watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania adui yetu mkubwa ni CCM na mfumo wake

    Napenda watanzania waelewe vizuri kuwa CCM ndio adui yetu mkubwa. CCM ipo madarakani kwa miaka 60 sasa na bado tunahangaika na maji vijijini, madawati, chakula na magonjwa yanayotibika bado yanaua watu nchi hii. Blaa blaa za CCM zimeifikisha nchi hii katika umaskini mkubwa hata baada ya kuwa na...
  2. Kasiano Muyenzi

    JamiiForums Tanzania Je, maisha bora ilikuwa kwa kila Mtanzania au kwa baadhi tu ya Watanzania?

    Maisha bora kwa kila mtanzania ilikuwa 2005 hadi 2015. Tulidanganywa hivyo kipindi hicho, tukadanganyika kwa miaka 10, baada ya hapo jomba akasepa akiwa na kitita cha kutosha kumpa maisha bora yeye tu na watu wake. Hivi kwa nini huwa tunakubali kudanganywa kirahisi hivyo? Sasa tupo na "kazi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania ambao hawapendi kusoma hawahitaji shahada (Miaka 3) kujua katiba

    Raisi Samia sasa ameanza kuwa myeyushaji na mpotoshaji na hili ni la kusikitisha sana. Watanzania wamekuwa na hii katiba zaidi ya miaka 30 lakini ni zaidi ya miaka 10 sasa tunaongelea katiba mpya. Bunge la katiba liliundwa, maoni ya katiba mpya yalikusanywa kwa gharama kubwa na leo unataka...
  4. Dr Rutagwerera Sr

    JamiiForums Tanzania Suala la Salim Kikeke kuhamia EFM na akili za watanzania

    Nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Kikeke kwenye akaunti zake za kijamii kwa uamuzi wake wa kujiunga na kituo cha matangazo cha E-fm. Nimebaki kuajabia tabia ya watanzania. Maisha ni yake, uamuzi ni wake cha ajabu anatukanwa na kudhalilishwa na wachangiaji juu ya uamuzi wake huo. Tanzania ni...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Watanzania acheni kufuga "Majini ya kizungu"

    Jini la kizungu ni nini? Jini la kizungu ni bunduki. Kazi ya jini la kizungu ni nini? Kazi ya jini la kizungu ni kuua. Ukifuga jini la kizungu nyumbani kwako jini litatarajia kwamba utalipa kazi yake ya asili( kuua) Litakuwa linasubiri ulipe damu. Usipo Lipa damu litaitaka damu yako...
  6. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Kweli kuna Watanzania wako bize sana na maisha, mtu hajui hata DP World ni nini

    Inafurahisha na kusikitisha pia hebu msikilize huyu jamaa akihojiwa😂😂💔
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Watanzania tutaendelea kusubiri mpaka lini Bunge likitunga Sheria batili na kuuchomekea ubatili huo ndani ya Katiba yetu? Tufanye nini?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo zinachapishwa kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili. Leo naendelea na sehemu nyingine ya Ijue Katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba. Sehemu ya kwanza nilifundisha katiba ni...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uchunguzi: 'Makanisa ya Kiroho' na shuhuda FEKI kuwahadaa Watanzania - 2

    Andiko hili ni mwendelezo wa kilichoandikwa katika Makala iliyopita ambayo ilielezea yanayofanyika nyuma ya pazia kwenye nyumba za ibada hasa katika makanisa maarufu kwa jina la 'Makanisa ya Kisasa' Nchini Tanzania. Zaidi andiko lilielezea mbinu na shuhuda za uongo (feki/za mchongo)...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Ruto kuhusu kilimo ni ya kuwapumbaza Watanzania

    Wasalaam nyote, Kwenye kikao/Mkutano wa Rais Ruto na Rais Hassan, na wadau wengine Rais Ruto anasikika akisema fursa kubwa ijayo ya utajiri ipo kwenye kilimo, ameweka bayana kuwa yeye ni mdau wa kilimo, kwa kiasi amekosoa kazi ya immigration wetu kule mpakani, japo amesifu mabadiriko na...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ijue Katiba ya JMT kwa Jicho la Mtunga Katiba: Watanzania Tusishabikie Uhaini. Hukuna Uhaini wa Kauli na Maneno, Uhaini ni Mipango na Matendo

    Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa Kufuatia tishio la matamshi yenye viashiria vya uhaini dhidi ya serikali ya JMT kwa baadhi ya watu, na watu hao kushikiliwa na vyombo vya dola, waneibuka watu, mashirika, wanaharakati kupigia kelele kuna kesi ya uhaini, na hadi baadhi ya taasisi za...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameliheshimisha Taifa na Watanzania nchini Kenya

    Ndugu zangu Watanzania, Leo Rais wetu mpendwa jasiri muongoza njia ,shujaa wa Afrika,Nuru ya wanyonge, Taa ya Taifa,mboni ya nchi,komandoo imara,Jasusi aliyetukuka ,Simba wa Vita ,mama Wa shoka,Mwamba wa Afrika,mtetezi wa waafrika na sauti ya Afrika mama Samia Suluhu Hasssan ametupatia heshima...
  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hawaiamini Mahakama?

