wasukuma

The Sukuma are a Bantu ethnic group from the southeastern African Great Lakes region. They are the largest ethnic group in Tanzania, with an estimated 10 million members or 16 percent of the country's total population. Sukuma means "north" and refers to "people of the north." The Sukuma refer to themselves as Basukuma (plural) and Nsukuma (singular). They speak Sukuma, which belongs to the Bantu branch of the Niger-Congo family.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Ni jina gani maarufu zaidi kwa makabila ya wasukuma na wahaya ?

    Muhimu naomba jina liwe fupi, lisizidi herufi nane (8) kuna simulizi naiandika nimekwama kwenye majina ya koo maarufu za wasukuma na wahaya, nimekutana na majina mengi sana, natafuta jina za koo maarufu hata watu wa mbali wakisikia tu wanajua asili yake. Mfano mtu akiikia Laizer anajua ni...
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mfanano wa kitabia kati ya Wasukuma na Wapemba

    Nimeishi Pemba na nimeishi Simiyu hiki ndio nilikigundua,hawa watu kuna vitu vingi wanashare,hataukienda Zanzibar kuna wasukuma na wanyamwezi wengi japo usukumani wapemba ni wachache,Zamani pale mwanza kulikuwa na mgahawa maarufu kama Chakechake,wananzengo mnaukumbuka? Twende sasa 1. Kuoa na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Makonda anaeneza ukabila? Ni nini kinamfanya aongee kisukuma huko usukumani?

    Hii tabia ya kuongea kisukuma akiwa mikoa ya wasukuma ni hatari, ni kueneza ukabila. Kwani watanzania wengine hawana lugha yao? Kwanini wasikitumie? Samia unatengeneza bomu. Hilo jamaa halifai anapsua nchi. Kisukuma kilivyo kibaya mi ningeona aibu kukitumia tena karne hii.
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wasukuma wanaoendelea kufanya hizi mila za kimabavu zilizopitwa na wakati wapewe kesi za ubakaji, mabinti waheshimiwe.

    Hata wasukuma walioelimika waliachana na utamaduni huu lakini kuna baadhi ya maeneo bado unaendelea kwa kisingizio cha kudumisha mila, Kuna baadhi ya maeneo ya wasukuma bado elimu ya kuachana na haya mambo haijafika kikamilifu, unawakuta wachungaji wa kisukuma wamevaa mavazi yao ya asili...
  5. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Je, unajua kuwa mwaka wa Wasukuma una siku 364 + 11?

    Tena mwaka wao walimaji huanzia mwezi wa 11. Miaka huhesabiwa kulingana na shughuli za kilimo. Mwezi wa kwanza ni mwezi ninaoandaa mashamba maana hiyo ndiyo shughuli ya kwanza. Ukiwa mbabe na unajitambua, hadi mwaka unaweza kuubadili tu kufuata matakwa yako. Wasukuma sio wa kwanza kufanya...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Makonda anatumiwa kuwapoza wasukuma ili kupunguza makali ya 2025?

    Namnukuu member wa Jf Glenn katika moja ya comment yake namnukuu "Ukweli mchungu Msoga wenye nchi kamwe hawataki hata kumsikia Makonda. Pia Kinana na Makonda haziivi hata chembe" NOTE: Ikumbukwe kuwa CCM jambo lao kuu kuliko yote ni kubaki kuwa Chama Bola chama Tawala iwe kwa namna yeyote Ile...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania CCM wamenasa kwenye mtego wa Wasukuma, hawatoki tena

    Wasukuma ni wengi zaidi Tanzania, ni wachapakazi kwa asili. Wasukuma na wanyamwezi idadi Yao ni kubwa inakaribia theluthi ya Watanzania wote. Pamoja na wingi wao, uchapakazi wao mkubwa na wingi wa rasilimali zilizoko kwenye mikoa Yao, wasukuma walikuwa sio chochote Wala lolote huko nyuma kwenye...
  8. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya teknoloiia zilizogunduliwa locally na katika jamii za nyumbani

    Jana nimekaa nikatafakari sana; Hivi ni nani anayesemaga kwamba waafrika hawajagundua chochote cha maana? Isije ikawa cha maana anachokiona yeye ni mawasiliano tu, sijui na kupaa au kurusha vitu angani😢 Kimsingi ugunduzi huwa unatakiwa kutatua changamoto ya watu husika kwanza kabla haujafika...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Wasukuma kufuga fisi

    Ningekuwa nikisikia eti Kuna maeneo hapa Tanzania Wana ufugaji wa fisi. Wasukuma watani sijui niseme? Jambo la kujiuliza TANAPA wanalichukuliaje Hilo? Na vipi kwa Nini visiwepo vivutio vya utalii kule sengerema na gamboshi wazungu wakaleta pesa ya kigeni ya kuangalia fisi. Anyway mtwambie...
  10. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Wachukie Wasukuma uwezavyo lakini kaa ukijua wamebarikiwa sana

