Wakati Taifa likiomboleza, watanzania wa Twitter waongeza kasi ya maandalizi ya bonanza kubwa 25/07/2020

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,938
25,282
EdsixygWsAEStaM.jpg
EdsixwzX0AEZ_N9.jpg

Wakuu wote kama taifa tumepatwa na msiba baada ya kuondoka kwa Rais mstaafu Ndugu Benjamin W. Mkapa na tumetangaziwa kuwa na maombolezo ya kitaifa kwa siku 7. Katika pita pita zangu nimeona kuwa kuna bonanza kubwa lililopangwa kufanyika tarehe 25/07/2020 katika viwanja vya posta jijini Dar es Salaam na watanzania waliopo katika mtandao wa twitter maarufu kama TOT Bonanza. Je jambo hili ni sahihi ama linaleta ukakasi katika suala zima la uzalendo wetu ?
 
Huu ni upuuzi, haiingii akilini kama taifa linaomboleza wengine wanasebeduka . Huu ni utovu wa nidhamu na heshima kwa taifa na wafiwa.
 
View attachment 1515728View attachment 1515729
Wakuu wote kama taifa tumepatwa na msiba baada ya kuondoka kwa Rais mstaafu Ndugu Benjamin W. Mkapa na tumetangaziwa kuwa na maombolezo ya kitaifa kwa siku 7. Katika pita pita zangu nimeona kuwa kuna bonanza kubwa lililopangwa kufanyika tarehe 25/07/2020 katika viwanja vya posta jijini Dar es Salaam na watanzania waliopo katika mtandao wa twitter maarufu kama TOT Bonanza. Je jambo hili ni sahihi ama linaleta ukakasi katika suala zima la uzalendo wetu ?
Uzalendo ni mapenzi kwa Nchi na siyo Mtu..
Kwani tunaomboleza kifo cha Tanzania mpaka tuwahukumu kuwa wamekosa Uzalendo?
 
View attachment 1515728View attachment 1515729
Wakuu wote kama taifa tumepatwa na msiba baada ya kuondoka kwa Rais mstaafu Ndugu Benjamin W. Mkapa na tumetangaziwa kuwa na maombolezo ya kitaifa kwa siku 7. Katika pita pita zangu nimeona kuwa kuna bonanza kubwa lililopangwa kufanyika tarehe 25/07/2020 katika viwanja vya posta jijini Dar es Salaam na watanzania waliopo katika mtandao wa twitter maarufu kama TOT Bonanza. Je jambo hili ni sahihi ama linaleta ukakasi katika suala zima la uzalendo wetu ?
Kwani kipindi hiki cha maombolezo kumbi za starehe zimefungwa?
 
Nikuulize wewe Jamaa, Mapumziko siku 7, unataka kuniambia watu hawaendi Kazini?
Sio mapumziko mkuu ni maombolezo, pia kwa kawaida mkiwa kwenye maombolezo hampaswi kufanya masherehe wala madisko
 
Hahahaha kawaida tu
 
Attachments

  • IMG-20200724-WA0078.jpg
    IMG-20200724-WA0078.jpg
    55.3 KB · Views: 1
Ki kawaida inabidi iwe hivyo
Haitakuwa haki, watu wakose mapato kisa mtu kafariki, mbona kazini tunaenda Kama kawaida. Walioguswa na msiba wataenda msibani wengine tunaomboleza kimoyomoyo shughuli nyingine na starehe zinaendelea kama kawaida.
 
Watu wangekuwa wakali hivi kwa magu angekuwa ameondoka madarakani mwaka juzi.
 
Kwani uchaguzi wa ccm kuwapata wagombea udiwani umehairishwa?

Kazi na majukumu lazima yafanyike
 
Back
Top Bottom