There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Katika hali inayoonekana ni muendelezo wa maisha magumu kwa wananchi.
Hospitali ya Kairuki nchini imekuja na utaratibu wa kushangaza wa kutoza malaki ya hela kwa siku kwa mtu atakayeenda katika hospitali hiyo kutibiwa ugonjwa wa mifumo ya hewa.
Katika utaratibu huo mgonjwa yeyote atakayekwenda...
Wakuu wakuu wakuu. Aisee mambo yanaenda wakuu. Kuna mengi ya kujadili ila muda mchache. Natumaini kila mtu ana pambana na shughuli zake za kila siku.
Leo wakuu nimeamua tu tuongee kuhusu Maisha ya Tanzania na Afrika in general kwa maana ya kwamba Afrika tulikua wapi, tulipitia nn katika kipindi...
Rais wa Tanzania Magufuli:
aamuru Waz. ya Afya kuwa tahadhari juu ya chanjo mpya,
aamuru kampuni za madini kuunda ushirikiano na kampuni za Tanzania,
kazuia uingizaji wa bidhaa fulani kulinda soko la ndani,
kaongeza ukusanyaji wa ushuru,
kazuia usafirishaji wa mchanga wa madini, na sera zingine...
Bila kumung'unya maneno naanza moja kwa moja kuwaasa wananchi wa Tanzania kulinda afya zenu wenyewe , hii ni kwa sababu usalama wa maisha yako ni HAKI YA KIKATIBA , mtu mdogo kama Meya wa Manispaa yoyote ile aliyetokana na udiwani wa kata hana mamlaka yoyote ya kisheria ya kuamuru mtu yeyote...
Kawaida dozi huwa inaandikwa kwa siku na siku ina masaa 24. Kwa hiyo ikiandikwa vidonge 2 mara 3 maana yake masaa 24 uyagawe kwa 3. Hapo unatakiwa kunywa dawa kila baada ya masaa nane na si asubuhi mchana na jioni(kila baada ya masaa 6).
Hii ya kumeza asubuhi, mchana na jioni, Ilitoka wapi? Pia...
Hizo huwa mnatutajia humu akina UDSM sijui UDOM hawapo hawatambuliki wala kusikika, ndugu zetu hata sayansi naona mnitelekeza kwa kauli za kuponda chanjo ya korona huku mkiendelea kupokea chanjo ya maradhi mengine kutoka kwa hao hao mabeberu.
The University of Nairobi has been ranked the top...
Watanzania tuwe makini sana na haya mambo ya kinga, mengi yanasemwa kuhusu huu ugonjwa wa C ya 19 kuhusu chimbuko lake lakini watanzania tuwe makini tusijiweke 'front line' kupinga hii kitu na kuieleza dunia sisi tunaipinga.
Tutambue Dunia hii haiendeshwi kwa mijadala huru bali ni mabavu ya...
Hakika hotuba aliyotoa jana Rais wetu Magufuli imeniacha na huzuni kubwa, kwa kuwa nilichobaini kutokana na hotuba hiyo ni kama maisha yetu watanzania wote, tumeyaweka rehani na kiyakabidhi mikononi mwa mtu mmoja, ambaye ndiye Rais wa nchi.
Katika hotuba hiyo tulimsikia Rais akikanusha vikali...
Sasa ni dhahiri Wananchi wa Tanzania wamekomaa kimawazo na kiakili , nimepita maeneo kadhaa ya jiji la Dar es Salaam , liliwemo eneo korofi la Kariakoo nimeshuhudia hatua kadhaa za kujilinda na maambukizi zikichukuliwa na wananchi wenyewe huku wakihamasishana kujifanyia usafi wa mikono kwa maji...
Mnyama Kakakuona ameonekana Wami Sokoine, Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro ambapo viongozi wa kimila na kidini walimtumia ili aweze kutabiri hali ya mwaka huu.
Walimuwekea zana za kimila, zana za umeme na vifaa vingine ambapo alipita kati ya unga na maziwa hali iliyoonekana kuwa ishara ya...
Habari zenu wanasiasa.
Natamani huu mfumo mpya Wa GePG uwe Wazima kwa Watanzania wote. Yaani hata ukigongewa mhuri mahakamani ukilipa 500 inaonekana kwa website Fulani ama kwa TBC kila muda na maelekezo ya hiyo Hela imekusanywa wapi.
Mara traffic akampiga konda buku 5 ionekane ilikopatikana...
Anaandika Comrade Malisa GJ.
Rafiki yangu mmoja kanitumia ujumbe "Malisa mbona huombi kura?" Ikabidi nimpigie kumuuliza kura za nini? Akaniambia za tuzo. Nikamuuliza tuzo zipi? Akaniambia umependekezwa kwenye tuzo ziitwazo Tanzania Inspiration Awards. Nikamwambia sina taarifa.
Akanitumia...
(Reuters) - Britain is banning all arrivals from Tanzania and Democratic Republic of Congo from Friday to stop the spread of the South Africa COVID-19 variant, transport secretary Grant Shapps said in a tweet on Thursday.
"All passengers from these countries except British & Irish Nationals and...
Wapendwa Watanzania!
Tunapenda kuwahakikishia kuwa Jumuiya ya Kimataifa itafuatilia kwa umakini na ukaribu sana Kampeni yetu kupitia "Matembezi ya Hiyari" kwa nchi nzima ya kuuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa kuunda Tume Huru ya Uchaguzi na kuandika Katiba Mpya!
Orodha ya viongozi wanaokiuka...
Yes wakuu,
Muda si mrefu POTUS anachukua kiti chake kimya.
Maeneo ya Capitol building naona ulinzi umeimalishwa hatari, naona jet fighters za SANDF na SAA zinapita pita flani kuhakikisha ulinzi.
Sijui inaugural ball itakua leo Leo ama?
Heri ya Mwaka Mpya. Nilikuwa nje kidogo na JF nikijikita katika shughuli zangu za uchumi hasa nje ya nchi katika kipindi hiki cha Corona. Kumekuwa na usumbufu kidogo hasa sisi tunaosafiri sana nje ya nchi.
Nimerudi TZ. Nikiwa ofisini leo kaja bwana mdogo mmoja ananambia amenunua gari jipya...
Nadhani mwaka jana, Serikali ilipata wakati mgumu sana kupitia balozi zake, kwani balozi hizo zilivamiwa na kesi nyingi za watanzania kunyanyasika nchi za kiarabu na China.
Kinachoendelea sasa ni ya kutisha kwani wadada wengi sana, wanakimbilia Dubai, Oman na Uturuki kujiuza. Siku ya Ijumaa...
HELLOW BODI YA MIKOPO, HAMUWEZI KWENDA NA HII?
Na Elius Ndabila
0768239284
Hivi karibuni kumekuwa na mjadala mzito juu ya hoja ya mnufaika wa Fedha ya bodi ya mkopo kutakiwa kuanza kuirejesha mara baada ya miezi 24 tangu kuhitimu.
Hoja hii imezua mjadala mzito kutoka kwa wadau mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.