Kuna mambo kadhaa ya kufahamu kwa kina kabla ya kujadili hili.
Kwanza tuukubali ukweli huu kuwa, kusambaa kwa Corona duniani ndio kuliko pelekea kusimama kwa shughuli za utalii hapa Tanzania. Sio mtu, watu au mamlaka fulani iliyoamuru kusitisha shughuli za utalii hapa Tanzania.
Watalii wenyewe...
Waziri wa utalii Dkt. Kigwangalla leo amezindua video ya kupromote utalii wetu duniani kote.
Dkt. Kigwangalla amesema video hiyo ambayo itasambazwa dunia nzima ikionyesha vivutio vya utalii nchini itawafanya watalii waanze kumiminika Tanzania licha ya mkwamo wa Corona ulioikumba dunia...
Katika sekta ya utalii nchini ambayo Rais Magufuli amesema itarejesha huduma zote wiki ijayo, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amebainisha kuwa tayari baadhi ya watalii wameshaanza kuingia nchini.
Baada ya Serikali kufungua anga kwa ndege za Kimataifa, na kwakuwa huko kwa mabeberu summer time ndiyo hii basi wataslii wameanza kumiminika, na Kufikia mkoani KILIMANJARO.
Hili ni pigo kubwa sana kwa serikali na imemchefua mkuu huku Kigwangala akipongeza bila kujua bosi wake amechukia ila...
Karibu
Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi.
Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake.
=====
Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
Leo raia wapatao 200 wameondoka Tanzania kurudi Uingereza ikiwa ni kundi la mwisho la raia hao kuondoka.
======
UK repatriates 200 British nationals from Tanzania
Two hundred British nationals were on Wednesday, May 20, 2020 repatriated from Tanzania amid Covid-19 pandemic...
Rais amedai kuna watalii walio book safari na kujaza ndege zote toka Ulaya, anajuaje kuhusu hizo ndege, anapewa data na kampuni za hizo ndege? Kwani ukinunua tiketi unasema sababu za safari?
Hizo ndege zilifanyiwa booking toka kabla ya korona, anafikiri wasafiri wata riski kusafiri kuja...
May 20, 2020
Kilimanjaro international airport
Tanzania
RC MRISHO GAMBO ATINGA UWANJA WA KIA KUKAGUA MAANDALIZI YA KUPOKEA WATALII "KUNA VIFAA VYAKUTOSHA"
Hii ni baada ya hotuba ya Mh. Rais huko Chato Geita kuwa sasa watalii waje Tanzania huku wakizingatia maelekezo yote kuhusu afya...
Naibu waziri wa Maliasili na utalii mh Costantine Kinyasu amesema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watalii na wadau wa Utalii kutoka Ulaya wakilalamika kuchoshwa na kufungiwa ndani hivyo wanataka kuja Tanzania kupumzika.
Waziri anasema ameshakutana na wadau wa Utalii hapa nchini kuzungumzia...
Kufungua mipaka kurusu watalii kuja ni suala mtambuka, tunahitaji utalii ni moja ya sekta kuu za uchumi katika nchi yetu (2.5 bln $ kwa mwaka 2019), lakini pia huwezi kupuuzia tishio la Corona. Kitu ambacho serikali na wadau wa utalii wanachopaswa kufanya ni kutengeneza mazingira kufanya watalii...
Taarifa ya pamoja iliyotolewa na tovuti ya kidiplomaisa ya Ureno imesema, mawaziri wa mambo ya nje kutoka nchi 11 za Ulaya wamekubali masharti ya kufungua tena mipaka na kurejesha uhuru wa mawasiliano kati ya wakazi wa Ulaya.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, wawakilishi kutoka Ujerumani, Austria...
Staying during coronavirus
This page gives you guidance on how to stay safely in Tanzania as a visitor, if you are unable to return to the UK.
Everyone should comply with the measures put in place in Tanzania to limit the spread of coronavirus (COVID-19).
Moving around in Tanzania
The...
Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kutuma salaam kwa Taifa leo Mei 17, 2020.
Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito.
Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao.
Inatarajiwa kuanzia mida ya saa sita na nusu mchana (12:30PM) ndipo atakuwa mubashara.
======...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla kupitia twitter ameandika;
Tumeanza kujipanga ndani ya Wizara ili kushawishi serikali yote kukubali namna ya kufungua biashara ya utalii mwezi Juni 2020. Tumefanya utafiti na tathmini (scenario analysis), kuna hatari ya ajira 477,000 kupotea...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mh Kanyasu amewataka watalii waliopanga kutembelea Tanzania kuahirisha safari zao hadi pale ugonjwa wa Corona utakapokuwa umedhibitiwa.
Mh Kanyasu amewataka watalii hao kutofuta safari zao bali waahirishe kupisha hili janga linaloisumbua Dunia kwa sasa...
Nimesoma gazeti la The Citizen la siku ya leo ambapo gazeti hilo limegusia athari za ugonjwa wa corona katika sekta ya utalii hapa nchini hasa kwa mkoa wa Arusha.
Katika habari hiyo,gazeti limegusia madhara machache yaliyojitokeza mpaka sasa ambapo ni pamoja na fleet za tourist vehicles kuwa...
Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini.
Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao.
Hii hali...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania (IGP) Simon Sirro amesema jeshi hilo limejipanga imara kwenye mipaka ili kuhakikisha kwamba watu wanaoingia nchini wanafuata utaratibu na endapo wakibainika kuwa na viashiria vya virusi vya Corona basi hatua zinachukuliwa kwa mujibu wa taratibu...
Serikali ya mapinduzi Zanzibar imesitisha safari zote za ndege kutoka Zanzibar na sherehe zote zinazohusisha wageni kutoka nje.
Waziri wa Afya Zanzibar Mh. Hamad Rashid amesema wamechukua hatua hizo ili kukabiliana na hatari ya Corona iliyoko huko duniani.
Source Star tv!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.