watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanathamini wafu kuliko walio hai

    Mtanzania yuleyule anayeandika kwenye barua, kwenye mtandao wa kijamii au anayezungumza kutoa pole na kuomba dua anaposikia msiba ndiye huyohuyo anayekuona upo kwenye hatari ya kifo asiseme kitu. Hakuna Mtanzania kiongozi wa kitaifa aliyesimama nakusema kuwaweka mahabusu watu bila sababu za...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Sababu Kuu za Watanzania Kupinga Tozo Mbalimbali

    Hili halina ubishi, Watanzania wengi wanapinga ongezeko la tozo mbalimbali kuanzia kwenye mafuta mpaka kwenye miamala ya simu. Hii tabia ya kupinga haijaja ghafla, bali ni matokeo ya muda mrefu. Sababu kubwa zinazowafanya Watanzania kupinga tozo hizi, ni kukosekana kwa uwazi (Transparency) na...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mbali na kuikosoa serikali kuhusu Makato; lakini kiukweli Watanzania kwenye kulipa Kodi tuwagumu sana

    Kwema Wakuu! Kama nilivyoeleza kwenye heading hapo, suala la ulipaji Kodi Kwa sisi Watanzania ni kipengele. Watanzania wengi wetu Kama sio wote hatupendi kulipa Kodi. Hata wanaolipa Kodi ni kutokana na hawana jinsi mazingira yanawabana tu. Ila Kama wangeambiwa kwa hiyari yao nakuhakikishia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi huyu Mtengeneza Matukio na Msahaulishaji Matukio katika Vichwa vya Watanzania analipwa Mshahara mkubwa sana

    Popote alipo huyu Mtu ajue kuwa Krav Maga namkubali na Mimi pia natamani Siku moja niwe kama Yeye. Huyu Mtu Yeye Kazi yake ni Kusoma Kwanza upepo wa Watanzania hasa Kifikra kisha anaanza Kucheza na Akili zetu. Ana uwezo wa Kutengeneza Jambo au Tukio la Kuibua Hisia Kubwa kisha kwa muda mfupi...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yakusudia kuchanja asilimia 60 ya Watanzania Chanjo ya Coronavirus

    Dar es Salaam. Baada ya chanjo ya Covid-19 kuwasili nchini Serikali imejiweka lengo la kuwachanja asilimia 60 ya Watanzania wote. Waziri wa Afya, Dk Doroth Gwajima amesema awamu ya kwanza ya chanzo hiyo itatolewa kwa makundi ya mstari wa mbele ambayo yatawekwa wazi siku ya kesho. Amesema kwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nawashukuru Watanzania, Mwenyenzi kanijaalia afya njema

    Ukiishi ukapata pumzi na maarifa ya kutambua mema na mabaya mshukuru Sana Mungu Kama unaamini yupo. Ukipewa nafasi yakutubu tubu, ukipewa nafasi yakuhudumia watu hudumia watu bila kudhani una muda mbele wakuishi. Lipo fumbo kubwa Sana Kati uzima na ugonjwa lakini lipo fumbo kubwa zaidi Kati ya...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Chadema yawatakia heri ya Idd Waislam pamoja na Watanzania wote kwa ujumla

    Huu ndio ujumbe waliousambaza kila mahali leo
  8. Jumbe Brown

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na kutochukua tahadhari ya Corona katika mikutano yake

    Wameendelea kutovaa barakoa. Ni CHADEMA hawahawa walioishinikiza serikali ya awamu ya 5 itoe takwimu za kila siku za wagonjwa wa UVIKO-19. Ni CHADEMA hawahawa walioupinga msimamo wa jemedari Hayati Dkt. Magufuli juu ya kutowekwa lockdown nchi nzima/maeneo yenye msongamano. Kipi kilitarajiwa...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa watu unaokufa. Je, inahitajika kuusisimua kwa kuwaongeza watu kodi ili kuusimamisha tena?

    Kwanza nikiri kabisa kabla, mimi sio mchumi. Kwa sauti nyingi za viongozi wetu, ni uchumi umeshuka na kunahitajika jitiahada ili kuurudisha katika sehemu yake Swali langu ni moja tu, Njia inayoitumia serikali kuweza kurudisha uchumi unaokufa ni sahihi au ndio inaudidimiza zaidi? Mimi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu amkeni; adui yetu mkubwa ni Bunge letu na Uongozi wake

    Ndugu zangu naomba tujue mahala pa kuanzia kuelekeza malalamiko yetu. Kwa muda mrefu sasa wale tunaowatuma bungeni kutuwakilisha wameshindwa kabisa kutekeleza wajibu wao badala yake ndio wamekuwa wanatuchongea kwa mamlaka za nchi kuwa tukandamizwe kwa kukatwa makodi kibao. Mfano mdogo ni huyu...
  11. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wana hulka za ushamba na ujuaji?

