Kenya yaendelea kuzuia Watanzania kuingia Taveta na kufanya biashara

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
28,944
2,000
Wafanyabiashara katika mpaka wa Holili uliopo Wilaya ya Rombo wamelalamikia kitendo cha wao kunyimwa kuingia nchini Kenya kufanya baishara na kutakiwa kuagiza mizigo kwa njia ya simu huku wao wakiingia nchini na kufanyabiashara bila kubughudhiwa.

=======nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican,Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11

MY TAKE
Pale Mkenya anapomgwaya Mtanzania kibiashara na kuamua kumfungia! Mwanzo sababu ilikuwa coronavirus ila baada ya utaratibu wa kupimwa kuwekwa wanaendelea kuzuia wafanyabiashara wa Tanzania kuingia Kenya!
 
Bugucha

JF-Expert Member
Jan 3, 2020
400
1,000
Hii inshu, ni kufunga mpaka kabisa, no need of discussion on anything japo wafanyabiashara wetu wataumia kwa mda,lakini hii ni too much. Jana niliona hata ule mtiti wa madereva uko vile vile, yaani wanasubiri hadi 7 days, pande zote!
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
4,751
2,000
Geza Ulole,

Wacha ujinga. Tulikubali tu madereva wa Tanzania kuingia Kenya baada ya kupimwa huko kwenu. Hamna mahali popote tulikubali wafanyabiashara wa Tanzania kuingia Kenya. Nyie watu hata uelewa wenu ni mdogo sana. Sasa kila mtu afuate mkataba. Sasa mnavunja mkataba kwa nini?
 
Mbaki kwenu shenzy type! Trucks za Tanzania zinazuiwa pia! Kwani trucks za Tanzania zinaleta nn Kenya?
 
komora096

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
10,387
2,000
Geza Ulole, Wauziane wao kwa wao, mbna wanalalamika na bado mwezi haujaisha
Cc:Mk254 kuja hku uone vile jamaa wa majigambo wanavyoumbuka..
Km hawaihitaji kenya mbna wanangangania basi
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
28,944
2,000
Kenyan businessmen are already in Ethiopia and Uganda sourcing commodities, kwanza onions, pineapples ziko kwa wingi

Sent using Jamii Forums mobile app
Lori la Mizigo ya gunia la viazi kutoka Rombo Kilimanjaro kuelekea Taveta Kenya lasimamishwa, na kupimwa uzito wa kila gunia na viazi vya ziada kurudishwa kwa Mkulima muhusika. Hii ni kutokana na serikali ya JPM kuingilia kati kukomesha tabia ya kuuza magunia ya lumbesa yanayompunja mkulima!

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
18,724
2,000
Hii inshu, ni kufunga mpaka kabisa, no need of discussion on anything japo wafanyabiashara wetu wataumia kwa mda,lakini hii ni too much. Jana niliona hata ule mtiti wa madereva uko vile vile, yaani wanasubiri hadi 7 days, pande zote!
Tuliwaambia hamna siku tunaweza kuruhusu hao madereva waingie na kutuambukiza corona eti kisa mumelialia sana, lazima kila mtu apimwe na asubiri sana, sisi hatujajichokea kama nyie watu, bado tunathamini afya ya watu wetu.

Hivi Drone Camera ugumu wenu wa kufuata sheria za nchi za watu ni nini haswa, nilishasema na nitasema tena unapong'ang'ania kuingia kwenye nchi ya watu, kubali masharti yao au ugeuze, wakisema ili uruhusiwe kwao lazima ushikishwe ukuta, basi kubali, la sivyo geuza, na ndio maana huwa hata sina haja ya kuchangia kwenye nyuzi zinazojadili kuhusu masaibu ya madereva wa Kenya Uganda, ile ni nchi ya watu, wana haki ya kufanya watakalo, ila na wao wakija kwetu wawe tayari kwa lolote.

Na nyie mpunguze kulialia, aidha mvumilie njaa mkiwa kwenu au mkubali masharti yetu ya kupimwa kwanza.
 
passioner255

JF-Expert Member
Apr 22, 2019
260
500
Tutawaminya tena chezeni na tz.
Geza Ulole,

Wacha ujinga. Tulikubali tu madereva wa Tanzania kuingia Kenya baada ya kupimwa huko kwenu. Hamna mahali popote tulikubali wafanyabiashara wa Tanzania kuingia Kenya. Nyie watu hata uelewa wenu ni mdogo sana. Sasa kila mtu afuate mkataba. Sasa mnavunja mkataba kwa nini?
 
