Kwa Muda sasa nimekuwa nafuatilia mfumo wetu wa kupima covid (PCR) nikaona unawafaa watu ambao hawana haraka au hawana tatizo la muda kitu ambacho sio rafiki kabisa kwa utalii
1. Tulitangaziwa kuwa majibu kwa Dar/ Arusha mikoa yenye Lab yatatoka Ndani ya saa 24 kitu ambacho, ukiuliza lab...
Nafikiria kuanzisha kampuni ya kupandisha wageni mlima kilimanjaro. Kwa sasa ninachojua ni kwamba.
Lazima uwe na kampuni iliyosajiliwa BRELA na TRA.
Sio lazima kuwa na gari. Magari ya kuwachukua airport kwenda hotelini na kwenye geti la kuanzia/kumalizia unaweza kukodisha.
Nguo za kupanda...
Wanajamvi Amani kwenu
Hivi leo dunia imebadilika, majra nayo na nyakati zinazidi kubadilika
Huko tuendako, kwa sababu ya milipuko ya magonjwa na masharti yanayotokana na milipuko hiyo ya magonjwa inatufanya walimwengu tuishi kidizaini kama tulikuwa na utalii. Mtu kusafiri kwenda mahali...
Serikali ya Zanzibar imesema itawachukulia hatua wamiliki wa hoteli ambao wageni wao watatoka hotelini wakiwa hawajavaa nguo za stara. Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale amewataka wageni hasa watalii kutovaa nguo zinazokiuka maadili wawapo maeneo ya umma, mfano sokoni.
Chanzo: Swahili Times
Imani inaweza kutoa matokeo chanya lakini papo hapo imani inaweza kuvunja matokeo uliyoyapata.
Jana waislamu leo wasabato na baadaye ni mchanganyiko wa makanisa kuiombea nchi dhidi ya janga la corona, unadhani Mungu anaweza kuponya taifa ingali lipo wazi?
Hapa tunacheza na imani, imani...
Dunia nzima inajua ukitaka kwenda kutalii bila ya bughudha ya kushurutishwa kuvaa barakoa au mikwala mingine mingi. Dunia inajua kuna nchi moja tu iko mashariki ya Afrika ndiyo haina hayo mafua. Nayo ni Tanzania.
Nilishatoa hili sijui mwaka juzi...narusia tena
HILI LINAWAHUSU ZAIDI WIZARA YA UTALII, WIZARA YA AFYA, PAMOJA NA UHAMIAJI
Napendekeza kila tangazo linalotolewa liwe kwa Lugha mbili; Yaani Kiswahili na Kiingereza
I weje tangazo linalo wahusu watalii kwa asilimia 80% likose nakala ya...
Nchi nyingi zinazotegemea utalii katika uchumi wa Taifa, zimelenga kupata watalii wengi kwa gharama nafuu. Nchi nyingi zinafanya package holiday, ambayo watalii wa kipato cha kawaida wanaimudu.
Si wazungu wote kuwa ni matajiri. Wazungu wanaotalii wengi wanategemea credit cards. Kwa gharama za...
Juzi hapa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii alikutana na wafanyakazi wa wizara hiyo katika kujadili masuala ya utalii na changamoto zake alikiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudu tena, wakishakuja mara moja wengi wao huwa hawarudi tena.
Maana yake ni kuwa sisi...
Serikali msikubali watu waingie Tanzania bila kibali cha kupimwa corona jamaa wawili wamefika wameanza kuumwa corona na wamekuja nayo kutoka US mmoja ni rafiki yangu kasafiri nampigia kaniambia ameanza kuumwa siku mbili baada ya kufika na dalili zote za corona.
Airport wanapima joto lakini...
Wengi tunajua kuwa Utalii umekuwa na Mchango mkubwa sana kwa ukuaji wa Uchumi wetu na ajira kwa Watanzania
Kutokana na hili Janga la Corona kumekuwa na changamoto kubwa tunayopata kwa mashirika ya ndege na Nchi nyingi za Ulaya na Marekani kuhitaji wageni wawe wamepima nakupata majibu negative...
Onyesha uzalendo pigia vivutio mbalimbali vya utalii vya Tanzania kwenye link hiyo hapo chini tusaidie kuvutia watalii nchini kwetu.
Ni rahisi tu. Wakenya huwa wanatupiga bado eneo hili. Tupende vyetu.
Vote – World Travel Awards
Hii imetokana na jitihada za Kenya kutojichokea kwenye vita dhidi ya corona na imekua ikifuata miongozo na kanuni zote za kupambana na janga hili ambalo limeikumba dunia. Imetoa ushirikiano wote wa Kisayansi, Kijamii na hata Kiuchumi.
======
Kenya Becomes First Country Awarded Safer Tourism...
Tangu aanze kuzunguka kutafuta wadhamini Tundu Lissu amekuwa akipokewa na umati mkubwa sana wa watu tena hawajavaa hata mabarakoa.
Vyombo vya habari vya nje mnaofuatilia harakati za Tundu Lissu kusaka Urais wasiishie tu kutaka kumhoji Lissu bali pia watende haki kwa kuutangazia ulimwengu kwamba...
Wamarekani wamepigwa ban dunia nzima isipokuwa kwa nchi chache tu kama inavyoonekana kwenye ramani. Nchi ya Marekani ndio nchi inayoongoza kuwa na watu wengi wanaopenda kutalii na wenye mkwanja mrefu yaani sio watalii njaa kama mnakumbuka maneno ya Mh. Rais kipindi kile anaweka vat kwenye...
Anga la Tanzania likiwa limefunguliwa na kuruhusu wasafiri kutoka pande mbalimbali za dunia, inategemewa kuwa hivi karibuni nchi mbalimbali zitafungua mipaka na shughuli za utalii zitaanza kuimarika upya.
Ingawa si jambo linaloshauriwa lakini hakuna namna ya kulizuia kwani Maisha lazima...
Ndugu wana JamiiForum,
Leo waziri wa maliasli na Utalii, Mh Dkt Kigwangala, ameshirikisha umma kupitia anuani yake ya twitter mkakati wa kuvutia watalii kutoka nchi za kiafrika (a strategy for regional tourism). Kwa kifupi, mkakati huu umelenga kuzifikia na kuzivutia nchi zenye mapato makubwa...
Kwa waliokaribu na TV tune in TBC 1
======
Ndege ya kwanza ya watalii imewasili nchini ikiwa ni baada ya Rais John Magufuli kuruhusu kuendelea kwa shughuli za utalii nchini baada ya kupungua kwa kasi ya maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya Corona Tanzania.
Tarehe 20, Mei 2020, Mkurugenzi...
Tanzania ni moja ya nchi chache Duniani zenye vivutia vingi sana vya utalii.
Kwa Afrika ni nchi chache sana tunashindana nazo kwenye vivutio vya utalii.
Kwa mfano mbuga za wanyama maarufu Duniani ya Kwanza ni serengeti ikifuatiwa kwa karibu sana na Kruger National Park ya Afrika Kusini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.