Unapopingana na Rais Magufuli jiandae kuchukiwa na watanzania

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,395
3,899
Unapopingana na JPM jiandae kujibu maswali yafuatayo kutoka kwa Watanzania

UMEME: Ukipingana na JPM watanzania watakuuliza unataka tusipate umeme wa uhakika utokanao na Bwawa LA Nyerere yaani unataka tusipate megawati 2115 za umeme unataka tusiwavutie wawekezaji kwamba Tanzania tuna umeme wa uhakika kwa gharama nafuu ambao huu umeme wa uhakika utasababisha kujengwa viwanda vingi vitakavyozalisha bidhaa kwa bei nafuu kupunguza ukali wa maisha kwa Watanzania
..
RELI: Ukipingana na JPM unataka kuwakasirisha Watanzania na watakuuliza maswali kuwa unataka tusijengewe Reli ya kisasa kutoka Dar es Salaam mpaka Mwanza, Kigoma watakuuliza uwaeleze kwa kina lengo lako maana Reli hii ikishakamilika itaharakisha na kurahisisha ukuaji wa uchumi kwa kupunguza muda na gharama za usafiri

Ukipingana na JPM watu watakuuliza kuhusu kufufuliwa kwa AIR TANZANIA, TTCL, TWIGAL MINERAL processing, AIRTEL, BARICK GOLD COOPERATIONS AGREEMENT, USHIRIKA, VITA YA RUSHWA NA UFISADI.

Ukipingana na JPM watanzania watakuuliza unataka tusipate MIKOPO YA ELIMU YA JUU, HUDUMA BORA ZA AFYA, MAJI SAFI NA SALAMA, MIUNDOMBINU YA BARABARA ZA LAMI.
 
Ukipingana na JPM watu watakuuliza huoni ajira zilivyomwaga katika sekta zote?
 
Huo ndio ukweli,anguko kuu laja kwa wale wanaofikiri kumpinga Magufuli kutadhoofisha jitihada za serikali anayoiongoza yenye nia ya kweli ya kuleta maendeleo kwa watanzania.
 
Unapopingana na JPM jiandae kujibu maswali yafuatayo kutoka kwa Watanzania

UMEME: Ukipingana na JPM watanzania watakuuliza unataka tusipate umeme wa uhakika utokanao na Bwawa LA Nyerere yaani unataka tusipate megawati 2115 za umeme unataka tusiwavutie wawekezaji kwamba Tanzania tuna umeme wa uhakika kwa gharama nafuu ambao huu umeme wa uhakika utasababisha kujengwa viwanda vingi vitakavyozalisha bidhaa kwa bei nafuu kupunguza ukali wa maisha kwa Watanzania
..
RELI: Ukipingana na JPM unataka kuwakasirisha Watanzania na watakuuliza maswali kuwa unataka tusijengewe Reli ya kisasa kutoka Dar es Salaam mpaka Mwanza, Kigoma watakuuliza uwaeleze kwa kina lengo lako maana Reli hii ikishakamilika itaharakisha na kurahisisha ukuaji wa uchumi kwa kupunguza muda na gharama za usafiri

Ukipingana na JPM watu watakuuliza kuhusu kufufuliwa kwa AIR TANZANIA, TTCL, TWIGAL MINERAL processing, AIRTEL, BARICK GOLD COOPERATIONS AGREEMENT, USHIRIKA, VITA YA RUSHWA NA UFISADI.

Ukipingana na JPM watanzania watakuuliza unataka tusipate MIKOPO YA ELIMU YA JUU, HUDUMA BORA ZA AFYA, MAJI SAFI NA SALAMA, MIUNDOMBINU YA BARABARA ZA LAMI.
Nadhani ungeondoa jiandae kuchukiwa na watanzania..
Ungeweka jiandae kuchukiwa na vyombo vya dola.. chama tawala.. na makada wake.
Hii ndi hali halisi.
Si watanzania wote ni fuata upepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jpm babalao yeye ndio kila kitu hapa nchini

Sent using Jamii Forums mobile app
@USSR ukiwa unatafakari maendeleo uliyopata chini ya jpm
IMG_20200507_092926.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapopingana na JPM jiandae kujibu maswali yafuatayo kutoka kwa Watanzania

UMEME: Ukipingana na JPM watanzania watakuuliza unataka tusipate umeme wa uhakika utokanao na Bwawa LA Nyerere yaani unataka tusipate megawati 2115 za umeme unataka tusiwavutie wawekezaji kwamba Tanzania tuna umeme wa uhakika kwa gharama nafuu ambao huu umeme wa uhakika utasababisha kujengwa viwanda vingi vitakavyozalisha bidhaa kwa bei nafuu kupunguza ukali wa maisha kwa Watanzania
..
RELI: Ukipingana na JPM unataka kuwakasirisha Watanzania na watakuuliza maswali kuwa unataka tusijengewe Reli ya kisasa kutoka Dar es Salaam mpaka Mwanza, Kigoma watakuuliza uwaeleze kwa kina lengo lako maana Reli hii ikishakamilika itaharakisha na kurahisisha ukuaji wa uchumi kwa kupunguza muda na gharama za usafiri

Ukipingana na JPM watu watakuuliza kuhusu kufufuliwa kwa AIR TANZANIA, TTCL, TWIGAL MINERAL processing, AIRTEL, BARICK GOLD COOPERATIONS AGREEMENT, USHIRIKA, VITA YA RUSHWA NA UFISADI.

Ukipingana na JPM watanzania watakuuliza unataka tusipate MIKOPO YA ELIMU YA JUU, HUDUMA BORA ZA AFYA, MAJI SAFI NA SALAMA, MIUNDOMBINU YA BARABARA ZA LAMI.

ndio wapinzani walipokosea, hata kumkubali kinafiki na kupinga kidogo

wanachukiwa kwa kweli
 
Liko wazi kabisa!
 
Back
Top Bottom