The Sukuma are a Bantu ethnic group from the southeastern African Great Lakes region. They are the largest ethnic group in Tanzania, with an estimated 10 million members or 16 percent of the country's total population. Sukuma means "north" and refers to "people of the north." The Sukuma refer to themselves as Basukuma (plural) and Nsukuma (singular). They speak Sukuma, which belongs to the Bantu branch of the Niger-Congo family.
Hapo zamani wasukuma wote walianzia futi 5 na inch 8 sio mwanamke sio mwanaume
Tukija kwa ndugu zetu waha,kule kuna vibinti vina futi 4 na point,hata kuku wa kigomani wadogo wadogo na wepesi, ng'ombe wa kigoma halikadharika, ni wadogo wadogo, mahindi ya kigoma ukikoboa sembe yanakupa uzito...
Hii ni dharau kwa Wasukuma
Kuwasomba kwenye mikokoteni halafu mnawachinjia ng'ombe na kondoo misikitini ili kuwalisha .
Ila mabalozi wa nyumba tisa ya kumi ni ya mjinga mnawapa BAISKELI kuwapumbaza waende kutik mpate vinono vya kuwatawala na nyiye mnapanda VXR na V8 kila mnakopita kuwahutubia...
Wasukuma wana mioyo ya plastic
Wao kila kitu ni " no taabu"
CCM Jana wameenda wakawajaza kwenye malori kama mifugo kwenda kwenye mkutano wa Hangaya
Kwenye malori wamepakia hadi watoto wa shule, watu wamepata ajali na kufa
Hivi hii jamii inashindwa kuhoji binadamu anapanda vip lile Lori...
Wakuu nimevumilia hili lakini naona linazidi.
Siku hizi kuna wimbi kubwa la watu wameona kuandika maudhui ya kukejeli kabila la wasukuma ni ujanja ama ni Content ! Na wengine wasiojielewa huendelea kukoment upumbavu na kuchekelea🇹🇿
Kuna majitu yanafurahia sana hizi kejeli ,kwani wasukuma...
Kuna wimbo wa DMX unaimba move..... get out of my way.... Ole wake aletaye kikwazo ni kulala nae mwendo wa ngiri wanasema R Chugas.
Tuendelee kunywa mtori.
No reform no election
Habari zenu wana jf… hongereni kwa ibada kwa mlioenda na wengineo ambao mpo sehemu za starehe nawasalimia
Nataka nijue wasukuma ni watu wa haina hii au huyu wangu nimemuokota tu
Nipo na huyu mkaka almost 9 months lakini ila Naona kama hatuna chemistry au mimi ndio nina...
Habari wana jf.
Naomba kama kuna wasukuma org. humu ndani wanisaidie mila na tamaduni za kisukuma wanazoamini ni zao, wanapaswa kuziish.
Mim ni msukuma fake(mama mnyarwanda, baba msukuma) watoto tumekulia mjini.
Kwa atakae faham ani ainishie tafadhari, najua humu majibu ni uhakika..
Majibu...
Nimekuwa nikijiuliza hili swali tangu nikiwa Sekondari na sijawahi kupata jibu.
Wakoloni walikuwa wanahusisha baadhi ya jamii kwenye elimu, Biashara, Uongozi, Kueneza Dini, Ulinzi, n.k. lakini inashangaza kuona wasukuma ambao ni kabila kubwa zaidi hawakuhusihwa, why ?
Ni kwamba nje ya...
Kweli hii kampeni ya 'no reform no election' ni wa wazungu wa EU wenye malengo wanayoyajua wenyewe. Unatumia lugha yao ambayo huku usukumani wanayaimba kama kasuku na kuyatamuka kwa lugha yao ya kisukuma.
Bado nahangaika ku upload hapa hiyo video clip niliyopiga ya mkutano huo wa wasukuma...
Hawa jamaa ni wengi na bado wanazaliana kama siafu
Kisiasa inawapa advantages ya kiutawala yani wanaweza kuamua Rais awe nani
Wakiamua kuitoa CCM madarakani itakua kazi rahisi sana.
Ponapona ya CCM ni kutoruhusu upinzani utie kambi mikoa husika vinginevyo itabaki story
Siasa za Kenya huwa...
MTANZANIA Mzalendo, Thomas Nkola maarufu Mkulima kutoka Kanda ya Ziwa ametoa wito kwa wakulima wote wa zao la Pamba kuandaa mashambulizi ya kumkataa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa kuua zao la Pamba kwa kumtuhumu kuwa ni mnunuzi mkubwa wa zao hilo akishirikiana na baadhi ya wabunge.
Kupitia...
Wiki iliyopita nilikuwa Magu Masanza kona kuna msiba mzito,baba wa mji aneaga dunia,Nzengo yote iko pale marehemu ameacha mke na watoto na wajukuu.
Kilichonishangaza msiba mzima waliokuwa wakilia hawazidi wanne,tena hata katika nyakati ngumu za kuaga na kuzika.,Mtoto wa marehemu yuko bize na...
Great Thinkers
Hawa jamaa kwenye Kuimba wana dunia yao aisee na havana mpizani hapa Tanzania.
1. Msukuma humwambii chochote kuhusu nyimbo zao za asili, tembelea uskumani kama utakuta singeli never
2. Wana wasanii wao ambao kwa kweli wanaimba vizuri sana kama Elizabeth, kisima, kadochiza...
Haya yameandikwa katika kitabu Zamani Mpaka Siku Hizi. Inadaiwa Wahima(Watutsi ni Wahima walioelekea magharibi kwenye vilima vilivyoitwa Tutsi) Walipotoka kaskazini kwenye karne ya 14 walikuwa na nguvu na maarifa mengi. Hilo liliwafanya kila walikopita, kuanzia Uganda hadi Kusini Mashariki ya...
Wakuu nimebahatika kupanga huku mitaa ya gongo la mboto, mombasa sasa hapa nilipopanga huyu bwana mdogo dada kaolewa hapa na mwanajeshi basi kijana anaona kamaliza asalimii wakubwa na wakubwa tukiamua kumpa hi dogo aniitika kwakujisikia sana.
HIVI inakuaje mtu asie na mbele wala nyuma anakua na...
Amani iwe kwenu watanzania wote
Kumeibuka tabia ya watu wengi kutokujua ni nini maana ya ushamba, na hii yote inachangiwa na watu kutokuwa na elimu vyema , hasa ukizingatia kuwa CCM wamewanyima watanzania elimu iliyo bora ili waendelee kuwatawala inavyotakiwa yaan kisawa sawa
Watanzania wengi...
Amani iwe nanyi nyote (BabaParoko)
Enzi hizo hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa kawaida kabisa Mzee wa kisukuma kwenda kumtafutia kijana wake binti wa kuoa. Mara zote walikuwa hawakosei mfano ni babu yangu kuwatafutia baba zangu wote wanawake wa kuoa na akalifanikisha wote akiwamo na baba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.