Mama Panya aliona mtego wa panya uliotegwa na binadamu, alisononeka sana kwa sababu ya mtego ule uliokuwa unatishia kuangamiza maisha yake na watoto wake.
Alimfuata Jogoo, akamuomba amsaidie kuutegua ule mtego lakini Jogoo alikataa, alipomfuata mbuzi alimfukuza, akaenda kwa Ng'ombe akamjibu...