watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Leo nimefurahi na kusikitika sana baada ya kuwakuta Watanzania wenzangu wanajadili suala la umeme

    1. "Mmesikia hotuba ya Rais, eti kampa miezi sita umeme ukae sawa." 2. "Sasa miezi sita si mabwawa yatakuwa yameishajaa. Umeme utakuwa wa kumwaga." 3. "Wanatufanyia usanii tu." 3. "Lakini mbona maji tunayo mengi tu. Yamepungua maji wapi? Kwanini wasitumie maji ya baharini kujaza kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania Hamna Maarifa ya Kuendesha Bandari: Ifike Muda Ukweli Usemwe.

    Hiyo bandari mmeiendesha kwa miaka zaidi ya 60, katika kipindi hicho kuna muda mmewapa wawekezaji wazawa na hawajaweza. Kwanini msikubali tu kukaa pembeni hata kama mkataba mnadai ni mbovu lakini kufa kufaana, hili jambo ni lakisheria ila tunaweza kulifanya kindugu pia. Aaagh.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

    Ndugu zangu Watanzania, Leo Rais samia Amekata kiu ya watanzania na kulituliza Taifa ambapo muda mwingi walikuwa wanataka kusikia kauli yake juu ya changamoto ya kukatika kwa umeme. Kwa utulivu ,upole,uthabiti na uimara wa hali ya juu sana amelieleza Taifa sababu ya chagamoto hiyo na mikakati...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania Settles $96million dispute with Canadian Firm under conditions

    Tanzania Settles $96million dispute with Canadian Firm under conditions Dar es Salaam Winshear Gold Corp. and Tanzania reached a conditional settlement in a longstanding mining license dispute. Uncertainty remains as the finalization of the settlement agreement is not guaranteed. Tanzania...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa mtetezi wa wanyonge kweli au alikuwa na lengo la kuwafanya watanzania wote wawe wanyonge?

    Ni kipindi chake ndo machinga(wanyonge) walikuwa wengi na wanaongezeka daily na hakuna mpango mkakati wowote wa kuwapunguza kwa kupanua sector binafsi mana serikali ilikataa kabisa kuajiri kisa Barbara. Sector binafsi ilikufa kabisa au iikuwa inapumulia mashine kiasi ambacho wote waliokuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Watanzania Fadhili na Ibrahim kuwania Tsh. Bilioni 2.4 katika Fainali za America's Got Talent

    Ni baada ya kufanikiwa kuvuka hatua ya Nusu Fainali katika Mashindano hayo ya Kusaka Vipaji ya ambapo sasa watashindana na Washiriki wengine ambao ni The 82nd Airborn Division All American Chorus, Avantgardey, Chibi Unity, Anna DeGuzman, Putri Ariani, The Mzansi Youth Choir, Murmuration, Ahren...
  7. JamiiForums Tanzania Kosa la Rais Samia ambalo watanzania wengi hawalitaki ni hili

    Habari Wakuu! Kwanza ijue nchi yako, waelewe Watu wako. Ifahamu jamii yako. Sisi ni jamii ambayo mtu ukifanikiwa utaitwa ni Freemasonry, Tupo kwenye jamii ambayo ukiwa na utajiri unaitwa Fisadi, Jizi au muuza madawa ya kulevya. Tupo kwenye jamii ambayo ukimiliki vimiradi kadhaa au biashara za...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati amzuia Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO na wenzake kuhudhuria Mkutano ili washughulikie suala la Umeme

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko amesema “Tangu nimeteuliwa nimeelekezwa na viongozi wangu kuwa tufanye kila tunaloweza kuhakikisha mamivu ya mapungufu ya umeme tunayapunguza. “Tunafahamu kuwa ukuaji wa uchumi ni mkubwa kwa watu wetu lakini vyanzo vyetu vya umeme...
  9. JamiiForums Tanzania Je, umeme unokatwa nchini na Tanesco wajumuisha ofisi zote nyeti, balozi na sehemu zingine kama Oysterbay? Au ni kwa watanzania wa hali ya chini tu?

    Kero ya kukatwa umeme na Tanesco imekuwa kubwa na sasa umeme wakatwa nchi nzima katika mikoa mbalimbali. Lakini ningependa kufahamu kama umeme huu wakatwa katika sehemu zote nyeti, ofisi za kibalozi, viwandani, maeneo ya uzunguni na katika makazi ya watu muhimu katika nchi hii? Je, umeme huo...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye, inakuaje unajisifu kuona Watanzania milioni 5 ndio wako online? Je, nia ya kutaka 100% wawe connected ni ya kweli au siasa?

    Waziri wa Mawasiliano, Nape Nnauye akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Hospitali ya Mkoa ya Rufaa, Lindi amejisifu kuwa na digital divide kubwa mbali na kuwa yeye ndiye Waziri wa mawasiliano, tukiamini anafanya kazi kuhakikisha watu...
  11. JamiiForums Tanzania Je, unadhani Upinzani Tanzania umebeba matumaini ya wananchi kwa kiasi gani?

