Wataalamu niliowahi kuwasikia Tanzania

Mayor Quimby

JF-Expert Member
Mar 13, 2021
2,749
5,827
Uchumi: Marehemu Dr Mgimwa huyu ndio mchumi pekee ambae alikuwa very analytical kwa mazingira yetu on how to apply theories to fit our environment and propel growth. Bahati mbaya hiyo speech yake iliyonigusa siioni tena YouTube.

Banking: Dr Kimei amebobea kwenye finance (you do know banks sell financial products) without going into details huyu mtu ana uelewa how financial economy works.

Dorothy Gwajima management ya afya kwa Tanzania hana mpinzani.

Yupo lecture mmoja wa UDSM mbobezi wa maswala ya elimu nilimsikia enzi zile Star TV wapo live in 2010 (this guy was special katika watu wote Tanzania niliowahi kuwasikiliza kama wataalamu huyu alikuwa level nyingine; natamani ningelikumbuka jina lake).

Wakurugenzi kadhaa wa wizara ukiwasikiliza hawa watu ni very technical kushinda makatibu wakuu tells you kuna shida kwenye teuzi; hawa wengi ndio qualified kuwa makatibu wakuu wa wizara.

Waliobaki halafu wanajisifu viwango vya ujinga kwa vitu wanavyoongea is beyond me.
 
GPA inamgeuka mtu huko hakuna uhusiano wa GPA lake kubwa na anachokifanya
Uwezi kusikia Einstein, Newton, Freud or current prominent educational stars in their fields wanapimwa kwa GPA.

To be an academic super star you need to offer the world a new way of thinking that’s how got the likes of Galileo, Newton, Einstein, etc got to be remembered.

Otherwise dunia ya leo kama theories tu you can master them even without a formal qualification to challenge any expert provided you can evaluate and analyse matters.
 
Kiongozi anaechamba anawezaje kuwa na management nzuri?
Ajakutana tu, na watu wa kwenda nae toe for toe.

Kama waziri wa fedha kwenye finance anapwaya sana ukizingatia sheria za kodi yeye ndio anazitunga na msimazizi and trust me ni mwepesi sana kwenye hayo mambo.
 
Kimei ambaye hana Uwezo mzuri wa kuongea?
Yeah ata mimi nimebaini unachosema ana speech difficulty akipewa time limit hasa bungeni na awezi kuelezea mambo kwa lugha ya layman he is too technical.

Ila soma papers zake au interviews za ana kwa ana ambazo anapewa muda wa kuelezea mtazamo wa jambo fulani hapo ndio uta appreciate uwezo wake.
 
Wameifanyia nini nchi yao zaidi ya kuandika makaratasi, kuhubiri na kupiga porojo tu?

Mtaalaam ni yule anaefanya kwa vitendo anayoyahubiri.
SAWA KABISA.

KAMA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI.

Huyo ndio mtaalamu pekee niliyemshuhudia katika hii nchi toka kuumbwa kwa ulimwengu.
 
Wasomi uchwara wa kukariri makaratasi.

Hawana lolote hao. Wamejaza matheories tu vichwani.
 
SAWA KABISA.

KAMA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI.

Huyo ndio mtaalamu pekee niliyemshuhudia katika hii nchi toka kuumbwa kwa ulimwengu.
Hata yeye hakutumia hiyo taaluma ukemia kwa kufanya lolote. Akajiingiza kwenye siasa ambako nako hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kujimwambafai.
Utaalaam wake aliousomea ni upi, umeisaidia vipi Tanzania au dunia na kwa lipi?
 
Hata yeye hakutumia hiyo taaluma ukemia kwa kufanya lolote. Akajiingiza kwenye siasa ambako nako hakuna cha maana alichofanya zaidi ya kujimwambafai.
Utaalaam wake aliousomea ni upi, umeisaidia vipi Tanzania au dunia na kwa lipi?
Angalau aliweza kuthubutu na kuisimamiq hii nchi bila kulalamika,alikua anatoa mamuzi na anayasimamia

Mapungufu mengine ya kibinadamu katika utekelezaji wa mamuzi huo ni ubinadamu tu. Lakini alijitahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom