MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Vifo vya UKIMWI vyapungua Tanzania.
Matumizi ya dawa za kufubaza VVU yameongezeka kutoka 95% mwaka 2016 hadi 98%, 2019, vifo vitokanavyo na UKIMWI vimepungua kutoka 64,000 mwaka 2010 hadi 32,000, 2020 na maambukizi ya mama kwenda kwa mtoto yameshuka kutoka 18% mwaka 2010 hadi 7% mwaka 2020 - Waziri Mhagama
Chanzo: Habari Leo
Tena ndiyo Wanakufa kwa Kasi mno.