There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Ni nani aliruhusu Watanzania 64 wafanyiwe majaribio ya dawa ya Ukimwi ya Virodene kati ya mwaka 2000 na 2001 licha ya Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kutotoa kibali?
Je, Watanzania hawa walipewa taarifa sahihi na za kutosha kabla ya kuruhusu miili yao itumike katika...
Wanabodi,
Jumatatu ya leo, naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinachapishwa kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili, makala ya leo ni swali la ushauri wa Bure kwa DPP, kwa vile Rais Samia, ameishaonyesha nia njema ya kutaka Watanzania watendewe haki, Jee...
Wakuu kwema!
Nimekuwa na nia ya dhati ya kutoka inchini kwetu Tanzania na kwenda nchi zingine kujaribu kupambana na maisha.
Katika harakati hizo nimeona nchi ya Singapore haina vigezo vikali sana kwa Mtanzania kuweza kusafiri kufika huko kwa mfano nchi hii ni visa free kwa mtanzania ambapo...
Kabla ya Rais mama hajagusa teuzi wapo baadhi yetu humu walileta nyuzi kutaka watu tuone katika viongozi wanaofaa kuteuliwa na Mama yetu (watakaomfaa)
Jina Mwigulu halikukosa kwa kila uzi ulitaka watu wawataje wasiofaa.
Ghafla mama kamteua, kelele nyingi zikapigwa mitandaoni kuwa mama...
Kuna maneno yanatrend mtandaoni kua Mwigulu anasema kwamba hahitaji kupendwa na wengi wapigakura wake wanatosha kumpenda. Hii ni baada ya bajeti yake kuzua taharuki kubwa kuhusu kuongeza tozo kwenye miamala ya line simu.Anadai kua yeye amependekeza bajeti ili mambo yaende hajali watu wanaumia...
Budget imesomwa jana na Waziri wa Fedha asiye na ubunifu, mwenye akili chovu mchama na si mtanzania. Kama Uchawi upo na unafanya kazi Mganga wa Mwigulu ni wa kujengewa Sanamu katikati ya Jiji.
Nchi za watu wenye akili wangetumia muda mwingi sana kuijadili budget. Kuangalia mazuri na mabaya...
Mh Rais, Bwana asifiwe!
Nimatumaini yangu wewe ni mzima wa afya na sisi Watanzania tunaendele kukuombea uendelee kuwa na afya njema. Mh Rais wewe umeonesha wazi ni mpenda haki na ni wazi umeonesha unataka muungano ulio imara kabisa bila kujali chochote umehakikisha Wazanzibari wanapata nafasi...
Huu ni wito kwa Tuzo za BET zinazoendeshwa na kutayarishwa na Black Entertainment Television (BET) kumzuia Diamond Platnumz kushiriki tuzo.
Movement #ChangeTanzania started this petition to bet awards and 3 others
Hadi 8/6/2021 saa 02;00 Asubuhi,
19,566 have signed. Let’s get to 25,000...
Msemaji mkuu wa serikali Mh Gerson Msigwa ametolea ufafanuzi tangazo la serikali linalohusu chanjo ya Corona.
Msigwa amesema chanjo iliyoruhusiwa ni kwa ajili ya wafanyakazi wa balozi na taasisi za kigeni tu.
Kuhusu chanjo ya Corona kwa wananchi serikali itafanya uamuzi baada ya kupitia kwa...
Panya wa Tanzania mwenye sifa ya kufichua mabomu kimataifa astaafu Cambodia Magawa (panya) aliyejishindia tuzo kwa ushujaa wake anastaafu katika kazi yake ya kufichua mabomu yaliotegwa ardhini.
Kila ugunduzi alioufanya ulipunguza hatari ya kuumia au kifo kwa watu wa Kambodia. Katika kazi ya...
Ninakumbuka kuwa huwa kuna Taasisi zinapima furaha ya wananchi kwa kila nchi. Kuna wakati yule Makamu Mkuu wa Chuo cha Dar-es-Salaam aliyepita Prof. Mukandara aliwahi kuongea kwenye Kongamano la Mwl. Nyerere kuwa furaha kwa wananchi wa Tanzania imepungua kwa kiasi Fulani.
Sasa hizo Taasisi za...
Habari za mchana wakuu,
Baada ya habari na hasa tambo serikali iliyopita kuhusu nchi kuingia uchumi wa kati,ikibidi nijiridhishe kwenye vyanzo mbali mbali.
Ndio nikaja kugundua uchumi wa kati unaozungumziwa na watawala wetu kama njia ya kujisifu/kuonekana wanafanya kazi,ikiwa ni kama lengo la...
Anasema yeye hayamuhusu mnalalamika sana ACHA AKAE KIMYA ,kwenye kava aliweka picha ya mwalimu nyerere hali iliyomuudhi sana mtoto wa mwalimu akamuamuru atoe hiyo picha kwenye cover maana baba yake alikuwa hakai kimya kwenye MAOVU
Habari wadau!
Kuna siku nilishawai ku comment humu kwamba uwepo wa mfanyabiashara Yusuf Manji una umuhimu mkubwa sana katika Taifa hili, hivyo nikashauri Mama Rais Samia Hassan amuombe Manji arudi, hatimaye sasa Manji amerejea nyumbani.
Hakika Manji ni Mtanzania mzalendo. Yaani licha ya yote...
CCM ya leo sio ile tuliyoizoea. Leo ndani ya CCM kuna teams (au Magenge) yanalana yenyewe kwa yenyewe. Kama ni mnyonge utabakia kupiga makofi tu hata mle bungeni ila ukinyoosha kidole na kunyooshea wengine vidole, utakiona kilichomfanya kuku awe kuchere. Na wapo wengi tu wamehama basi imekuwa...
Hakuna shaka kwamba msanii nguli wa nyimbo za injili, Rose Muhando, ndiye malkia na gwiji wa nyimbo za injili Afrika Mashariki na Kati. Msaanii huyu alianza kuvuma kwa muda mrefu sana na kiwango chake kimebakia juu pamoja na kwamba umri wake kwa sasa umesogea. Album kali kabisa ya Rose Muhando...
Wadau tuache malumbano ambayo hayana tija ebu tujivunie cha kwetu Diamond ni mwanetu. Kijana wetu mdogo wetu mtanzania mwenzetu ebu tujivunie vya kwetu tofauti zetu tuweke pembení.
Hakuna mtu asiyejua awa vijana maisha waliyotoka mpaka kufikia hapo kwa hiyo tusiwakatishe tamaa tuzidi kuwa nao...
Upole wtu ni mzuri na unapaswa uendelezwe Kwa kila mtu, lakini endapo tunataka tuondokane na kichefuchefu cha umasikini uliotopea, some time ni kuvunja upole wetu hasa linapokuja swala la masilahi ya nchi yetu Kwa ujumla, Ni Kwa namna gani serikali tunaweza kuiwajibisha inapotumia fedha zetu...
Mwanadamu mmoja alikua akisafiri na mkewe wakitumia usafiri wa punda yaani wakiwa wamempanda punda yule lakini wakiwa njiani katikat ya safari yao wakakutana ma wanadamu wakawapazia sauti wakisema; ''ninyi watu hamuoni ya kuwa mnamuumiza punda huyo iweje ninyi wote wawili mumpande punda mmoja...
Mbunge Charles Mwijage amesema Watanzania na Wabunge walio wengi hawataki Uchumi wa kuwapeleka wachache juu na kuwaacha wengine
Ameeleza hayo Bungeni wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi ambapo pia amesema sekta za uzalishaji ndizo zinaweza kupeleka Taifa katika Uchumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.