    Thread kadhaa huanzishwa hapa jf kuwakandia na kuwasiliba Wasukuma. Wapo wanaosema mara Wasukuma hawaogi. Mara Wasukuma ni washirikina. Mara Wasukuma ni washamba . Yote hayo inaweza kuwa Sawa lakini kaa ukijua hawa watu wamebarikiwa Sana. Nimeishi Kanda karibu zote nchi hii hadi Zanzibar Ila...
  11. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Wasukuma na neno "ukarimu"

    Watu wengi wamekuwa wakiwasifu ndugu zangu kabila la kisukuma kwa kuwa wakarimu, lakini pia kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiwananga Wsukuma kwa kuwasema kuwa hawana ukarimu bali ni watu wenye roho mbaya, hii ni asilimia ndogo ukilinganisha na ile inayowasifia wasukuma. Ukweli ni huu hapa...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaosema Wasukuma ni Wakarimu, wana upendo halafu muda huo huo wanapenda ushirikina na Uchawi, hawajui kile wanachokisema

    Bila Shaka mpo Pouwa! Miaka na miaka nimekuwa nikisikia Watu wakisifia baadhi ya makabila Kwa Sifa nzuri, moja wapo ya Makabila yanayosifiwa ni pamoja na Ndugu zangu Wasukuma(kwani Mimi ni Mnyamwezi). Sifa wapewayo ni Upendo, ukarimu na kuwa Watu Wema. Lakini muda huohuo utasikia Wakiimbiwa...
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wasukuma wenzangu inaitwa Threads sio Sealed

    Nawakumbusha tu leo nimecheka jamaa mmoja anasema ritandaoo rimoja kama twitta rinaitwa sealed. Mmmh nikauliza sio threads hapaana anamilik riree rijamaa ra FB oooh Nikajua threads... Rooo tuwakumbushee na majiran zetu wa shy jamani sio sealed ni threads
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wasukuma mnapoongeza wake muongeze na mashamba

    Rais Samia Suluhu amesema hayo wakati aliposhiriki tamasha la utamaduni la Buyalo mkoani Mwanza. Rais Samia Suluhu aliwasisitizia wakulima kuhifadhi chakula ili kiweze kuwasaidia wakati wa uhaba wa chakula. Aidha aliwatania wasukuma kwa kuwaambia wanapoongeza familia akumbuke kuongeza na...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Operesheni imeanza. Ukraine wasukuma Warusi nyuma kilomita sita

    Muda umefika wa vijana wa Ukraine kuchukua kilicho chao, walichoachiwa na mababu zao, mito yao, milima yao, mashamba yao, ni mwendo wa mbele kwa mbele, nitawahabarisha humu hadi basi furaha hadi nahisi kuumwa, nakumbuka ilikua raha hivi wakati ule msafara wa kwenda Kyiv ulipigwa na wabeba...
  16. Joannah

    JamiiForums Tanzania Sukuma liwe kabila tambulishi la mtanzania

    Jamani kwema? Mambo yasiwe mengi ngoja niende kwenye Jambo lenyewe,Katika hekaheka nazopewa na mwalimu ulimwengu wiki hii nimejikuta nipo usukumani ndani kabisa,nimekutana na kina Ngosha original achana na Hawa kina Ngosha wa mjini kina Shimba ya Buyenze ,kiukweli nimefurahi Sana kufika huku...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Sukuma gang ni itikadi siyo kabila

    Sukuma gang ni itikadi liyoasisiwa na Magufuli inayoamini katika ukatili unaohusisha matusi, utekaji, uporaji, mauaji na uonevu. Kwahiyo itikadi hii isihusishwe na kabila la Wasukuma. Mfano, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ndugu Sabaya yeye ni Sukuma gang lakini siyo Msukuma. Wengine ni...
  18. nyboma

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: 1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. 2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
  19. YE67NBE

    JamiiForums Tanzania Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani 🤔

    Wakuuu za sahizi, Kwenye safari yangu ya elimu nime bahatika kukutana na wasukuma na wahaya wengi kwanzia shule za msingi mpaka saivi chuoni Lakini jambo linalo nishangaza ni kuwa hawa jamaa wana akili mingi sana za darasani wengine hata hawasomagi ila combi ngumu ngumu kama PCM NA PCB...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: wanawake wajita na wasukuma wanajua kupenda hadi raha

    Hello JF, nimeonja utamu wa kupendwa na wanawake mjjita na msukuma kwa hakika wanamaanisha hawa viumbe wananipea full shazi, nitashiriki harakati zote za kuwajengea minara, Popote mlipo wenye shuhuda hizi tushiriki kuwatambua tuwape nishani za kipekee. Uwiano wa ahadi na matendo yao wako...
Back
Top Bottom