    Watanzania wenzangu, mnisamehe kwa kuwaambia UKWERI huu. Nimetafakari na kufuatilia suala hili kwa muda mrefu sana na ninapokuja mbele yenu kwa 'conclusion' hii, naomba mchukue muda mjitafakari vizuri. Tukikaa wenyewe kwa wenyewe, tunasemana kuwa "kabila fulani ni washamba!". Wengine wanasema...
  12. Jumbe Brown

    JamiiForums Tanzania Fozhou China, Mkutano mkuu wa 44 wa UNESCO July 16-31: Utetetezi wetu Watanzania juu ya ujenzi wa bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere

    Ni UNESCO haohao walioanza kujiridhisha kipindi cha utawala wa hayati baba wa taifa mwalimu JKN kuwa ujenzi wa bwawa la kufua umeme kamwe HALITOATHIRI mazingira ya viumbe na uoto wa asili katika pori tengefu la SELOUS!!! HAWAKUISHIA HAPO Miaka kadhaa baadae chini ya utawala wa kipenzi chetu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumkosanisha Rais Samia na Watanzania na kumfanya achukiwe: Tozo za Serikali, Katiba Mpya, Uonevu wa Polisi, Mambo ya Muungano

    Unapokuwa kiongozi, hasa wa siasa, unapaswa kuwa makini sana hasa na viongozi ambao watajifanya ni rafiki zako kumbe wanatafuta tu namna ya kukuchonganisha na wananchi. Na hili namwambia wazi Raisi Samia ajihahdari sana. Sifikiri kwamba viongozi wote, na hasa wateule wake, wapo pamoja naye siku...
  14. Saint Ivuga

    JamiiForums Tanzania Watanzania waanza kununua petroli na dizeli nchini Zambia

    Kwa mujibu wa VOA Swahili, Watanzania wa mipakani wameanza kuvuka mipaka na kwenda Zambia kununua mafuta (Petrol/Diesel) Kumbuka hayo mafuta yamepita kwenye bandari yenu na kusafirishwa mpaka Zambia na matozo kibao. Pesa ya kununua lita moja Tanzania ukienda Zambia unapata lita moja na nusu...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Watanzania naombeni mnisamehe kwa hii misimamo yangu ya kisiasa

    Kuna kipindi niliamini chama kitakachomkomboa Mtanzania ni Chadema ila nilikuja kubadilisha msimamo wangu nikaamua kushabikia CCM na sababu iliyonifanya niachane na upinzani ni kitendo cha Chadema kumsimamisha Lowasa 2015. Kiukweli niliumia sana roho nikajisemea moyoni haiwezekani kiongozi...
  16. Mystery

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu anatufanya Watanzania wote wajinga, atawezaje kutujaza wananchi shilingi trillion 5 mifukoni mwetu?

    Hii siyo hadithi ambayo nimejitungia, bali nimemnukuu Waziri Mwigulu Nchemba, wakati akizungumza kwenye uzinduzi wa benki mpya biashara Tanzania (TCB) siku 2 zilizopita, eti serikali yake ina mpango wa kutujaza wananchi shilingi trillion. 5 mifukoni mwetu, katika mzunguko wa pesa katika bajeti...
  17. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulichokikuta Hazina

    Rais Samia mtazame Masoud Kipanya, unaonekana una jambo linakusumbua na huna namna matokeo yake unapokea kila ushauri wa wasaidizi wako. Matokeo yake mnatoa Slogan nyingi na ahadi zisizotimilika. Hili litakurudi sababu itabidi uongope kila mara. Kuna kosa kubwa umefanya na unaendelea kufanya...
  18. Richard

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania lazima iwatambue Watanzania wanaopokea fedha kutoka taasisi ya NED ya Marekani kuchagiza harakati za kisiasa

    Taasisi ya NED au National Endowment for Democracy ni taasisi ya kimarekani. Taasisi hii iliundwa kushughulikia harakati za kisiasa duniani baada ya shughuli hizo kuondolewa ndani ya idara ya ujasusi ya CIA. CIA imekuwa ikishughulikia harakati za kisiasa zenye malengo ya kuleta vurugu, au...
  19. Pascal_TZA

    JamiiForums Tanzania Visa vya Bima: Wenye magari wanayachoma moto ili walipwe

    Watanzania wengi wamekuwa na uelewa mdogo kuhusu masuala ya Bima na wengi wao wamekuwa wakitafsiri Bima kama kujiongezea gharama za maisha kwa kukatia Bima.
  20. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Watanzania tunaweza kuyashinda Maradhi ya Kisukari

    Nikiwa muathirika wa ugonjwa huu tangu mwaka 2016, licha ya kuwa na ugonjwa wa kisukari kwa kuwa nafuata maelekezo na masharti yote ya kiafya kutoka kwa wataalamu, basi waweza usiamini Kamba mimi ni muhanga wa gonjwa hilo, lakini vyoyote itakavyokuwa mimi siwezi epuka kusema eti sina ugonjwa...
Back
Top Bottom