Wanabodi,
Leo kuna video clip ya Ikulu yetu ya Magogoni imepandishwa humu, kiukweli nimekuwa very impressed na ile zoo ya Ikulu na jinsi wanyama walivyopendezea!.
Kwenye mazuri wajameni tupongeze: Wanyama pori waipamba Ikulu, Hongera sana Rais Magufuli
Nimesema kwa upande wa wanyama pori...
Nimeona Tanzania inaingiza kama Watalii milioni 1.5, ili kupata hizo milioni 500 tulizonyimwa tuzichukuwe ktk kwa Watalii, ni Dola ~USD 330/Mtalii tunaipata hiyo milioni 500.
Ni swala la kutafuta vitu 30 anavyofanya Mtalii hapa kwetu na kumuongezea Dola 10, kwa Muzungu wa first World country...
Mkitaka Watalii wafurike Tanzania wekezeni kwenye Fukwe, matamasha kama vile Sauti za Busara Unguja na vitu kama hivyo hizo Mbuga ni kiduchu sana, watu wa first World wanapiga kazi mwaka mzima kisha anataka kukwea pipa kwenda kuondoa stress ufukweni kuogelea, kurelax na totos na kufurahia...
Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza.
Meli hiyo imetia nanga kwenye gati jipya la kisasa lililoboreshwa ambalo ni sehemu ya maboresho yanayoendelea Bandarini.
Tanzania imeweka rekodi ya aina yake baada ya vivutio yake vyote vitatu vilivyoingia katika shindano la kutafuta Maajabu Saba ya Asili Barani Afrika kushinda na kuingia katika orodha ya Maajabu Saba ya Asili Barani Afrika.
Aidha hifadhi ya Taifa ya Serengeti kimetajwa kuwa ni kivutio pekee...
Maelfu ya watalii wameamriwa kuondoka kutoka maeneo yaliyokumbwa na janga la moto nchini Australia wakati taifa hilo likijitayarisha kwa wimbi la joto kali linalotarajiwa kuongeza kasi ya kusambaa kwa moto unaendelea kuwaka.
Moto mkubwa ulioyashambulia maeneo ya kusini mashariki ya nchi hiyo...
Tujuzane machache soko la utalii tunalionaje, kuanzia miaka ya nyuma na hivi sasa hususani ukuaji, maeneo yanayokua, changamoto, muamko wa wazawa (Watanzania) na hata ongezeko la watalii kutoka nje ya nchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.