Mdau hivi wale Kalyanda waliotapeli maelfu ya watanzania unahisi watakuwa wamechukuliwa hatua za zozote?

Rayvanny wa jamiiForums

Senior Member
Apr 7, 2023
132
347
1704621853038.jpg

Ni ukweli usiopingika kwamba Kampuni ya kalyanda ni kampuni iliyotapeli maelfu ya watanzania mtandaoni, lakini licha ya kufanya uhalififu huu mpaka sasa hakuna hatua zozote zilizochukuliwa na serikali.

Hivi inaamana kwamba hawa wezi wa kalyanda wameshindwa kufahamika au hawatambuliki jibu ni hapana sasa kwanini wahusika wa utapeli mpaka leo hawachukuliwi hatua za kisheria?

Wakati Kampuni hii ili tangazwa mpaka kwenye vyombo vya habari ikiwemo ITV na sura za wahalifu hawa zikiwa zinaonekana sasa kwanini hawachukuliwi hatua za kisheria au kukamatwa kwao mpaka sasa inamaana jeshi la polisi linawaogopa?

Screenshot_20240107-125623.jpg

(pichani ni ITV wakitangaza kampuni ya kalyanda)

Screenshot_20240107-125445.jpg

(pichani ni baadhi ya sura za matapeli wa kalyanda walio waibia maelfu ya watanzania)
Screenshot_20240107-125554.jpg

Screenshot_20240107-125611.jpg

Kampuni hii pia ya kalyanda ilisajiliwa mpaka (BRELA) lakini mpaka sasa hakuna hatua zozote zilizo chukuliwa

Vipi mdau unamaoni gani kuhusiana na hili suala?

#nyumayapazia
 
View attachment 2864452

Ni ukweli usiopingika kwamba Kampuni ya kalyanda ni kampuni iliyotapeli maelfu ya watanzania mtandaoni, lakini licha ya kufanya uhalififu huu mpaka sasa hakuna hatua zozote zilizochukuliwa na serikali.

Hivi inaamana kwamba hawa wezi wa kalyanda wameshindwa kufahamika au hawatambuliki jibu ni hapana sasa kwanini wahusika wa utapeli mpaka leo hawachukuliwi hatua za kisheria?

Wakati Kampuni hii ili tangazwa mpaka kwenye vyombo vya habari ikiwemo ITV na sura za wahalifu hawa zikiwa zinaonekana sasa kwanini hawachukuliwi hatua za kisheria au kukamatwa kwao mpaka sasa inamaana jeshi la polisi linawaogopa?

View attachment 2864484
(pichani ni ITV wakitangaza kampuni ya kalyanda)

View attachment 2864485
(pichani ni baadhi ya sura za matapeli wa kalyanda walio waibia maelfu ya watanzania)
View attachment 2864486
View attachment 2864487

Utapeli ni biashara kubwa na halali kabisa Tanzania.

Usitegemee hatua zozote
 
Huwa ni dili za watu hizi zinaachwa makusudi zikusanye pesa ili zifikishe b kadhaa kwenye account then ndo wanazuga kuzifungia mpunga wa wanachama wanatia kipindoni kampuni ikishapata faida yake.
Watuambie pesa za Deci,za Mr kuku,nk zipo wapi?
 
Ni aina ya serikali kukusanyia hela pia zikifika kiwango watakacho wanazugia kuzitaifisha.
Swali kwann wanayapa usajili makampuni yenye kufanana shughuli hizi.
 
Ni taasisi za CCM hizo kukusanya fedha kwa ajili ya chaguzi. Kama huamini na wewe jaribu kufanya utapeli kama huo uone yatakayokukuta.
 
Wajinga waliwao

Nchi ina wajinga wengi sana

Kitu ambacho ni fursa kuwatumia wajinga
Na ukitaka upige hela we wekeza kwa wajinga utawapata
This country has a lot of wajingasss

Ova
 
Hili wajanja tuli lipiga kipindi kile, saivi kapa lipo ni matapeli
Lipo wanakwambia tuma akiba ili wakutumie mkopo ! Tuma uone. Na cha ajabu celebrities kina shilole, kajala, kitenge wanawatangaza....sasa sijui polisi WA Tanzania wapo wapi na kesi ni nyingi sana kuwahusu
 
View attachment 2864452

Ni ukweli usiopingika kwamba Kampuni ya kalyanda ni kampuni iliyotapeli maelfu ya watanzania mtandaoni, lakini licha ya kufanya uhalififu huu mpaka sasa hakuna hatua zozote zilizochukuliwa na serikali.

Hivi inaamana kwamba hawa wezi wa kalyanda wameshindwa kufahamika au hawatambuliki jibu ni hapana sasa kwanini wahusika wa utapeli mpaka leo hawachukuliwi hatua za kisheria?

Wakati Kampuni hii ili tangazwa mpaka kwenye vyombo vya habari ikiwemo ITV na sura za wahalifu hawa zikiwa zinaonekana sasa kwanini hawachukuliwi hatua za kisheria au kukamatwa kwao mpaka sasa inamaana jeshi la polisi linawaogopa?

View attachment 2864484
(pichani ni ITV wakitangaza kampuni ya kalyanda)

View attachment 2864485
(pichani ni baadhi ya sura za matapeli wa kalyanda walio waibia maelfu ya watanzania)
View attachment 2864486
View attachment 2864487

Kampuni hii pia ya kalyanda ilisajiliwa mpaka (BRELA) lakini mpaka sasa hakuna hatua zozote zilizo chukuliwa

Vipi mdau unamaoni gani kuhusiana na hili suala?

#nyumayapazia
CCM HAO WAMECHUKULIWA HATUA KALI SANA YA KUWA CHAWA WA MAMA.
 
Back
Top Bottom