Kwa mkupuo, Twitter imeverify account za Watanzania zaidi ya 6

Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
2,397
3,884
Habari za hivi punde zinazoashiria upepo wa matumaini unazidi kuvuma, ni kuwa Twitter imeverify account zifuafazo, tena kwa mkupuo.

Tundu Lissu
Fatma Karume
Chadema Tanzania
John Mnyika
Zitto Kabwe
Carherine Ruge
ACT Wazalendo

Najua kuna watakaokuja na kubeza na hata kutaka kulinganisha na wengine ambao tayari wamekuwa verified, ila inaonyesha majority ya wamiliki wa hizi account hata hawakuomba hiyo verification.

Swali ni, kwa nini sasa? Kwa nini kwa mkupuo?
 
Back
Top Bottom