There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Najua pengine ukali wa speech zako kwa namna Fulani unachangiwa na madhila uliyopitia ambayo Mungu wa Rehema alikuepusha.
Labda tu kukushauri unapoanza safari ndefu ya kampeni katika kuwaomba watanzania wakuchague jaribu kuwa moderate unapokuwa unatoa speech zako na pia jikite Zaidi katika...
Heshima kwenu Wakuu,
Leo nccrmageuzihq Wanafanya MKutano Mkuu ambao unafanyikia katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar Es Salaam. Mwaka huu NCCR wamejipanga kushiriki Uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba kikamilifu.
Dira na Madhumuni ya NCCR ni Kuwa chama chenye nguvu kinachofuata itikadi ya...
Tunayo mito, maziwa na bahari.
Tunayo Madini ya aina karibu zote na mengine hayapatikani popote hapa Ulimwenguni. Raia tunaishi kwa amani na raha kabisa! Tumejaaliwa ustaarabu wa kiwango kisicho elezeka!
Shime wana siasa yawapasa nyote muisaidie Nchi yetu kusonga mbele daima kwa kutumia...
Mtia nia mmoja baada ya kushindwa kupita kataika kura za maoni ya kugombea ubunge,alisikika akilalamika kwa kusema. ''Wale sio wajumbe wale ni WATANZA NIA.Yaani pamoja na kuniahidi kwamba watanipa kura za kutosha ili niteuliwe kuwa mgombea,nia yangu wameitanza na kupoteza matumani ya kuwa...
CHADEMA wamekuwa wakijipa matumaini hewa kuhusu mgombea wao Lissu kushinda wakisema yuko popular sana. Wakisema wanalalia mtaji wa kura za 2015 ambapo Lowasa alipata kura milioni sita.
Kitu kimoja wanasahau Lowassa alikuwa Waziri Mkuu muda mrefu na Waziri aliyejulikana sana vijijini ambako...
Ndugu zangu mpaka kufikia sasa, bado sioni kama upinzani wa Tanzania uko na energy ya kuweza kuchukua na kuendesha dola Oktoba 2020. Sababu ni nyingi, ukiacha nguvu ya CCM kwa sasa, upinzani huu haujajipanga.
Najaribu kuangalia hoja ya ushirikiano iliyoletwa na Maalim Seif kwenye mkutano mkuu...
Kenya isikubali Watanzania waje huku kutuongezea corona. Hawa Watanzania wanadanganya eti hawana corona lakini ni dhahiri shahiri kuwa wao wana corona na wanakufa kwa wingi tu. Kenya isiogope hasira za mkizi kutoka kwa Watanzania. Afya ya Wakenya ipewe kipaumbele.
Kwenye msiba wa mzee Mkapa, kwa majirani zenu wote, Burundi tu ndiye alijitutumua kutuma ujumbe, sisi Wakenya tulituma japo ikasemekana mliwafukuza na kusingizia hali ya hewa, Malawi hakuja mtu, Zimbabwe hakuja mtu, Zambia kimya, Mozambique wala hata mmoja, Rwanda ndio chali kabisa, Bakongo/DRC...
Habari za wakati huu;
Tundu Lissu ni mtundu
Haikuwa katika mipango yake ya kisiasa kugombea Urais 2020 ila mtiririko wa matukio ulimweka katika nafasi ya kuamini kwamba anaweza akagombea Urais
Tundu is very smart
Tundu Lissu anafahamu kuhusu uwezo wake na nafasi yake ya kuweza kumpa John Pombe...
Hapo chini ni habari ya mwaka 2003 kuhusu mapigano makali ya kutetea haki za wananchi takribani 62 waliohofiwa kuuawa na serikali wakati wa kuwanyang'anya maeneo ya wachimbaji wadogo wadogo na kuyapatia makampuni makubwa ya mabeberu na jinsi mwanaharakati mahiri Tundu Lissu alivyopitia...
Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada.
Siyo siri tena zama zimebadilika na matukio yanakwenda kwa kasi sana. Taifa letu likipita katika kipindi kigumu ambapo kwa bahati mbaya kumezuka hata makundi katika jamii ambayo yamelenga kupiga makelele tu yakijaribu kulazimisha kuufanya uongo...
Ama kwa hakika mambo si shwari. Naona ndege za Tanzania nazo zimeanza kupata hitilafu kama ile ya Kenya
---
Akizungumza jijini Nairobi wakati akitoa taarifa kuhusu mwendendo wa maambukizi ya janga la Covid-19 nchini Kenya, Waziri wa Usafirishaji James Macharia amesema kuwa anga la Kenya...
Kuna miradi mikubwa mitatu (Signature projects) ambayo JK aliamua kuizindua mwishoni mwa utawala wake.
Miradi hiyo ni
1. Mwendokasi DSM
2. Daraja la Kilombero
3. Hospitali ya Benjamin William Mkapa iliyoko ndani ya Campus ya chuo kikuu cha UDOM
Miradi yote hii, JK aliizindua kuelekea mwishoni...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huwa ninaandika kitu kupitia safu yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye kuhimiza patriotism kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa taifa letu, kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Pia niliwahi kusisitiza humu kuwa unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua...
Ilipotolewa orodha ya ndege zinazoruhusiwa kuingia Kenya, na humo Watanzania wakaona zao hazimo, jamaa wamelialia sana ikiwemo hata wale ambao hawajawahi kukaribia uwanja wa ndege na wala hata siku moja hawategemei kuiona ndege wachilia mbali hata kuabiri. Taifa lote kuanzia walalahoi mitaa ya...
Ona kwenye hii picha mlivyochorwa kwa alama nyekundu kwamba ukanda huu wa EAC ni nyie tu mnatakiwa mpimwe corona ndani ya masaa 96 na pia mpimwe mara mbili, moja kwenu na nyingine huko UAE kabla kuingia, hamjiulizi mbona dunia inawatenga licha ya kujiaminisha mumepona corona kimiujiza.
Sisi...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa mstaafu, Semistocles Kaijage, amesema daftari la wapiga kura lina wapigakura milioni 29,188,347.
Nipashe.
Kimahesabu hapo najua Magufuli ana Kura zake Milioni 20 Kamili, Lissu ana Kura Milioni 9,188,347 na Membe ana 0. Mshindi kuwa...
Kenya iliposema lazima kila Mtanzania anayekuja huku apimwe kwanza, Watz walipiga makelele sana humu, wakafunga mipaka,
wakalipuka lipuka kwa kauli za kiajabu, ila baadaye walikubali yaishe maana hadi leo hakuna anayepita huo mpaka bila kupimwa, labda wanaotoa hongo kwa polisi wetu mafisadi...
Hivi sijui kama hawa watu wanajua Tz kuna ndege mpya 8.
===
The Government has announced that international flights will resume starting August 1 with China and Zimbabwe among countries allowed air travel to Kenya.
According to Transport CS James Macharia, agreed protocol dictates that...
Salaam Wakuu,
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki.
Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
chadema
corona
halima mdee
hotuba
inawezekana
jeshi
jeshi la polisi
lissu
magufuli
mimi
mpango
mungu
ofisi
picha
polisi
risasi
soma
taifa
tanzania
tundu lissu
urais
video
vyombo vya habari
watanzania
waziri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.