Kwa wataalam wa umeme

goodhearted

JF-Expert Member
Feb 15, 2015
944
1,109
Mimehamia nyumba yangu mpya ambayo umeme haujafiaka. Nimeplani ninunue solar ya kawaida tu lakini si hizi za makampuni. Ninachohitaji kujua, tv na sub woofer yangu vyote vina njia mbili ya umeme na ya solar.

Je, nahitaji kuwa na inveta kuviendesha hivyo vifaa? Au njia ya solar naweza connect moja kwa moja bila kuwa na inveta?

Na kwa matumizi ya kuwasha tu tv na taa ambazo hazizidi 3 nahitaji wati ngapi za solar na betri ni ngapi.

Natanguliza shukrani.
 
kama vifaa vina njia ya solar(12VDC), haina haja ya Inverter

weka specs za TV na iyo Bufa, je zina Watts ngapi kila moja,
Kuhusu tv nimepiga picha nyuma ya tv I think ndo specification 👇

Kuhusu bufa kuna mtu anaitumia ila ni hizi za aboda size ya kati

(NB, hapo chini nilimaanisha betri ya 'N' ngapi)
 
Naona picha inaleta wenge kupandisha ila imeandikwa hivi;

Power input: AC100-240V~,50/60HZ

DC12V (-)......(•......(+), 2.6A-4A
 
Kuhusu tv nimepiga picha nyuma ya tv I think ndo specification

Kuhusu bufa kuna mtu anaitumia ila ni hizi za aboda size ya kati

(NB, hapo chini nilimaanisha betri ya 'N' ngapi)
Kwa kuwa umesema unataka kununua solar "ya kawaida" naelewa unaongelea bajeti, lakini kwa matumizi ya solar ondoa mbali kabisa matumizi ya hiyo sub woofer (sio bufa) tumia hizi HiFi ndogo kabisa kawa sababu sub woofer inatumia current kubwa itakua inamaliza betri katika muda wa saa moja tu

Kama bajeti iko sawa nunua panel ya 150watts na betri 2 za 100watts (N100)

Kama bajeti ngumu nunua panel 70watts na betri 1 ya 100watts (N70)

NB: TV kama ni LCD set "power saving mode", sub woofer achana nayo kabisa. Huhitaji inverter unahitaji tu DC cables na labda USB DC charger kwa ajili ya kuchaji simu

All the best
 
kama vifaa vina njia ya solar(12VDC), haina haja ya Inverter

weka specs za TV na iyo Bufa, je zina Watts ngapi kila moja,
Specification za Sub Woofer
Output power 15W+ 8W×2

Impendance 4ohm +4ohm×2

Separarion >=45 dB

DC 12V

Za TV
Power input: AC100-240V~,50/60HZ

DC12V (-)......(•......(+), 2.6A-4A
 
Specification za Sub Woofer
Output power 15W+ 8W×2

Impendance 4ohm +4ohm×2

Separarion >=45 dB

DC 12V

Za TV
Power input: AC100-240V~,50/60HZ

DC12V (-)......(•......(+), 2.6A-4A
Hio bila shaka ni aboda 3119bt ama bh

Haili umeme kabisa hio ni nzuri sana..nina yenye specs hizo ukiweka kwenye 12 volt sauti kubwa tu inakuwa inatumia watts 3 mpaka tano sauti hio inatosha kabisa
 
Kwa kuwa umesema unataka kununua solar "ya kawaida" naelewa unaongelea bajeti, lakini kwa matumizi ya solar ondoa mbali kabisa matumizi ya hiyo sub woofer (sio bufa) tumia hizi HiFi ndogo kabisa kawa sababu sub woofer inatumia current kubwa itakua inamaliza betri katika muda wa saa moja tu

Kama bajeti iko sawa nunua panel ya 150watts na betri 2 za 100watts (N100)

Kama bajeti ngumu nunua panel 70watts na betri 1 ya 100watts (N70)

NB: TV kama ni LCD set "power saving mode", sub woofer achana nayo kabisa. Huhitaji inverter unahitaji tu DC cables na labda USB DC charger kwa ajili ya kuchaji simu

All the best
So wewe unavojua n100 ni watts 100 sio? Ndo mana hesabu zako haziendi vizuri
 
Back
Top Bottom