watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. BAK

    JamiiForums Tanzania Serikali inavyowakomoa walimu

    Baada ya kuelezea 'scenario' ya jana rafiki yangu mmoja amenitafuta. Ni rafiki yangu wa muda mrefu, lakini sikuwahi kujua sana kuhusu upande wa pili wa maisha yake. Yeye ni firstborn kwenye familia. Baba yake alifariki akiwa kidato cha 3, hivyo alipomaliza kidato cha 4 aliamua kusomea ualimu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Rais Magufuli kwa sababu enzi za "mitishamba" afya za Watanzania zilikuwa imara!

    Anachokisema Rais Magufuli ni kwamba Watanzania tusipaparikie chanjo bali tuimarishe kinga zetu kwa kutumia tiba na njia za asili ambazo zimekuwepo kwa muda mrefu. Nijuavyo mimi kitengo cha utafiti wa tiba za asili kimekuwepo tangu 1971 kabla hata ya hii NIMR iliyoasisiwa miaka ya 1980s na dawa...
  3. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Utafiti waonyesha Watanzania wengi wachafu huwa wanaenda kulala usiku bila kuoga

    Watu huamka asubuhi kwenda kwenye shughuli mbalimbali ambazo husabibisha mwili kuchafuka iwe kwa jasho au vumbi au chochote hivyo kufanya mtu awe mchafu. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na taasisi ya usafi imegundulika kuwa Watanzania wengi huenda kulala usiku bila kuoga wanaenda na uchafu...
  4. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Huko nje Watanzania tunadhauraulika sana siku hizi

    Wale wanaosafiri safiri kidogo ninaamini wananielewa. Enzi za Mwalimu (RIP baba/babu yetu), huko ubeberuni huyu mzee ingawa walikuwa hawampendi kwa misimamo yake lakini walikuwa wakimwogopa na kumheshimu mno. Why? Ni kwa vile alikuwa ana uwezo wa kuitetea misimamo yake scientifically (aka...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kuongeza muda ndicho kitakachowaunganisha Watanzania kupinga bila kujali itikadi zao

    Watanzania hatujawa na desturi ya kuwa na sauti moja katika kudai haki zetu, kila mtu hudai kivyake, wasanii hudai haki zao kivyao, madaktari hudai haki zao kivyao nk. huku kada zingine zikisema madai hayo hayawahusu kwa sababu sisi sio wasanii sisi sio madakitari. Pamoja na kuwa Watanzania ni...
  6. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujamaa system bana, sasa ni marufuku kwa Watanzania kufanya "jogging" siku za Ijumaa, Jumamosi, na Jumapili

    Yaani tu basi.... ======= Polisi Dar wapiga marufuku jogging siku za ibada Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema kuwa halitatoa vibali kwa ajili ya watu kufanya mbio za taratibu (jogging) katika siku za ibada kwa sababu wafanya mazoezi hao wamekuwa wakiwachelewesha waumini...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Je, Mtanzania, una imani Bunge linaloendelea Dodoma?

    Inasemekana kwamba hata ambaye amenyimwa macho basi angalau anapewa uwezo wa kunusa na kupapasa, hanyimwi vyote. Ukweli niliouona (maana macho ninayo) ni kwamba wananchi wengi wamelipuuza na kulidharau kabisa bunge jipya linaloendelea Mjini Dodoma, wadau hawana habari nalo wala hawataki hata...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Shock: Hospitali ya Kairuki yakataa wagonjwa wa ugonjwa wa mifumo ya hewa kijanja, yaweka bei isiyowezekanika kwa Watanzania wengi

    Katika hali inayoonekana ni muendelezo wa maisha magumu kwa wananchi. Hospitali ya Kairuki nchini imekuja na utaratibu wa kushangaza wa kutoza malaki ya hela kwa siku kwa mtu atakayeenda katika hospitali hiyo kutibiwa ugonjwa wa mifumo ya hewa. Katika utaratibu huo mgonjwa yeyote atakayekwenda...
  9. wazanaki

    JamiiForums Tanzania Tuzungumze leo Watanzania na Waafrika kwa ujumla

    Wakuu wakuu wakuu. Aisee mambo yanaenda wakuu. Kuna mengi ya kujadili ila muda mchache. Natumaini kila mtu ana pambana na shughuli zake za kila siku. Leo wakuu nimeamua tu tuongee kuhusu Maisha ya Tanzania na Afrika in general kwa maana ya kwamba Afrika tulikua wapi, tulipitia nn katika kipindi...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif awashukuru watanzania kwa kumuombea, awaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya Corona

  11. Hisha Sorel

    JamiiForums Tanzania Baada ya Watanzania Kulalamika Msimamo Magufuli juu ya umuhimu tahadhari dhidi ya Magharibi, Emu Tuchunguze Siasa za Mageuzi:Kimkakati vs Mageuzi huru

    Rais wa Tanzania Magufuli: aamuru Waz. ya Afya kuwa tahadhari juu ya chanjo mpya, aamuru kampuni za madini kuunda ushirikiano na kampuni za Tanzania, kazuia uingizaji wa bidhaa fulani kulinda soko la ndani, kaongeza ukusanyaji wa ushuru, kazuia usafirishaji wa mchanga wa madini, na sera zingine...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Watanzania , Afya yako ndio mtaji wako , Usiburuzwe na yeyote kwa sababu zozote zile , fuata mwongozo halali tu.

