watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Watanzania tumekataa kufa njaa na corona tunapambana nayo

    Corona ilipoingia duniani iliwaambia watu wafanye uchaguzi wako tayari kufa kwa corona au njaa? Waliochangua njaa wakaji-lockdown ili wasife kwa corona, wafe njaa. Watanzania tukasema No; kufa njaa ni kujitakia. Tukifa njaa hata Mungu atatuona wajinga ndio maana hatuku-lockdown watu wala...
  2. Korona: Watanzania Tujilinde, Serikali inajali Uchumi kuliko Uhai wenu - Zitto

    KORONA: HATUA ZA SERIKALI NA UMUHIMU WA KUJILINDA WENYEWE UTANGULIZI Ndugu wananchi wenzangu, Kama mnavyofahamu, sisi ACT Wazalendo tumekuwa tukiuchukulia kwa uzito wa juu kabisa ugonjwa wa Virusi vya Korona (Covid 19). Sio tu kwa sababu tunaamini kwamba ugonjwa huu kama janga la dunia...
  3. J

    Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

    Karibu Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi. Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake. ===== Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
  4. Madereva Watanzania wana Corona zaidi ya Kenya? Siasa au Ukweli?

    Inawezekana vipi Tanzania kuwa na maambukizi mengi kiasi hiki na bado watu wakawa wazima? Je, no mbinu za kibiashara? Au mabeberu wapo kazini?
  5. M

    Propaganda za CCM zinawafanya Watanzania waamini kuwa hakuna korona nchini

    Viongozi wa CCM wanashangaza, wanatuhimiza kunawa mikono, kuvaa barakoa, kuepuka mikusanyiko na kukaa Nyumbani Kama hauna sababu ya kutoka, lakini wakati huo huo wanatuambia kuwa Tanzania Hakuna korona. Cha kushangaza idadi ya Madereva wanaopimwa na kukutwa na virus vya korona kwenye mipaka ya...
  6. Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

    Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Kazungu amezungumza na vyombo vya habari ili kuweka mambo sawa. Balozi kazungu amesema... Rais Kenyatta amenituma hapa, anasema Kenya haiiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu, sisi sio maadui, adui yetu ni corona, ndio maana alikuwa Rais wa kwanza...
  7. Watanzania tuamke tulitetee Taifa letu

    Na Thadei Ole Mushi. Leo Nchi yetu imefunga mipaka yake na Kenya kwa baadhi ya Mikoa. Habari kubwa Kenya Ni hatua hiyo ya Tanzania... Yaani huko Kenya wamechachawa haswa. Ipo hivi Kenya walikuwa Wana deal na Corona kwa mission kubwa mbili. Moja kuua kabisa Utalii wa Tanzania kwa kusema kuwa...
  8. Rais Magufuli anapenda kuona watanzania wakiumia?

    Wakulima wa nchi hii wanauza Mahindi, Mchele, Karanga, Machungwa kwa wingi katika miji ya Mombasa na Nairobi yaani wanategemea soko kwa 60%. Wafanyabiashara wa ng'ombe wa Tanzania ndi wanalisha nairobi na kenya nyama na wanategemea kipato kutoka Kenya. Tunauza mbao kwa wingi nchini Kenya...
  9. Kenya na Tanzania sasa zimefika pabaya. Nani anatia ngumu? Leo madereva 51 kati ya 53 waliokutwa na Corona mpakani na Kenya ni watanzania!

    Hizi nchi kwa huu utawala hazitakuwa na mwisho mzuri. Ukiona hadi Raila analalamika basi shida ni lazima ipo kwa Rais wetu. Tumwambie ukweli. Kwa takwimu hizi za madereva 51 kati 53 waliokutwa na Corona kwenye mpaka kati ya Kenya na Tanzania kuwa watanzania basi ni lazima jambo lifanyike. Na...
  10. Mtazamo: Watanzania wengi wataishi maisha mazuri Sana muongo mmoja ujao kwasababu ya misingi anayoiweka Magufuli

    Mimi kidogo nimesoma uchumi.Hivyo nitatoa short analysis ya kiuchumi. Miaka kumi ijayo Tanzania itakuwa Kama afrika ya kusini au ureno. Hebu fikiria yafuatayo. Umeme mkubwa wa stiglaz gorge ambao utailuminate nchi yote na bado tukabakiwa na ziada. Mradi wa REA ambao umeiluminate vijiji vingi...
  11. Hivi ni nani anawadanganya watanzania kuwa lockdown haifanyi kazi? Hata kama tumeigomea, tuache kupotoshana!

