Watanzania tusiogope mabadiliko. Tumekuwa katika mfumo wa CCM kwa zaidi ya miaka 60 sasa (1954-2020) actually kwa miaka 66 sasa mfumo CCM unatawala akili za watanzania. Mnataka CCM itawale kwa miaka mingapi? 100? Nchi zinazotuzunguka zote walishabadilisha vyama vikongwe vyote, ni sisi tu...