    Leo nilikuwa mahakamani ambapo nilikutana na mtu mmoja aliyenimbia kuwa ana kesi yake mahakamani lakini hana Imani kama mahakama itatenda haki. Kwa uzowefu wangu ni kwamba watu wengi hawana Imani na mfumo wa mahakama ila hawana la kufanya kwa kuwa ni lazima mashauri yao yaamuliwe mahakamani...
  13. Emmanuel Mkwama

    JamiiForums Tanzania Watanzania Kuna haja ya kuwa na uzalendo, uadilifu na hofu ya Mungu

    "Sipendi kujihusisha na mambo ya siasa wala kuchangia chochote kuhusiana na mambo ya siasa." Ndugu zangu heri nyingi ziwafikie,nikiwa salimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania......... Ndugu zangu kiukweli siasa sipendi kwa sababu ya michezo michafu iliyopo kwenye siasa. Lakini leo...
  14. Huihui2

    JamiiForums Tanzania India wabadili jina la nchi yao

    Kuna Watanzania wanasema wanapigania nchi ya Tanganyika hususan akina Mwabukusi, Mdude na Slaa. Kumbuka kuwa jina Tanganyika lililetwa na Mkoloni wa Mwingereza mwaka 1920 baada ya kuachana na jina la Mjerumani ambaye alilitambua eneo hili kama Deutsch Ostafrika Leo huko India muswaada...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Watanzania mkijichanganya mkakomaa na katiba mkasahau kuhusu Bandari zetu kuuzwa laana itamea juu yenu

    Wasalaam nyote, Katika mikutano ya chadema hivi sasa ya +255 , swala la kuhamasisha umma kuhusu uhuni wa kuuzwa bandari zetu lipewe uzito kila sehemu, CCM hawana dhamira njema na dhati kwa nchi hii, viongozi wengi ni ni wanachama wa illuminati na freemasons. Msitarajie huruma haitatokea...
  16. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Watanzania (wengi) ni evil!

    Nimeumia sana, mtu mtoto wa miaka 5 kampeleka boarding school, kamkabidhi shuleni kaondoka mtoto analia lkn hajali anayeitwa mzazi kaondoka, hivi unawezaje hata kulala usingizi mtoto wako wa miaka 5 yuko boarding?
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Watanzania acheni roho mbaya na wivu hakuna mwenye dhambi za kudumu kuliko wengine na asiyesameheka. Mnyeti ana haki mbele ya Mamlaka ya Uteuzi

    Wasalaam TZ na Dunia, Ndugu Alexander Mnyeti aachwe afanye kazi uwaziri ni haki yake. Nchi hii imejaa mazuzu wanaodhani mtu fulani akiwakosea wao basi hafai Kwa wengine na jamii nzima. Alexander Mnyeti ana sifa kama za Watanzania wengine wote ambao ni watenda mema na mabaya kila siku...
  18. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Katiba itoe nguvu kwa Rais, Bunge na Mahakama kufukuza Watanzania nchini

    Watawala wanazunguka sana, wanahangaika sana. Kwa muda mrefu Katiba yetu imekua ikitoa kinga kwa rais aliyemaliza muda wake kuja kushitakiwa kwa makosa aliyoyafanya alipokua madarakani. Kinga imekua ikipigiwa keleke sana, ilifikia mahala tukaona kabisa walebwaliojiita Wazalendo na wenye uchungu...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nadhani tatizo kuu la umasikini wa Watanzania linaanzia hapa...

    Unajijua kabisa huna Uwezo ( Fedha ) na Maisha mazuri kama GENTAMYCINE halafu kila mwaka Unampachika tu Mimba Mkeo huku ukiwa na sababu ya Kipumbavu ( Kipopoma ) kuwa kila Mtoto anakuja na Baraka zake.
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa kavuliwa Ubalozi wake mwaka 2023 na Watanzania tutamvua Mtu Heshima yake Oktoba 2025

    Jidanganyeni tu na endelea Kudanganywa kuwa things are okay on the ground wakati akina GENTAMYCINE ambao Kutwa tupo na tunajichanganya na Wananchi tunaona hali ni tofauti na kama mwaka 2025 PT, TISS, JWTZ na NEC wakisema wakae Kando na waachie Haki itendeke nina uhakika kuna Mtu mapema sana...
Back
Top Bottom