    Wanamudu na kustahimili uzito wa matumaini na matarajio ya wa Tanzania? Wanathamini na kuheshimu thamani wanayopewa na wananchi? Unaaminika kwa kiasi gani kubeba jukumu kubwa na zito la kuongoza nchi? Nini kifanyike upinzani uwe na sura, sauti na uelekeo moja? Hebu njoo taratibu na kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Polisi wengi wanatengwa na Jamii na kuishi kwa msongo mawazo

    Utafiti wangu mdogo umebaini Watanzania wengi hawana urafiki na polisi, yaani ule urafiki kama wa mtu na mshkaji wake, mfano kupigiana simu kujuliana hali, kutembeleana, kubadilishana mawazo, kushirikiana katika biashara na kupeana michongo. Mapolisi wengi wanakuwa na urafiki wao kwa wao na...
  13. JamiiForums Tanzania Biteko: Watanzania wanataka umeme, kama hakuna umeme hawatuelewi

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dotto Biteko ameitaka Bodi ya Tanesco kuhakikisha Umeme unapatikana Kwa Watanzania vinginevyo hawawaelewi Wala hawataielewa Serikali. Amewataka viongozi walioaminiwa na kubeba dhamana ya Rais kuhakikisha Umeme unapatikana kwamba ndio salama Yao vinginevyo...
  14. JamiiForums Tanzania Rushwa, umasikini, gharama za maisha na kutoshirikishwa ni kati ya vitu vinafanya Watanzania kutokuwa na Furaha

    Ripoti ya Mtandao wa Suluhu za Maendeleo Endelevu (SDGs) ya Umoja wa Mataifa (UN), imetaja masuala 6 ambayo huchangia katika Kuongeza au Kupoteza Furaha za Watu katika Nchi Aidha, kwa mujibu wa #WorldHappiness2023, Nchi za Afghanistan, Lebanon, Zimbabwe, #Rwanda, Botswana, Lesotho, Sierra...
  15. JamiiForums Tanzania Naona dalili za anguko la kiuchumi la Watanzania na sidhani kama Serikali yao imejiandaa kulikabili

    Ni maoni yangu, ni hisia zangu, reference point ni consumption patterns, consumer markets, business markets, expenditure patterns, currency consumption value, income generation sources vs expenditures. Turbulence on economic engines, Government interventions don't exist Sijui itakuwaje naiona...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Watanzania na Paypal

    Mengi na wengi wameshazungumza sana na kuandika sana kuhusu umuhimu wa huduma ya Paypal kwa nchi yetu. Ajabu, kila kampuni mpya ya Fintech inakuja almost inafanya kama yule mwenzake hakuna aliyethubutu kwenda extra mile. Wanaigana na kuzunguka hapohapo kila siku. Hivi huwa wanasoma reviews na...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ilitakiwa kutumia busara kwenye operation ya kimila ya kupambana na wachawi Rukwa

    Serikali ya Tanzania haina dini, lakini, baada ya kufuatilia hili Sakata la Lambalamba, nimebaini kuwa Watanzania wana dini zao na wengi sana wanafuata dini zao za kimila! Chonde chonde, ni hatari sana kukabili masuala ya imani za watu kinguvunguvu bila kuzama kukaa na waumini husika na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Baruani Mshale auliza zile R NNE zinamaanisha nini katika mitizamo ya waTanzania

    Dkt. Baruani Mshale mtaalamu bingwa anajikita kuuliza zile R4 kwa mtanzania ambaye siye mwanasiasa zina maanisha nini https://m.youtube.com/watch?v=C9abritQeXE Mada hiyo tunduizi ya Dr. Baruani Mshale aliitoa mbele ya kwenye Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa na wadau wa demokrasia, Ukumbi...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia anatakiwa kujitokeza hadharani kutuomba radhi watanzania kwa kuikashifu Katiba

    Rais Samia kashafanya mambo mengi sana tena mengi mno. Lakini hili la kukashifu katiba ya nchi is beyond the red line. Katiba ndiyo kitabu chetu kitakatifu kwa watanzania amabacho kinatuunganisha wote... Ile Dhihaka haivumiliki hata kidogo ni dharau iliyopita kiwango kwa katiba yetu, Kama...
  20. JamiiForums Tanzania Rwanda kujenga kinu cha nyuklia kuzalisha umeme ifikapo mwaka 2026

    Serikali ya Rwanda imetia saini hapo jana makubaliano na shirika kutoka mataifa ya Canada na Ujerumani, ili kuanzisha ujenzi wa kinu cha nyuklia ambacho kitakuwa tayari kwa majaribio ifikapo mwaka 2026. Ujenzi wa Kinu cha Nyuklia mjini Kurchatov, Urusi:02.11.2022 Mkurugenzi Mtendaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…