Wasukuma kufuga fisi

Sep 17, 2023
14
32
Ningekuwa nikisikia eti Kuna maeneo hapa Tanzania Wana ufugaji wa fisi.

Wasukuma watani sijui niseme?

Jambo la kujiuliza TANAPA wanalichukuliaje Hilo?

Na vipi kwa Nini visiwepo vivutio vya utalii kule sengerema na gamboshi wazungu wakaleta pesa ya kigeni ya kuangalia fisi.

Anyway mtwambie Siri ya mafanikio maana viumbe wale Ni wakali mno
 
Wasukuma na wanyaturu fisinni ndugu Yao Wana ukaribu Sana nao huwaguga kimiujiza hata serikali haiwezi kujua ni sehemu ya Mila zao
 
Ningekuwa nikisikia eti Kuna maeneo hapa Tanzania Wana ufugaji wa fisi.

Wasukuma watani sijui niseme?

Jambo la kujiuliza TANAPA wanalichukuliaje Hilo?

Na vipi kwa Nini visiwepo vivutio vya utalii kule sengerema na gamboshi wazungu wakaleta pesa ya kigeni ya kuangalia fisi.

Anyway mtwambie Siri ya mafanikio maana viumbe wale Ni wakali mno
namchukia kinoma huyo mdudu,
aliwahi zama nyumba ya mbuzi home akawatafuna mbuzi sana,

kwenye kutoka ikawa purukushani akaachia kiharisho cha hatari kilifuka moshi kuanzia saa12 asubuhi had saa4 dude linatoa moshi tu, ana choo cha kutisha huyo mnyama aise
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom