Watanzania wengi tupo nyuma kwenye sekta ya magari

Selemani Sele

Senior Member
Feb 25, 2023
194
455
Naam kwa majina naitwa Selemani Sele.
Uzi huu ni mahususi kwa ajili ya magari na uchumi kwa kweli Tanzania kwenye uchumi hatujachangamka hata kidogo ndo maana tunaita magari ya 2014 New model . Nitaleta ushahidi wa gari aina mbili maarufu tuone ambayo ni Toyota Glanza na Toyota Rumion.
Toyota Rumion nyingi Bongo ni 2004 To 2010 na bei yake ni 18 mil kutuma kutoka Japan na new model 2023 ni 36 mil.
2007_Toyota_Corolla-Rumion_01.jpg

Old model.
rumion-exterior-right-front-three-quarter-5.jpeg

New model.
Tukiona hivi tunaogopa kununua kwamba ni bei so we stick for the old model na pia uchumi hauvutii bado ila tutafika.

Toyota Glanza nyingi ni za 1995 To 1999 na bei yake ni 18 mil kutuma kutoka Japan na new model 2023 ni 36 mil pamoja na ushuru.
BN540296_0b724296.jpg

Old model 1995
front-left-side-47.jpg

Glanza new model kali sana cc 1139
Economy saver. Kwa kumalizia ni kwamba tutapoanza kuingiza magari ya 3 years after production uchumi utakuwa umepanda kama majirani zetu kenya wanajitahidi sana kununua new model ila sio kwa sana .
Asanteni wako Selemani Sele.
 
Naam kwa majina naitwa Selemani Sele.
Uzi huu ni mahususi kwa ajili ya magari na uchumi kwa kweli Tanzania kwenye uchumi hatujachangamka hata kidogo ndo maana tunaita magari ya 2014 New model . Nitaleta ushahidi wa gari aina mbili maarufu tuone ambayo ni Toyota Glanza na Toyota Rumion.
Toyota Rumion nyingi Bongo ni 2004 To 2010 na bei yake ni 18 mil kutuma kutoka Japan na new model 2023 ni 36 mil.
View attachment 2863964
Old model. View attachment 2863965
New model.
Tukiona hivi tunaogopa kununua kwamba ni bei so we stick for the old model na pia uchumi hauvutii bado ila tutafika.

Toyota Glanza nyingi ni za 1995 To 1999 na bei yake ni 18 mil kutuma kutoka Japan na new model 2023 ni 36 mil pamoja na ushuru. View attachment 2863967

Old model 1995
View attachment 2863969

Glanza new model kali sana cc 1139
Economy saver. Kwa kumalizia ni kwamba tutapoanza kuingiza magari ya 3 years after production uchumi utakuwa umepanda kama majirani zetu kenya wanajitahidi sana kununua new model ila sio kwa sana .
Asanteni wako Selemani Sele.
Mamilioni yote hayo Kwa Ajili ya gari Ili nivumbue nini?

Sio Kila mtu anapata satisfaction Kwa kujaza magari
 
Back
Top Bottom