watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    GE2020 Tundu Lissu na Salamu za Krismas: Mwaka 2020 ulikuwa mwaka mgumu na wenye machungu mengi kwa nchi na wananchi wetu

    Sasa ni dhahiri Tundu Lissu ni Mcha Mungu. ========== TUNDU LISSU: Ndugu wananchi wa Tanzania, tumsifu Yesu Kristo, Bwana asifiwe, mwanakondoo ameshinda, Assalam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh. Kesho ni sikukuu ya Noeli kwa wale wote wanaoamini katika dini ya Ukristo. Kwa wakristo wote...
  2. wanzagitalewa

    Sekta ya mawasiliano ya simu ilivyo na tija kwa Watanzania

    Tanzania imepata bahati kubwa kuwa na sekta ya mawasiliano ya simu ambayo imekuwa ikipanuka kwa kasi kubwa siku hadi siku. Miundombinu ya mfumo wa mawasiliano nchini kama vile mkonga wa taifa na uzinduzi wa mtandao wa 4G umetengeneza fursa nyingi kwa Watanzania. Kuanzia mawakala wa kutuma na...
  3. S

    Shime Watanzania tuupiganie Uhuru wetu unaoporwa. Tutajuta!

    Mwalimu Nyerere na wenzake walipambana na mkoloni siyo kwasababu walitaka nchi yetu ipate ama ijenge vitu la hasha. Mwalimu Nyerere na wenzake walipambana na mkoloni siyo kwasabb walitaka kuunda serikali itakayo watisha watu na kuwafanya wawe na "heshima" kwa watawala. Mwalimu Nyerere na...
  4. Keynez

    Watanzania tuache tamaa tunapokuwa tunauza vitu tulivyotumia

    Kuna hili tatizo nimeliona na kulitafakari kwa muda mrefu. Ni huu mtindo na tabia waliyo nayo Watanzania wengi, pale wanapouza vitu walivyotumia mfano gari, simu, nk. kuuza kwa bei ya juu sana. Kitu ukishakitumia, thamani yake inashuka sana. Wataalamu wanasema hata gari brand new ukiinunua na...
  5. Chagu wa Malunde

    IDU kuwasemea CHADEMA ni dharau kwa Watanzania na kutaka kutuparaza vidole machoni

    Hivi hawa IDU wana mamlaka gani ya kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania? Wao ni akina nani? Tanzania ni dola huru na nchi ambayo inajitawala. Kwa nini watoe Tamko la kuwasemea Chadema mambo ambayo hayana mashiko? Ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT imetamka bayana kuwa mamlaka ya kujitawala...
  6. Idugunde

    Dkt. Philip Mpango maneno uliyotamka siku unaapishwa yalitoka ndani ya moyo wako? Ulikuwa unawakebehi Watanzania?

    Wahenga wanasema tembea uone. Ndio maana hata mzee Mwinamila alipokuwa hai aliwahi kutunga wimbo akimwambia Mwl Julius Nyerere atembee aone ili ajionee kwa macho yake nchi anayoitawala na watu wake wanaishi kwa namna gani. Nimepafanya kijiziara kidogo suo moto, maana sijapangiwa na mtu. Ila...
  7. Tony254

    Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

    Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.
  8. wanzagitalewa

    Jukumu la kampuni za simu katika kuwajengea Watanzania ujuzi wa kidijitali

    Inafahamika wazi kuwa teknolojia imebadili maisha ya binadamu na mabadiliko mengi zaidi bado yanaendelea kuja. Tanzania ni moja ya nchi ambamo maendeleo ya kiteknolojia yanazidi kuonekana yakibadili maisha ya watu siku hadi siku, mfano kuongezeka kwa matumizi ya mtandao wa intaneti. Ukitazama...
  9. YEHODAYA

    Watanzania tumuunge mkono Rais Magufuli Kutatua changamoto zetu ona hapa Mchungaji wa Trump akiomba Malaika toka Afrika wamsaidie Trump kushinda

    Rais Magufuli anajiamini na anapenda kutafuta ufumbuzi wa matatizo yetu ambao ni Made in Tanzania. Mchungaji na mshauri wa kiroho wa Donald Trump anayeitwa Paula White hawaamini hata malaika wa Marekani anaamini zaidi malaika wa Africa Kuwa ndio waweza msaidia TRump kushinda ,Tanzania na Africa...
  10. Nyankurungu2020

    Watanzania Taifa letu lipo kwenye muelekeo mzuri, hatuna budi kulitakia mema Taifa letu

    Ninasikitika sana ninapoona watu hawalitakii mema Taifa lao. Hivi hamjui kuwa tunaelekea pazuri? Kwa nini ubeze mradi kama SGR, JNHP au barabara na miundo mbinu inayoimarishwa? Jamani naomba mtambue, kuna kipindi kama Taifa, tulianguka ndio maana tunashuhudia mambo ya kimaendeleo ambayo...
  11. Infantry Soldier

