watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Aibu kubwa ambayo inatia kinyaa kwa Watanzania

    Hapo awali CHADEMA kilionekana Chama ambacho sasa kimekuja kuwakwamua Watanzania toka katika tatizo kubwa lilikuwa linaiharibu nchi ya Tanzania. Maana kilikuwa ndio mwiba kwa serikali ya CCM ambayo ilikuwa imechafuka na kuruhusu mianya ya ufisadi katika kila sekta. Palipotokea ufisadi wowote...
  2. Waziri Mkuu Majaliwa toka hadharani uwaombe radhi watanzania

    Kwako Waziri Mkuu (PM), Majaliwa Kassim Majaliwa Mwaka jana ukiwa bungeni ulitoa ahadi ya kuajiri walimu 16,000 mwaka wa fedha 2019/2020. Mpaka sasa hakuna kilichofanyika na bunge karibuni linavunjwa mnarudi majimboni kujipanga na Uchaguzi Mkuu. Mh. Kassim kama unavyojua UCHAGUZI ni mchezo wa...
  3. Tukio limetokea Marekani, wanaoumia na kuteseka ni watanzania

    Tukio limetokea Marekani, wanaoumia na kuteseka ni wabongo kisa mtu mweusi kuuawa. Hao wanaoandamana na kuvunja maduka na kuiba bidhaa zilizomo walikuwa wapi hawakuandamana kipindi Marekani amevamia na kuuwa "innocent people" bila kujali wazee, watoto na wajane, bila huruma yoyote! Nchi za...
  4. Wachina wacharanga Watanzania mapanga ndani ya Tanzania

    Halafu mbaya zaidi, walisaidiana na Watanzania wengine kukatakata wenzao kwa mapanga, ama kwa kweli Watanzania mumekua aibu ya Afrika. ====== POLISI mkoani Mbeya inawashikilia watu nane, wakiwemo raia watano wa China, kwa tuhuma za kujeruhi Watanzania wawili kwa kuwacharanga na sime, baada ya...
  5. Wachina watano mbaroni kwa kujeruhi Watanzania kwa sime

    POLISI mkoani Mbeya inawashikilia watu nane, wakiwemo raia watano wa China, kwa tuhuma za kujeruhi Watanzania wawili kwa kuwacharanga na sime, baada ya kutokea ugomvi kati ya Wachina wanaomiliki kampuni ya michezo ya kubahatisha, maarufu kama Bonanza na watu waliokuwa wanacheza mchezo huo. Kwa...
  6. Wagonjwa 28 wa COVID-19 waongezeka Uganda. Watanzania wengine wanne wakutwa na maambukizi

    Wizara ya Afya nchini humo imetangaza ongezeko la Wagonjwa wengine 28 na kufanya jumla ya visa vya #CoronaVirus Nchini humo kufikia 281 Wagonjwa 21 ni madereva wa malori walioingia Uganda kupitia mpaka wa Elegu wakitokea Sudan Kusini huku 7 ni waliokuwa Karantini baada ya kukutana na madereva...
  7. Kenya: Watanzania watatu wakamatwa na kuwekwa Karantini, mmoja akimbia. Wadaiwa kuingia nchini humo kinyemela

    Mtanzania mmoja amekimbia na wenzake watatu wamekamatwa na kuwekwa Karantini baada ya kuingia katika Kaunti ya Homa Bay kinyemela siku ya Jumatatu. Aliyekimbia alijifanya anaongea na simu wakati wakihojiwa na Mkuu wa eneo la Kagan Kusini, Sospeter Oyugi katika Kituo cha biashara huko Rangwe...
  8. Kama utawala huu utarudi madarakani 2020-2025 basi watanzania tujiandae kisaikolojia

    Poleni sana Watanzania wote napenda kutoa angalizo kuwa hali itakuwa tofauti sana endapo utawala huu utarejea madarakani. Kama ambavyo Marekani alishaonya kuhusu tume huru ya uchaguzi. 1: Huenda tukawekewa vikwazo vya kiuchumi hasa na taifa la Marekani. 2: Huenda wanasiasa watakaopigwa...
  9. Kenya yaendelea kuzuia Watanzania kuingia Taveta na kufanya biashara

    Wafanyabiashara katika mpaka wa Holili uliopo Wilaya ya Rombo wamelalamikia kitendo cha wao kunyimwa kuingia nchini Kenya kufanya baishara na kutakiwa kuagiza mizigo kwa njia ya simu huku wao wakiingia nchini na kufanyabiashara bila kubughudhiwa. ======= nomasana, sam999, NairobiWalker...
  10. Uganda yatangaza Visa vipya 31 vya COVID19, visa 16 ni Watanzania

