The Sukuma are a Bantu ethnic group from the southeastern African Great Lakes region. They are the largest ethnic group in Tanzania, with an estimated 10 million members or 16 percent of the country's total population. Sukuma means "north" and refers to "people of the north." The Sukuma refer to themselves as Basukuma (plural) and Nsukuma (singular). They speak Sukuma, which belongs to the Bantu branch of the Niger-Congo family.
Kwa Tanzania hii inawezekana hawa jamáa wanaongoza Kwa ndumba, hawampeleki mgonjwa hospital lazima waanze na kienyeji Kwanza au vyote Kwa pamoja
Kuna science ya uchawi hutaiona sehemu yoyote Tanzania. Hata hao wabunge wao waoneni tu hivi hivi 90% ,ni washirikina vibaya Sana na wengi wao...
Kwa kweli sisi ni washamba sana na malimbukeni.
Sisi ndiyo tunaouza ng'ombe tukale chips kuku na wanawake.
Uchawi tumo sana, UMUGHAKA anaujua muziki wetu.
Sisi ndiyo tunapiga mapicha na mapozi ya ajabu.
Kupiga wrong number sasa.....dadad dadada dadadaaa.
Sisi ndiyo tuna kila kitu cha ajabu...
No research no right to speak.
Nimefanya research yangu kwa muda mrefu nimegundua kwamba Wasukuma wanalipenda sana jina la Jose. Ukienda Mwanza na Shinyanga utakutana na akina mama jose na Jose wengi saana.
Katika wasukuma 10 basi wakuma 3-4 wanaitwa Jose. Hapa mtaani niliko sio usukumani...
Rais Samia yupo Mkoa wa Mbeya kikazi kwa siku nne leo ni siku ya tatu. Yupo Rais pale na ujumbe wake. Pili tukio liko LIVE watanzania wote wanaliangalia na kufuatilia. Hasa wabunge ni washamba zaidi ni Spika tu ndiye mwelewa.
Kwanini wanaongea kilugha wanapandikiza kitu gani? Kwamba lugha...
Naliangalia suala la Ngorongoro, Loliondo, Handeni na sasa huko Songea, Katavi na hata wale waliovurumishwa bonde la Ihefu kwa jicho tofauti.
Imefika muda wenzetu hawa Waasaai, na siye wasukuma na jamii za kifugaji, inabidi kubadilika na wakati.
Watu wanaisi karne ya 17 kwa kutembeza mifugo...
Kuna kelele nyingi sana kufuatia dhamira njema ya serikali ya kuwaondoa wamasai kwenye pori tengefu la Loliondo.
Kwanini wamasai wa Loliondo wanataka wawe na special treatment nchi hii?
Awamu ya 4 iliwaondoa wafugaji maeneo ya bonde la Usangu, Ihefu, na Ujiji lkn hakuna aliyepiga kelele. Why??
Mzee Lukuvi sio msukuma ila ni sukuma gang.
Paramaganda Kabudi sio msukuma bali ni Sukuma gang.
Job Ndugai ni Sukuma gang lakini sio msukuma.
Luhaga mpina ni Msukuma lakini mpinga ufisadi.
Bashiru Ally Kakurwa ni Sukuma gang na sio mzukuma.
Pascal Mayalla ni sukuma gang ni msukuma...
Kwanza lazima nitangulie kusema tuko karne ya 21.
Hatuko karne ya 19 au 20, ambapo si mbali sana jamii za kiafrika tulikuwa bado hunters, gatherers na herders.
Sasa hii siasa na sera ya kusema mtanzania yeyote ana haki ya kuishi popote, ni sawa, lakini ina mapungufu makubwa.
Sera hii haiwezi...
Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini sasa kunaibuka makundi ndani ya CCM Dr Diallo amesema na yeye anasikia tu kwamba kuna makundi likiwemo Sukuma gang.
Diallo amesema Mwanza ndiko waliko Wasukuma original lakini wote wanamuunga mkono Rais Samia ambaye ni Chifu wao...
Ni leo tena.
Mheshimiwa Rais amewatupia lawama Wasukuma kwa kuharibu vyanzo vya maji katika maeneo mbalimbali hapa nchini kwa sababu ya ufugaji wao wa ng'ombe wengi.
Nia yangu bayana kwenye andiko langu ni kumshauri Rais ikiwezekana ajizuie kuwataja moja kwa moja Wasukuma kwenye hadhira kwa...
Hakuna asiyejua kwamba Wasukuma ndio wengi hapa nchini. Na kwa Hari ilivyo unaweza sema wako kila kona ya nchi.
Wasukuma hawajawahi kubishana mambo ya ukabila hadharani wao ni nduhu tabu (yaani hakuna shida).
Hizi choko choko dhidi yao ipo siku zitaamsha hisia za ndani na wataanza kushirikiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.