Watalii wanatembea msitu wa minazi katika sehemu ya pwani nchini Vietnam kwa kupanda boti za mianzi. Boti hizo zimevutia watalii wengi ambao kama wakipenda, wanaweza kufurahia ngoma za kitamaduni na kushiriki katika mashindano ya kupiga makasia.
Idadi ya watalii waliotembelea Tanzania miezi mitano iliyopita imeongezeka hadi kufikia 458,048 huku nchi ya Kenya ikiwa ni miongoni mwa nchi zilizoingiza watalii wengi.
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) katika taarifa yake iliyotolewa hivi karibuni kuhusu watalii walioingia Tanzania kati ya...
A court in Iran on Thursday ordered the United States government to pay over $4 billion to the families of Iranian nuclear scientists who have been killed in targeted attacks in recent years, state-run media reported.
The largely symbolic ruling underscores the escalating tensions between Iran...
Kuanzia tarehe 15 hadi 17 mwezi Juni, tamasha la 18 la utamaduni na utalii wa Qici ambalo pia ni tamasha la kwanza la utamaduni na sanaa za Qiuci mjini Kuqa, China lilifunguliwa. Shughuli mbalimbali za kitamaduni kama vile maonyesho ya fataki, maonyesho ya urithi wa utamaduni usio wa mali...
Nilikuwa najiuliza maswali haya.
Mimi sio mtaalamu wa mambo ya utalii.
Lakini nimeingiwa na udadisi kidogo.
Nataka kuwauliza wenzangu.
Hivi upi ni uchumi endelevu Kati ya kuuza wanyama au kuvutia watalii waje kuwatazama?
Naombeni majibu ndugu zangu
Wizara ya utalii imetoa tamko la serikali kuondoa zuio la kusafirisha wanyama nje ya nchi katika mashamba yaliyokuwa na vibali maalumu ya kusafirisha wanyama hao nje ya nchi.
Je, unadhani hii itachangia watalii wengi kuja nchini kwajili ya kuwekeza katika mashamba ya umiliki wa wanyama na...
Balozi wa utalii nchini Tanzania Nangasu werema, amesifia.
Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii 2022/2023 ilisomwa na Waziri mwenye dhamana Balozi Dkt Pindi Hazara Chana Leo Bungeni Dodoma,ambapo amesema Serikali ya Awamu ya Sita imeleta bajeti bora zaidi inayojibu na kutatua matatizo...
Kulingana na takwimu mpya za kiuchumi kutoka Ofisi ya Takwimu ya Kitaifa ya Kenya (KNBS), idadi ya watalii waliofika Kenya imevuka asilimia 85 katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 huku hali ikirejea kama kawaida katika sekta hiyo baada ya kukatizwa na COVID-19.
Takwimu hizo zinaonesha kuwa Kenya...
Kenya na Uganda zinatarajiwa kuanza kufanya shughuli za uuzaji wa pamoja ili kuvutia watalii kutoka nje.
Akiongea kwenye uzinduzi wa maonesho ya barabarani yaliyoandaliwa na Bodi ya Utalii ya Uganda (UTB), Mkurugenzi Mkuu wa Shirikisho la Waendesha Utalii wa Kenya Fred Kaigua amesema jijini...
Hivi mnawaona watanzania kama watoto wadogo kiasi cha kuwadanganya namna hii?
Hii filamu ina nini nyuma yake mpaka muitetee hivi? Kuna nini kimejificha huko?
Haya unayotuambia PM Majaliwa ni kweli?
👇Majaliwa asema filamu ya Royal Tour imeanza kuonesha mafanikio
Mbona TTB walisema watalii...
Siku hizi watalii wanataka sehemu za kupiga picha na kupost intagram, facebook, whatsapp nk nk. Ndiyo maana miji mizuri ndiyo inaongoza kwa kupokea watalii. Mtu hataki kuja kutalii halafu anakutana na takataka, open sewers, makopo ya maji, barabara za vumbi nk nk
Tungerekebisha miji yetu ya...
Tanzania sio Nchi Pekee duniani yenye wanyama hai na mazingira mazuri ya kuvutia watalii.
Kuna nchi mbali mbali duniani ambazo hazina wanyama wala mazingira mazuri ya kuvutia lakini zinapata watalii kwa mamilioni kwa mwaka.
Mfano Mzuri ni Nchi kama Ufaransa watu wanakwenda pale kuangalia tu...
Kama tunavyojua utaliii ni moja ya chanzo kikubwa cha mapato kwa nchi nyingi dunia. Hii ni orodha ya nchi za Africa zilizotembelewa zaidi na watalii kwa kipindi cha mwaka 2020-2021 ambapo kuliku na changamoto ya ugongwa wa Covid-19. SOUTH AFRICA-ilitembelewa na wataliii 2.3...
Habari mbaya sana kwa wenzetu wa Sgang!
Inavyosemwa Maza anafungua nchi Kweli ameifungua! Haya sio maneno yangu someni hapa!
Tumeanza kukamata chati katika kufanya vizuri kwenye mambo mbalimbali
Serikali ya Zanzibar imesema inashirikiana kwa karibu na ubalozi wa Ukraine uliopo nchini Kenya kuangalia ni namna gani itawasafirisha watalii wa Ukraine wapatao elfu moja ambao hivi sasa wamekwama kisiwani humo baada ya kuzuka kwa vita kati ya Urusi na Ukraine.
Leila Mohammed Musa, ambaye ni...
Duniani kuna baadhi ya maeneo ukiyafikiria tuu huwa yanakutamanisha sana kiasi ukatamani siku uende kuyatembelea.. lakini kiuhalisia ni maeneo hatarishi zaidi hapa Duniani. Kiuhalisia Dunia ina maeneo mengi ambayo ni hatari kuyatembelea lakini kwenye uzi huu nitayaongelea machache tuu ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.