Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania wapenda Michezo hasa Soka na Timu yao ya Taifa ya Taifa Stars

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Hivi kama tu Wachezaji wa Kikongo ambao Kutwa tunawaimba, tunawasifu na Kuwakuza mno akina Yanick Bangala, Fiston Mayele, Ducapel Moloko, Tuisila Kisinda, Tonombe Mukoko, Herritier Makambo na Shaaban Djuma hawapati namba, hawaitwi, hawajulikani na hata wakiitwa wanachoma tu Mahindi Benchini Jeuri ile ( hii ) ya Kujitapa Kuwafunga Congo DR leo mliitoa wapi?

Hawa ndiyo Wakongomani. Poleni mno.
 
Back
Top Bottom