    Naona kumekuwepo na hali ya upotoshaji nchini kuwa hatua za lockdown hazina manufaa! Hili naona kama ni upotoshaji ambao unasababishwa na ukweli kwamba viongozi wengi wameingiza siasa kwenye vita dhidi ya corona na matokeo yake ndo haya ya upotoshaji pamoja na mambo mengine. Mifano iko mingi...
  12. Kuendelea na shughuli zao za kawaida je Watanzania wamekubaliana na Rais wao!?

    Pamoja na janga la Covid 19 kuendelea kuukumba Ulimwengu na karibu Nchi nyingi kuwafungia wananchi wao lakini hali ni tofauti kwa upande wa baadhi ya mataifa ikiwa pamoja na Tanzania. Watanzania wengi wameendelea na shughuli zao za kawaida kama wanavyoaswa na Rais wao na inaonyesha hawana...
  13. Magufuli anatupigania WaTanzania. Wengi wetu hatufahamu!

    Nianze kwa kusema mimi sio muumin wa chama chochote cha siasa Tanzania, lakini naipenda sana nchi yangu Tanzania. Nimekua nikimfuatilia kwa ukaribu Rais Magufuli toka ameingia madarakani mwaka 2015. Huyu mzee ni mtu ambaye nimegundua ana nia nzuri na hii nchi, ila tatizo ana maadui wengi...
  14. Mh. Mbowe kuomba msamaha kwa Watanzania

    Great Thinkers, Nawaza waza, kwa jinsi vikundi vya wapinzani walivyoshindwa kuiyumbisha Tanzania chini ya Jemedari mahiri na makini, mcha Mungu Dkt Magufuli ninaona kabisa Mh. Mbowe akipiga goti kuomba msamaha kwa watanzania na kwa taasisi ya Rais. Je, akipiga goti na kutubu nyie mashabiki...
  15. Uganda: Visa 24 vya madereva wa malori vyaongezeka, wakiwemo Watanzania 6. Jumla ya visa vya COVID19 vyafikia 227

    Jana, Mei 16, 2020 Uganda imetangaza visa vipya 24 vya COVID19 vimeongezeka na vyote vikiwa ni vya Madereva wa Malori na kufanya jumla ya visa kufikia 227 Wizara imesema jumla ya sampuli 2,598 zimepimwa kati ya hizo; 2,044 ni za Madereva wa malori na 554 ni za Wakazi wa Uganda ambapo zote 554...
  16. Watanzania wengi wanatamani wawe raia wa nchi zinazopambana na Corona kwa dhati ili kuwa na uhakika wa kuishi

    Hili jambo limenishangaza sana ! wananchi wengi wamejiridhisha kwamba nchi yetu haipambani na corona kwa dhati kama nchi nyingine zote duniani , Tumeshuhudia pia juhudi za viongozi kutaka kuwaaminisha wananchi kwamba corona kwa Tanzania ni jambo jepesi tu . Bali kinachoshangaza wananchi ni...
  17. Madereva 1,000 wa malori Watanzania wamegoma kuvuka mpakani Tunduma

    Takribani madereva 1,000 wa malori Watanzania wamegoma kuvuka mpakani Tunduma mkoani Songwe kuingia Zambia kwa muda usiojulikana kwa madai kuwa wamechoshwa na ahadi hewa kuhusu utatuzi wa malalamiko yao ya kunyanyaswa na maafisa wa Zambia.
  18. J

    Watanzania waliokuwa India wamewasili salama na kuchukuliwa vipimo vya Corona uwanja wa ndege majibu watapewa kesho

    Watanzania waliokwama nchini India na hatimaye serikali ya CCM kutuma ndege ya ATCL ikawachukue kuwarejesha nyumbani wamewasili salama. Mara baada ya kuwasili wataalamu wa maabara kuu wamechukua sampuli zao ili kujiridhisha kama kweli hawana maambukizi ya Covid 19 na majibu yao watayapata...
  19. Visa vipya 43 vya COVID19 vya madereva wa malori vyathibitishwa Uganda. Wapo Watanzania Watano

    Jana, Mei 15, 2020 Uganda imetangaza visa vipya 43 vya #COVID19 vimeongezeka na vyote vikiwa ni vya Madereva wa Malori na kufanya jumla ya visa kufikia 203 Wizara imesema jumla ya sampuli 2,558 zimepimwa kati ya hizo; 1,838 ni za Madereva wa malori na 720 ni za Wakazi wa Uganda ambapo zote 720...
  20. Wagonjwa 21 wa COVID19 waongezeka huku 7 kati yao wakiwa ni Watanzania

    Visa ya #COVID19 nchini Uganda vimefikia 160 baada ya visa vipya 21 kutangazwa jana kufuatia sampuli 1,896 kupimwa hapo jana Kati ya sampuli hizo, 1,593 ni madereva wa malori na 303 ni sampuli kutoka katika jamii za Watu wa Uganda. Wagonjwa wapya wote ni madereva wa Malori Kati ya Wagonjwa hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…