Wahudumu wa Bimamkononi wanatabia ya kufokea wateja

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,329
6,880
Kuna kampuni la simu wana huduma inaitwa bimamkononi unapigiwa simu na mdada anajitambulisha anakuelezea iyo bima una mjibu dada sihitaji anakwambia eti huna ata 4000 ujilinde na majanga.

Mkimjibu kiukali anakufokea sasa as if iyo simu ni uliazima kwao. Wadau na nyie mshawahi kukutana na kisanga cha hawa watu
 
Back
Top Bottom