Uchaguzi 2020 Lissu inatosha umewasemea watanzania yaliyo mioyoni mwao, Mungu atakulipa

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Kwa miaka mitano watanzania wamekuwa wakiumia moyoni,hawana pa kusema shida zao.

Miaka mitano mzunguko wa fedha umesinyaa,hakuna aliyediriki kusema,umekuja wewe umeongea mengi,ya kuwasaidia watanzania.

Miaka mitano wafanyakazi hawajaongezwa mishahara,lakini walikuwa hawana wa kuwasemea,wewe umeongea

Umegusia suala la ajira, tayari ajira za kuwadanganya watanzania zimetangazwa, nafasi 13000 za walimu. Je, Sekta zingine?

Umesema mengi,kubwa kabisa ni kufa kwa sekta binafsi,maana kandarasi nyingi zinafanya na serikali na wachina,watu wengi kampuni zao zimekufa na ajira nyingi zimekufa.

Hata kama hautashinda urais Mungu atakulipa kwa kuwasemea watanzania shida zao.
 
Kwa miaka mitano watanzania wamekuwa wakiumia moyoni,hawana pa kusema shida zao.

Miaka mitano mzunguko wa fedha umesinyaa,hakuna aliyediriki kusema,umekuja wewe umeongea mengi,ya kuwasaidia watanzania.

Miaka mitano wafanyakazi hawajaongezwa mishahara,lakini walikuwa hawana wa kuwasemea,wewe umeongea

Umegusia suala la ajira,tayari ajira za kuwadanganya watanzania zimetangazwa,nafasi 13000 za walimu. Je sekta zingine?

Umesema mengi,kubwa kabisa ni kufa kwa sekta binafsi,maana kandarasi nyingi zinafanya na serikali na wachina,watu wengi kampuni zao zimekufa na ajira nyingi zimekufa.

Hata kama hautashinda urais Mungu atakulipa kwa kuwasemea watanzania shida zao.

Pana waliokuwa waliokuwa wajidanganye biashara kuhusisha nchi jirani (mfano) abiria kenya, Uganda na Rwanda zilizokwenda lockdown tokea March.

Kuna wale wa utalii mbugani.

Kodi wala uwepo wa ahueni haujawahi kuwa issue kwa jiwe.

Hao nao hawawezi kukosa jambo lao oct 28.
 
Unataka uje na gia ya kusema amwachie meko?

Bora umemstukia huyo mtoto mleta uzi maana ni mpuuzi wa kiwango cha juu. Huo uzi ni kutaka kuwachota cdm mawazo kwa kujifanya yuko cdm. Subiri baada ya nusu saa utaona utumbo atakaoongea hapa. Mimi nimeshamjua hivyo namchomekea disc mbovu tu.
 
Hahahahahahaha nalijua hilo boga. Linadhani sie wageni humu, sie twajuana wenye akili , na wao vilaza wa Lumumba twawajua
 
Back
Top Bottom