    Uganda imetangaza Wagonjwa 31 wapya wa #COVID19 waliopatikana baada ya sampuli 1,116 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 253 Wagonjwa 23 ni kutoka mipakani ambapo sampuli 896 zilichukuliwa na 8 ni waliopimwa wakiwa Karantini baada ya kukutana na madereva...
  11. Watanzania waliokwama kwa lockdown Afrika Kusini warejea nchini

    Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Meja Jenerali (Mst) Gaudence Milanzi Jumatatu Mei 25, 2020 amesimamia zoezi la repatriation (usafirishaji) wa dharura) ya Watanzania pamoja na raia kadhaa wa nchi hiyo waliokwama kutokana na Lockdown na kusitishwa safari za ndege inayoendelea huko, kutoka...
  12. Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa

    Wanabodi, Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho...
  13. M

    Mwanasiasa atabiri Watanzania Mil. 1 watakufa kwa Corona, Mkuu wa Wilaya Gairo amjibu, amwambia ataanza yeye

    Korona itathibitisha upumbavu wetu, kuna wajinga wanaofikiri hatuna korona imeisha. Mwanasiasa atabiri Watanzania Mil. 1 watakufa kwa Corona / Apewa jibu hili ===== Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Siriel Mchembe, amewataka viongozi wa dini wilayani Gairo kuiombea Wilaya hiyo na Taifa, dhidi ya...
  14. Eid Mubarrak to all members of JamiiForums

    Eid imeangukia Mokonda Day😁😁. Enewei, muwe na sikukuu njema wakuu.
  15. Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba Anawatakia Waislam Na Watanzania Wote Sikukuu Njema ya Eid El Fitr #ChukuaTafadhaliCoronaInazuilika

    Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba Anawatakia Waislam Na Watanzania Wote Sikukuu Njema ya Eid El Fitr
  16. Kwanini Watanzania wa 2015 na nahisi hadi wa 2025 wana Roho Mbaya na Wachoyo kuliko wale Watanzania wa 2005 hadi 2015?

    Huu ni Mwaka wa Tano sasa sikaribishwi katika Sikukuu hizi Kubwa Kubwa kama ilivyokuwa zamani. Hadi nimejiuliza kwani Watanzania wa kuanzia mwaka 2015 hadi leo hii wana nini na mbona hawafanani kwa Roho nzuri na Ukarimu hadi wa Kugawiana Pesa na Zawadi kama wale wa mwaka 2005 hadi 2015?
  17. Ushauri: Serikali iiagize BAKWATA itangaze kesho Eid El Fitr ili watanzania washerehekee pamoja na sherehe za kuiaga Corona

    Sherehe za kuiaga corona nchini Tanzania zinafanyika kesho jumapili Nashauri vyombo vya dola viiagize Bakwata pia itangaze kesho Eid El Fitr ili wananchi wakiwa wanasherehekea Eid, pia wanapiga pilau la kuiaga corona Pia hii itafanya masheikh misikitini kupiga dua za kumshukuru Mungu, na...
  18. Unapopingana na Rais Magufuli jiandae kuchukiwa na watanzania

    Unapopingana na JPM jiandae kujibu maswali yafuatayo kutoka kwa Watanzania UMEME: Ukipingana na JPM watanzania watakuuliza unataka tusipate umeme wa uhakika utokanao na Bwawa LA Nyerere yaani unataka tusipate megawati 2115 za umeme unataka tusiwavutie wawekezaji kwamba Tanzania tuna umeme wa...
  19. Watanzania 119 warejeshwa nchini wakitokea Falme za Kiarabu

    Takribani watanzania 119 waliokuwa wamekwama katika nchi za Falme za Kiarabu baada ya mlipuko wa Corona wamesili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere majira ya saa nane mchana kwa ndege ya shirika la ndege la FLY Dubai. FLY Dubai imewarejesha watanzania hao waliokuwa wamekwama...
  20. Watanzania tumekataa kufa njaa na corona tunapambana nayo

    Corona ilipoingia duniani iliwaambia watu wafanye uchaguzi wako tayari kufa kwa corona au njaa? Waliochangua njaa wakaji-lockdown ili wasife kwa corona, wafe njaa. Watanzania tukasema No; kufa njaa ni kujitakia. Tukifa njaa hata Mungu atatuona wajinga ndio maana hatuku-lockdown watu wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…