    Bila kumung'unya maneno naanza moja kwa moja kuwaasa wananchi wa Tanzania kulinda afya zenu wenyewe , hii ni kwa sababu usalama wa maisha yako ni HAKI YA KIKATIBA , mtu mdogo kama Meya wa Manispaa yoyote ile aliyetokana na udiwani wa kata hana mamlaka yoyote ya kisheria ya kuamuru mtu yeyote...
  13. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Nani aliwaambia watanzania kuwa dawa ikiandikwa 2x3 ni kumeza asubuhi, mchana na jioni?

    Kawaida dozi huwa inaandikwa kwa siku na siku ina masaa 24. Kwa hiyo ikiandikwa vidonge 2 mara 3 maana yake masaa 24 uyagawe kwa 3. Hapo unatakiwa kunywa dawa kila baada ya masaa nane na si asubuhi mchana na jioni(kila baada ya masaa 6). Hii ya kumeza asubuhi, mchana na jioni, Ilitoka wapi? Pia...
  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania hampo kwenye vyuo bora ukanda huu. Kenya na Uganda zaongoza

    Hizo huwa mnatutajia humu akina UDSM sijui UDOM hawapo hawatambuliki wala kusikika, ndugu zetu hata sayansi naona mnitelekeza kwa kauli za kuponda chanjo ya korona huku mkiendelea kupokea chanjo ya maradhi mengine kutoka kwa hao hao mabeberu. The University of Nairobi has been ranked the top...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Chonde Chonde Chonde Watanzania tukatae kinga kimya kimya

    Watanzania tuwe makini sana na haya mambo ya kinga, mengi yanasemwa kuhusu huu ugonjwa wa C ya 19 kuhusu chimbuko lake lakini watanzania tuwe makini tusijiweke 'front line' kupinga hii kitu na kuieleza dunia sisi tunaipinga. Tutambue Dunia hii haiendeshwi kwa mijadala huru bali ni mabavu ya...
  16. Mystery

    JamiiForums Tanzania Tunakubalije Watanzania wote maisha yetu yashikiliwe na mtu mmoja?

    Hakika hotuba aliyotoa jana Rais wetu Magufuli imeniacha na huzuni kubwa, kwa kuwa nilichobaini kutokana na hotuba hiyo ni kama maisha yetu watanzania wote, tumeyaweka rehani na kiyakabidhi mikononi mwa mtu mmoja, ambaye ndiye Rais wa nchi. Katika hotuba hiyo tulimsikia Rais akikanusha vikali...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hongera Watanzania kwa kuamua wenyewe kuchukua tahadhari dhidi ya Corona

    Sasa ni dhahiri Wananchi wa Tanzania wamekomaa kimawazo na kiakili , nimepita maeneo kadhaa ya jiji la Dar es Salaam , liliwemo eneo korofi la Kariakoo nimeshuhudia hatua kadhaa za kujilinda na maambukizi zikichukuliwa na wananchi wenyewe huku wakihamasishana kujifanyia usafi wa mikono kwa maji...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Kakakuona atabiri neema. DC awataka wakulima wafuate sheria za kilimo

    Mnyama Kakakuona ameonekana Wami Sokoine, Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro ambapo viongozi wa kimila na kidini walimtumia ili aweze kutabiri hali ya mwaka huu. Walimuwekea zana za kimila, zana za umeme na vifaa vingine ambapo alipita kati ya unga na maziwa hali iliyoonekana kuwa ishara ya...
  19. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Uwazi wa kila shilingi ya Watanzania

    Habari zenu wanasiasa. Natamani huu mfumo mpya Wa GePG uwe Wazima kwa Watanzania wote. Yaani hata ukigongewa mhuri mahakamani ukilipa 500 inaonekana kwa website Fulani ama kwa TBC kila muda na maelekezo ya hiyo Hela imekusanywa wapi. Mara traffic akampiga konda buku 5 ionekane ilikopatikana...
  20. Francis12

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima naombeni mpigie Kura Malisa GJ amekuwa mchango mkubwa sana kwa Jamii katika kugusa maisha ya Watanzania

    Anaandika Comrade Malisa GJ. Rafiki yangu mmoja kanitumia ujumbe "Malisa mbona huombi kura?" Ikabidi nimpigie kumuuliza kura za nini? Akaniambia za tuzo. Nikamuuliza tuzo zipi? Akaniambia umependekezwa kwenye tuzo ziitwazo Tanzania Inspiration Awards. Nikamwambia sina taarifa. Akanitumia...
Back
Top Bottom