Natafuta wateja wa Uduvi

Busekela

Member
Mar 7, 2018
97
67
Ndugu wadau,

Kwa wale wafugaji wanaohitaji uduvi kutoka Ziwa Victoria tunao. Bei ni Tsh. 1,600/= kwa kilo mmoja, tunapatikana Tabata DSM.

1599486663641.png
 
Umeshindwa kuweka hata picha ya bidhaa ndugu tangazo linaenda na picha jiongeze
 
Rahisi ni kusema kituo cha posta

Hauna vichanganyishio vingine ni uduvi tu?

Swali la pili kati ya uduvi na vumbi la dagaa kipi ni bora zaidi?
Nina uduvi peke yake,kuhusu kipi bora kati ya uduvi na vumbi la dagaa sina jibu la moja kwa moja,,nijuavyo vyote vinatumika kama chakura cha mifugo,kama kuna wafugaji hapa wanaweza kufafanua zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom