watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. kijanamtanashati

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna raia wanajivunia kuwa Watanzania?

    Kwenye nchi hii iliyojaa laana kuna raia wanajivunia kua Watanzania? Kwa nionavyo nchi hii wanaojivunia kua watanzania ni wale wanaokula keki ya taifa tu. Binafsi sijivunii kua mtanzania na nikipata nafasi naukana huu uraia uliojaa laana. Tuambiane ukweli wakuu je unajivunia kua mtanzania...
  2. mama D

    JamiiForums Tanzania Serikali iongeze bei ya energy drinks ili kunusuru maisha ya Watanzania

    Wasalaam wana jamiiforum Kumekua na matumizi mabaya sana ya energy drinks Tanzania. Mbaya kuliko ni kwamba hadi watoto wadogo wa shule za msingi ni wanywaji wakubwa wa hivi vinywaji. Na wanavichukulia powa kwamba vinawachangamsha na kuwaondolea uchovu lakini taratibu vinawamaliza. Nimewaza...
  3. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wachawi na waganga: Ukizama wanakufariji, ukiinuka wanakushambulia

    Ukiwa na madhila utapata watu wengi sana wa kukushauri na kukupa nasaha. Wengine watajifanya motivational speakers huku wakikupa usia wa mambo kadhaa ya kubumba. Baadhi watajitutumua na kujifaragua kwamba wanakujali sana, ati wako tayari hata kufunga novena. Lakini ukiwaambia nina milioni...
  4. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania 2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Ni michuano ya 34 ya Mataifa huru ya Afrika ambayo itafanyika Ivory Coast kuanzia January 13 mpaka February 11 ya 2024. Itashirikisha timu 24 ikiwemo sisi Tanzania. Michuano hiyo itafanyika katika majiji matano huku viwanja sita vitatumika katika michuano hiyo. Hii ni mara ya pili kwa Ivory...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo. Upi utabiri wako wa mechi hiyo? ===========...
  6. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kenya Airways na Air Tanzania: Anayeathirika ni Air Tanzania

    Eti wanapiga stop Kenya Airways kwa jeuri gani wakati kila siku mko huko kujikomba? Msichokijua labda Kenya Airways ni mbia wa KLM-Air France kuizuia kutua Dar/Tanzania kunaathiri KLM-Air France pia, hivyo hakuna kitu hapo. Kenya Airways itatua Dar na biti la Air Tanzania Kenya litabakia kwani...
  7. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mawazo ya biashara kwa sisi Watanzania hufanana sana. Ni uvivu wa kufikiri?

    Anaandika Kenge Kwanini mawazo ya biashara hasa kwa sisi fresh youth yanafanana sana? yani ukikamata vijana kumi wa kibongo ukawapa mtaji ukawaambia fanya biashara..Watakimbilia kufungua duka Kuuza la Nguo Kuuza Viatu Kuuza simu,charger,Makava kufuga kuku kuuza Nafaka KUuza...
  8. Terrible Teen

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watanzania tukatae Uwanja wa KIA kupewa Oman

    Nina taarifa za ndani kabisa watu wa karibu na Rais Samia wameshaingia Makubaliano ya awali na Kampuni kutoka Oman ya kuchukua shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa KIA. Hata ile danganya toto ya Waziri Mbarawa kuwa shughuli za KADCO zimerejeshwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ni...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumbe Mbowe na CHADEMA yake asipolamba asali anakuwa anajifanya ana uchungu na mali za Watanzania

    Tar 24 mwezi huu ataandamana kupinga dhuluma za CCM Ila alipotolewa jela kwa makosa ya kufadhili ugaidi alisahau habari za kuandamana. Aliitwa ikulu akala chakula na juizi za ceres Leo hii amesema ataandamana .Kisa tu hajapewe juisi za ikulu na anadai kuna dhuluma
  10. bahati93

    JamiiForums Tanzania Watanzania tubadilike tulifeli pakubwa kwenye drill ya UVIKO-19

    Yajayo yanaogyofya, Dunia nzima mwaka 2019 ilifanya Drill ya kupima utayari wa nchi kukabiliana wa virusi. Tanzania kama mojawapo ya nchi ilipuuzia kwa kiwango kikubwa Drill hio. Hali hii inafanya watanzania kutokuwa watiifu kwa mamlaka husika endapo watapewa tahadhari juu ya ujio wa janga...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunataka bunge la aina gani? Tujadili

    Binafsi nakubaliana 100% kwamba bunge ni muhimu kwenye kuisimamia serikali kwa mujibu wa katiba ila siridhishwi na jinsi lilivyo kwa sasa. Mimi maoni yangu kuhusu bunge ni kama ifuatavyo; 1. Viti maalum vibaki vile 10 vya Rais tu. Hivi vingine vifutwe. 2. Majimbo yapunguzwe. Majimbo 264 ni...
  12. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania TANESCO mtihani wa umeme mliowaingiza watanzania ni mkubwa sana, ila Mungu anawaona

    Swala la umeme nchini mwetu linafikirisha sana,ni mzigo mkubwa sana,ambao watanzania tulio wengi tunashindwa kuubeba.Jambo la kushangaza ni kwamba hakuna anayepaza sauti yake kuongelea swala la umeme,si Wabunge,viongozi wa vyama vya siasa au viongozi wa dini,kila mtu amefumba kinywa,kuna nini...
  13. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Mwaka 2024 tutapigania maisha ya heshima kwa Watanzania wanyonge

    Utangulizi. Tumetimiza siku 10 tangu tuumalize 2023 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2024. Kwa kawaida tumezoeleka kuzungumza na umma kupitia vyombo vya habari kuhusu mambo mbalimbali yaliyojiri kwa mwaka mzima mwishoni mwa mwaka. Tangu kuundwa kwa chombo hiki mwezi Februari 2022 kimekuwa chombo...
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nawashangaa Watanzania wanaoshangaa kusikia Sadio Mane kamuoa girlfriend wake wa muda mrefu mwenye umri wa miaka 18

    Age of consent in Senegal is 16 years old. Kwa maana ya kwamba mtu mwenye umri wa miaka 16 nchini Senegal anaruhusiwa kuolewa au kuoa. Hiyo hoja kusema kwamba sijui alikuwa ana tembea na minor haina mashiko. Hata hapa Tanzania sheria yetu ya ndoa msichana anaruhusiwa kuolewa akiwa na umri...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Uchapakazi wa Mohammed Mchengerwa TAMISEMI wawakosha Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa waziri wa TAMISEMI ameendelea kuteka na kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania kutokana na uchapa kazi wake ulioleta mapinduzi ya kiutendaji ndani ya wizara hiyo inayogusa maisha ya mamilioni ya watanzania kila siku. Ikumbukwe ya kuwa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaotaka Ujerumani walipe fidia ya Ukoloni waambiwa wafuate utaratibu

    Siku chache baada ya The United Kingdoms of Afrika (UKOA) kupitia kwa Dr. Moses Katega “Prince Katega II” Na Dr. Fadhili Emily Kabujanja “Mfalme Dr. Fadhili” kuandika barua na kuiwasilisha Ubalozi wa Ujerumani Nchini Tanzania wakidai kulipwa fidia kwa kilichotokea wakati wa Ukoloni, Esther...
  17. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Tanzania Mdau hivi wale Kalyanda waliotapeli maelfu ya watanzania unahisi watakuwa wamechukuliwa hatua za zozote?

    Ni ukweli usiopingika kwamba Kampuni ya kalyanda ni kampuni iliyotapeli maelfu ya watanzania mtandaoni, lakini licha ya kufanya uhalififu huu mpaka sasa hakuna hatua zozote zilizochukuliwa na serikali. Hivi inaamana kwamba hawa wezi wa kalyanda wameshindwa kufahamika au hawatambuliki jibu ni...
  18. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Watanzania msipoteze pesa kwa kuendelea kuamini imani za kishirikina. Ni upumbavu na umaskini wa kujitakia

    Habari za uzima wakuu? Kabla ya mwaka kuisha mwaka jana mwezi wa 11 rafiki yangu mmoja alinifata akaniambia passion ndugu yangu biashara kwa upande wangu sasa imekuwa haiendi kabisa, nimepokea ushauri kutoka kwa ndugu yangu mmoja kaniambia anipeleke kwa mtaalamu nikajisafishe. Nikamuuliza wewe...
  19. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi tupo nyuma kwenye sekta ya magari

    Naam kwa majina naitwa Selemani Sele. Uzi huu ni mahususi kwa ajili ya magari na uchumi kwa kweli Tanzania kwenye uchumi hatujachangamka hata kidogo ndo maana tunaita magari ya 2014 New model . Nitaleta ushahidi wa gari aina mbili maarufu tuone ambayo ni Toyota Glanza na Toyota Rumion. Toyota...
  20. mkarimani feki

    JamiiForums Tanzania Kama hauna njaa acha kazi msinisumbue!

    Jamani katika harakati za kutafuta kazi, vibarua na ajira rasmi. Wengi tumeangukia sekta binafsi. Aloo huku watu wanasota mbaya, kuna viwanda hapo vingunguti malipo ni bukutano per day. Unaingia asubuhi mpaka saa 12 jioni. Wengine wanaingia usiku. Ili upate hizo kazi lazima uhonge mlinzi wa...
Back
Top Bottom