Watanzania hawa wamenifurahisha sana

Watanzania hawa wamenifurahisha sana

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,175
Reaction score
143,968
Mapema leo hii mwili wa hayati Rais mstaafu Benjamin Mkapa ulianza safari yake kutoka spitali ya jeshi ya Lugalo kuelekea uwanja wa Uhuru ambapo utakaa kwa siku tatu ili kuweza kuwapa fursa wananchi kumuaga kiongozi wao huyo wa awamu ya tatu.

Msafara wake huo uliongozwa na pikipiki [outriders] huku jeneza likiwa limebebwa kwenye gari maalumu la kijeshi.

Sasa, kilichonifurahisha ni jinsi ambavyo wananchi, katika sehemu mbalimbali za njia uliopitia msafara huo, walivyoonyesha heshima.

Wananchi hao walikuwa ni watulivu, wengine walirusha maua njiani, n.k.

Heko tele ziwaendee wananchi hao. Hakika wamethibitisha mengi na makubwa!

 
Sisi wa Tz ni watu wenye upendo sana na ndo maana mkala anaweza kwenda kuishi simiyu na akajisikia kama yupo ukala ukerewe kabisa,tatizo wakati mwingine viongozi wetu ndo wanaleta ukatili rohoni wetu kwa kauli na matendo yao.
 
Hapo relini watu wanapishana na mwili Kama hawauoni, Kuna la kujifunza. Kama watu wanapenda kujifunza
 
Back
Top Bottom