Teargass

JF-Expert Member
Apr 23, 2018
11,651
2,000
Geza Ulole, Wauziane wao kwa wao, mbna wanalalamika na bado mwezi haujaisha
Cc:Mk254 kuja hku uone vile jamaa wa majigambo wanavyoumbuka..
Km hawaihitaji kenya mbna wanangangania basi
Nilimwambia that Tanzania is like a jealous girlfriend. You cheat on her alafu akirealise your actions unamwingiza box by sweet words to cool down akuachie space ya kudeal na ex. And that's what Kenya did to Tanzania. Tumewandanya na few enticing words wakati tunaendele na objectives zetu.
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
18,724
2,000
Nilimwambia that Tanzania is like a jealous girlfriend. You cheat on her alafu akirealise your actions unamwingiza box by sweet words to cool down akuachie space ya kudeal na ex. And that's what Kenya did to Tanzania. Tumewandanya na few enticing words wakati tunaendele na objectives zetu.
Madereva wao bado tunawapima, kipimo kiko pale pale....hakuna kuingia hivi hivi kama unayeingia chooni.
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
18,724
2,000
Mmeitikia neno la Jiwe la kutotangsza wenye corona wanatoka nchi gani.
Madhumuni yetu, dira yetu, nia yetu, dhamira yetu, sera zetu, malengo yetu, maono yetu ni afya ya Wakenya kwanza.....
Kila anayeingia lazima tumpime sisi, akiomba asitangazwe au nchi yake ikituomba tusimtangaze na kumpokeza kimya kimya, tunapokeza bila kuwasema.
Tanzania imeamua watu wajifie au kupona kimya, hayo ni maamuzi yenu kwenye uhuru wenu, na kama taifa huru ilmradi hamtuambukizi, wala hatuwezi kuingilia, tunawaacha mpambane huko huko na hali yenu. Hii hata mabeberu wanaowapa misaada hawawezi kuingilia....

Hivyo tunaendelea kuwapima madereva wenu, kila mmoja hapiti bila kupimwa na mtaalam Mkenya.
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
43,551

Na hii ndiyo sababu kubwa itakayo tufanya tumchague tena Dr John Pombe Magufuli, jembe kutoka Chato. Wakenya schenk wivu.
 
kilamuruzi

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
924
1,000
Madhumuni yetu, dira yetu, nia yetu, dhamira yetu, sera zetu, malengo yetu, maono yetu ni afya ya Wakenya kwanza.....
Kila anayeingia lazima tumpime sisi, akiomba asitangazwe au nchi yake ikituomba tusimtangaze na kumpokeza kimya kimya, tunapokeza bila kuwasema.
Tanzania imeamua watu wajifie au kupona kimya, hayo ni maamuzi yenu kwenye uhuru wenu, na kama taifa huru ilmradi hamtuambukizi, wala hatuwezi kuingilia, tunawaacha mpambane huko huko na hali yenu. Hii hata mabeberu wanaowapa misaada hawawezi kuingilia....

Hivyo tunaendelea kuwapima madereva wenu, kila mmoja hapiti bila kupimwa na mtaalam Mkenya.
Mimi sion haja ya kuwa mausiano na Kenya. Kwanza natamani hata balozi zingefungwa. Kenya siyo watu wema kwa Tanzania ilo wachache wanajua .kuna watanzania wengi wanaulwa Kenya na kuzikwa kama mizoga ya mbwa
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
18,724
2,000
Mimi sion haja ya kuwa mausiano na Kenya. Kwanza natamani hata balozi zingefungwa. Kenya siyo watu wema kwa Tanzania ilo wachache wanajua .kuna watanzania wengi wanaulwa Kenya na kuzikwa kama mizoga ya mbwa
Huwa tunavumiliana tu maana hatuna jinsi, tuliwahi kufungiana mipaka ila ikaja kufunguliwa na wajukuu, mlivyo wazembe na wavivu huwa tunalazimika kwenda na nyie hivyo hivyo tu. Tatizo lenu kubwa mnaishi kwa wivu na majungu, hata huoneana wivu baina yenu sembuse nchi majirani.
Tunalazimika kuwavumilia tu na kuwakuna kila mkinuna maana sisi kama mabepari haja yetu kubwa ni kupiga hela, hatuna huo ujinga wenu wa kuitana ndugu ilihali mnahujumiana chini kwa chini kiunafiki.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom