja wao

    Baadhi ya benki za Marekani ambazo hazitaki tena wateja kuweka akiba Benki zaomba wateja wake kuweka akiba zao kwingineko. Baadhi ya benki tayari zimeanza kukataza wateja wake kuweka pesa zao benki. Wateja wa moja ya benki ya kubwa Marekani ya JPMorgan ndio wa hivi karibuni kukumbana na tukio...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vyakula vipi vinaleta wateja?

    Ukiwa unataka kufungua restaurant au mgahawa. Unatakiwa uwe na ujuzi wa vyakula vya aina gani? Vile vile ni vyakula vipi ni pendea sana na vinaleta wateja?
  12. Replica

    JamiiForums Tanzania TCRA wajifunze kwa Waingereza, kampuni ya simu yalambwa bilioni 33 kwa kuwaongezea gharama wateja

    Pamoja na agizo la waziri mwenye dhamana ya mawasiliano kuitaka mamlaka ya udhibiti wa mawasiliano nchini(TCRA) kudhibiti gharama za mawasiliano bado wameonekana kugonga mwamba huku kampuni za simu zikiweka pamba masikioni. Uingereza sehemu kubwa ya gharama ya mawasiliano ni kwa bili na moja ya...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania ATCL kujigamba kuhudumia wateja 60,000 kwa mwezi ni failure. Ni wazi kuwa ndege nane zilinunuliwa kwa cash bila kufanya tathimini yakinifu

    Hivi kwa akili za kawaida unaweza kujisifia kuhudumia watu 60,000 kati ya watu mil 60? Na wewe ukatoka kifua mbele kuwa uko vizuri! Kwamba eti soko lako limekua? Hii ni aibu kubwa. Nilitegemea sababu hii nchi ipo uchumi wa kati basi mje na idadi ya watanzania mil 15 ambao wana uwezo wa kulipia...
  14. expter

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Anaye jua biashara ya kuagiza magari kutoka Japan anijuze

    MSAADA : Habari wana jamvi la biashara; Nina rafiki yangu yupo japani anauza magari kwenye kampuni moja hivi, sasa ameniambia nitafute wateja atanilipa kwa commision, uwezo wa kutafuta wateja ninao coz nimefanya masoko kwenye makampuni mbalimbali lakini sijawahi kufanya biashara ya magari...
  15. S

    JamiiForums Tanzania BoT fanyeni msako wa kushitukiza, bado ziko taasisi za kifedha zinazokaa na kadi za benki za wateja wao

    Katika hili, BOT ni kama wamelala, tena usingizi wa pono, kwani bado ziko taasisi za kifedha zinazokaa na kadi za Benki za wateja wanaoenda kuomba mikopo kama moja la shariti la kupewa mikopo wakiamini kukaa na kadi ya mteja ndio security ya fedha zao. Ukweli ni kwamba, kutokana na maendeleo ya...
  16. Hisha Sorel

    JamiiForums Tanzania Ndio! Mazingira magumu ya kufanya kazi; Ndio! Malipo ya chini; Ndio! Hata hivyo sio kisingizio cha kubaka na kushambulia wagonjwa na wanafunzi

    Wafanyakazi wa Afya na Walimu ni waajiriwa wakuu serikalini. Mshahara wao na hali yao ya kazi ni duni sana . Na tunapaswa kuwahurumia na kufanya kazi kwa bidii ili kuboresha hili swala. Walakini, katika siku za hivi karibuni tumesikia visa kadhaa vya kushambuliwa na ubakaji wa wagonjwa na...
  17. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Bar punguzeni volume ya mziki, mnafukuza wateja

    Wadau wa jukwaa mnajua hapa ndio sehemu pekee pamekuwa pa kuwekana sawa kama jamii. Kwa muda mrefu wamiliki wa bar na pubs wanadhani kupiga mziki mkubwa inavutia wateja. Ukweli ni kwamba bar ndo sehemu watu tunabadilishana mawazo hata kufahamiana. Sasa bar nyingi miziki inakuwa juu kiasi...
  18. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Sera mpya ya faragha ya WhatsApp inavyowafukuza wateja

    Mapema wiki hii, programu tumishi ya mawasiliano ya WhatsApp ilianza kutoa taarifa kwa watumiaji wake wa Android na iOS kuhusu mabadiliko ya sera ya matumizi na sera ya faragha, ikiwafahamisha wateja wake kuhusu jinsi mtandao huo utakavyomudu taarifa binafsi za watumiaji wake. Sera hizo mpya...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hawa wateja wanaoukuja kila mara dukani na kutuhangaisha muda mrefu bila kununua kitu tunadili nao vipi?

    Hawa ni watu ambao yani kila baada ya siku kadhaa wanakuja dukani ila hawanunui chochote zaidi ya kukuhangaisha. - Wanataka bidhaa za juu, utapanda ngazi -Utaenda hadi duka lingine kutafuta bidhaa wanayohitaji -Utapukuta vumbi bidhaa wanayoulizia -Kama ni Tv basi utaitoa kwenye boksi wao...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini NSSF isiwe na tawi la bank kusaidia wateja wake?

    Mikopo ya bank muda mwingi haisaidii sana watumishi wa umma au sekta binafsi kwa sababu ya riba kubwa. Sasa kwa sababu watumishi huwa ni wateja wa kudumu wa mfuko huu na kila mwezi wanachangia fedha nyingi, kwa nini NSSF isiwe na bank ambayo itatumika kuwapa mikopo wateja wake kwa riba ndogo...
Back
Top Bottom