    Je, haya mazoea ya miaka mingi ya kuogea sabuni za kufulia ni sahihi kweli? Kama si sahihi, yana madhara gani kwa afya za watanzania hapo baadae?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Je, haya mazoea ya miaka mingi ya baadhi ya watu kuogea sabuni za kufulia ni sahihi kweli? Kama si sahihi, yana madhara gani kwa afya za watanzania hapo baadae? Nimeamua kuandika haya kwa maana kwamba...
  12. MsemajiUkweli

    Baada ya Tundu Lissu, mwingine ambaye hatawasahau Watanzania ni Bernard Membe

    Hawa wanasiasa wawili hawatawasahau Watanzania katika maisha yao yote! Tundu Lissu alikuja nchini na ''mkwara mzito'' aliouanzia akiwa nje ya nchi alipokuwa anatoa hotuba mara kwa mara kwa Watanzania kama vile ameshakuwa Mkuu wa Nchi, Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu! Wakati wa kampeni...
  13. Yericko Nyerere

    Tunakubaliana na maridhiano, lakini Maalimu Seif na ACT Wazalendo lazima muwajibu Watanzania haya

    Naomba nichangie kidogo kwa hatua iliyofikiwa leo kwa Maalim Seif kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Kwanza niseme mimi ni muumini wa maridhiano na ninaunga mkono "dhana" ya maridhiano iliyofikiwa leo pale Zanzibar. Lakini ninapinga maridhiano haya yasiyo weka wazi msingi wa...
  14. ESPRESSO COFFEE

    Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

    Habarini. Huyu Kijana Imelazimika Nimsalimie “Shikamoo ” Hata Kama ninamzidi Umri. Salaam Hii inakuja Baada Ya Kusikiliza “WAAAH” aliyo Mshirikisha Koffi. Hili ni bonge moja la Sebene kwa Kila mpenda Sebene analazimika kumsalimia Diamond “Shikamoo ” Hata Kama Umemzidi Umri
  15. YEHODAYA

    Kazi ya kwanza ya Wizara mpya ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iwe ni kuruhusu Watanzania kupokea malipo kupitia Paypal

    Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambayo ni mpya tunatarrajia ifanye mambo makubwa ya kuongeza ajira kwa vijana mitandaoni. Tanzania kumekuwa na tatizo kubwa la ajira. Njia moja ya kuondoa hilo tatizo ni kwa watu kutafuta kazi za kufanya online, yaani mitandaoni. Kazi zipo nyingi...
  16. J

    Mchungaji Matsai: Watanzania tunatambuana kwa Utanzania wetu na siyo Dini zetu, serikali ijenge fly over Jangwani!

    Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT Kimara amewataka watanzania waendelee kuwa wamoja kwani nchi yetu haina dini ila watu wake ndio wana dini. Matsai amesema hayo mbele ya Waziri wa uwekezaji Prof Kitila Mkumbo na Naibu Spika Dr Tulia Ackson aliyeshiriki ibada Kanisani hapo. Kadhalika mchungaji...
  17. Chagu wa Malunde

    Watanzania tuwe makini tunapojadili mustakabali wa Taifa letu, tusiruhusu hisia mbaya zitutawale

    Kama kuna taifa ambalo Mungu amelibaliki ni taifa la Tanzania. Maana udini na ukabila ni vitu ambavyo havina nafasi kabisa. Naongea maisha ambayo ni uhalisia wa maisha yetu sisi watanzania. Ukisoma na mtu awe na dini au kabila tofauti huyo anakuwa ndugu yako. Mimi najua kila mtanzania...
  18. beth

    Majaliwa: Watanzania tuachane na fikra potofu kuwa bidhaa zinazotoka nje ya nchi ndizo zenye ubora

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameziagiza mamlaka zote za udhibiti zihakikishe kuwa bidhaa zinazoingizwa nchini kwa ajili maonesho mbalimbali zinakuwa na viwango vya kimataifa na pia bidhaa zisizo na viwango na bidhaa bandia hazipati nafasi ya kuingia kwenye soko la Tanzania. Aidha, amewataka...
  19. comte

    Sasa Watanzania ndiyo tumekuwa soko la dunia la mataifa mengine

  20. Idugunde

    Nini kinaisibu Tanzania ya kijani?

    Haijawahi kutokea Tanzania yetu ikashuhudia haya yanayoendelea. Kwamba uchaguzi unaisha mwezi mzima hakuna Cabinet? Baraza la Mawaziri! Hili sio ndio Serikali? Mkuu wa kaya anataka kutuambia mawaziri au Serikali haina umuhimu tena? Kwamba Waziri wa fedha mgawa fungu ndio ana umuhimu? Waziri wa...
Back
Top Bottom