Hongera sana Watanzania wote chini ya uongozi imara wa CCM na kiongozi wetu Dkt. Magufuli

Dua

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
3,229
662
1603956305049.png

Hongera sana Watanzania kwa kutuheshimisha na kutuletea maendeleo. Dkt. Magufuli utaendelea kuwa kileleni katika uongozi uliotukuka.

Sasa tuna kazi moja kubwa ya kuijenga Tanzania kuelekea kwenye maendeleo ya kweli ya kuwanufaisha Watanzania kutokana na kazi zao. Watanzania tusonge mbele kuangalia tuboreshe wapi na tuongeze wapi.

Hongera sana Dkt. Magufuli kwa uongozi wako imara ambao hautetereki.
 
Chadema na wapinzani wacheni kulialia baada ya kubwagwa kwenye uchaguzi. Kosa lenu kubwa ni kudharau kazi kubwa ambayo JPM ameifanya kwenye kuboresha miundo mbinu (Fly overs Dsm, barabara) pamoja na Ujenzi wa SGR, Madaraja mbali mbali pamoja na meli ziwa Victoria, mahospitali, umeme nafuu, ujenzi wa Bwawa la umeme nk. Achilia mbali wachimbji wa madini ambao siku hizi hawadhulumiwi na walanguzi pamoja na kuwaweka machinga huru kufanya shughuli zao. Vitu ambavyo JPM amefanya vinaonekana. Kanunua ndege zetu kutokana na kodi zetu. Haya ni mambo yanayoonekana sio kuambiwa.

Mnapoponda ndege wakati vijana wote wadogo, wanafunzi wafanyakazi wote pamoja na wakulima wana hamu ya kupanda ndege. Mtu yoyote mwenye akili timamu anataka kusafiri kwa ndege japo kutoka mkoa moja hadi mwingine. Nyie mnaponda matamanio ya Watanzania mnaishi sayari gani?

Watanzania wanaona wana-muziki wa leo jinsi wanavyojitajirisha kwenye usanii wao na kuweza kuishi maisha mazuri. Msisahau sio nyinyi pekee ambao mnatakiwa kuishi maisha ya kifahari peke yenu. JPM anatimiza malengo yake ya kuwafanya Watanzania wanufaike na rasilimali zao na wasiishi maisha kama wapangaji kwenye nchi yao wenyewe. Charity begins at home.
 
Ww ni musiba, au? Maana porojo mnooo!
 
Watu kama nyie nawapiga block tu ili nisiendelee kuona ujinga wenu.
 
View attachment 1615315Hongera sana Watanzania kwa kutuheshimisha na kutuletea maendeleo. JPM utaendelea kuwa kileleni katika uongozi uliotukuka.

Sasa tuna kazi moja kubwa ya kuijenga Tanzania kuelekea kwenye maendeleo ya kweli ya kuwanufaisha Watanzania kutokana na kazi zao. Watanzania tusonge mbele kuangalia tuboreshe wapi na tuongeze wapi.

Hongera sana JPM kwa uongozi wako imara ambao hautetereki.
Naunga mkono hoja
p
 
  • Thanks
Reactions: Dua

Daaa,hata Kama ni mapenzi na chama,hata wewe mkuu,huu wizi,ubakaji,ujambazi wa demokrasia uliofanywa na ccm hauoni?

Kuanzia Ivory coast,Uganda,south sudan,misri,kote huko ni ubakaji wa siasa.
Demokrasia ya magharibi Haina faida kwa Afrika,

Lakini hata tukiiga mfumo wa china,au russia,hapa kwetu makada wa chama wanachowaza ni kuneemeka wao na familia zao,sio Kama wenzetu china communist party,ambao wanawaza kuifanya china iwe superpower.

Hapa kwetu mijitu ya kijani inachoweza ni kula kulimbikiza mali zao na familia zao tu
 
Mkuu lazima uwe na ushahidi. Haya mambo ya kukimbilia kulialia wakati wewe mwenyewe binafsi unakwama hayasaidiii. JPM ametoa fursa bwelele, sasa wewe unangoja nini? Tatizo lako ni nini? Mkopo? Huna account ya kuweza kufanya kazi? Zama za kulala na kutumbua bila kazi zimekwisha mzee, nchi haiwezi kuendelea na siku hizi hakuna watumwa tena ni lazima sisi wenyewe tujitume na kufanya kazi fursa zipo. Si unaona Tundu Lisu ameondoka na kwenda kula pesa za bure Belgium maana akikaa Tanzania hawezi kuishi maisha ya kifahari bila kufanya kazi. Wazungu bado wanahitaji maisha yao yaendelee kuwanyonya Waafrika. (Mnafikiri kule Belgium wazungu wanamlisha Tundu Lisu bure?) Angalieni kiama ambacho Belgium walikiacha Congo.
 
Back
Top Bottom