Wachukie Wasukuma uwezavyo lakini kaa ukijua wamebarikiwa sana

Orketeemi

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
4,319
10,022
Thread kadhaa huanzishwa hapa jf kuwakandia na kuwasiliba Wasukuma.

Wapo wanaosema mara Wasukuma hawaogi.

Mara Wasukuma ni washirikina.
Mara Wasukuma ni washamba .

Yote hayo inaweza kuwa Sawa lakini kaa ukijua hawa watu wamebarikiwa Sana.

Nimeishi Kanda karibu zote nchi hii hadi Zanzibar Ila Usukumani ni kiboko.

1. Hawa watu Wana uzazi Sana ,. Wasukuma hawahangaiki Kwa waganga kutafuta mimba wao wakigusa mwanamke Tu mimba chap, Usukumani mapacha kila Kona
2. Wasukuma ni wachapakazi Sana , hakuna msamiati uvivu Usukumani.

3. Wasukuma ni wakarimu sana. Pamoja na kuwa na familia kubwa lakin Msukuma kumkirimu mgeni ni Jambo la lazima kwake.

4. Ardhi Yao imebarikiwa,, Wana kila kitu hawa watu,, ardhi yenye rutuba, samaki na madini . Kama unadhan nanasi tam zipo Chalinze basi ukifika Geita utajua hujui.

5. Wasukuma Wana afya za uhakika na miili ya kibantu haswa. Wasukuma si Kama wabena , waha au wangoni kwamba wakikalia kiberiti miguu haifik chin

6. Wasukuma Wana msimamo Sana,,, Msukuma akisema no ni no tena big noo

7. Wasukuma wanaushirikiano Sana. Usukumani Hadi Leo watu wanafanya kazi za kilimo kijamaa.

8. Wasukuma wana vipaji Sana, Kama ulikuwa hujui basi kaa ukijua MRISHO Ngasa ni Msukuma, Marehem Kanumba ni Msukuma, hata hum jf vipaji vya kisukuma ni Moto mfano Mtu Kama Analyse ni mtunzi hatar. Hata UMUGHAKA anaonekana Msukuma Tu japo anadai ni mkurya

Hayo ni machache Tu katika mengi waliyobarikiwa hawa watu.

Itoshe kusema Tu kwamba kelele nyingi za kuwaponda Wasukuma hutokana na wivu tu ,, maana mti wenye matunda........
 
Wasukuma mbona mnajihisi vibaya? Wasukuma mko vizuri sana.

Labda lingine nalojua Wasukuma wanapenda kufanya jambo ili wasifiwe! Na ukitaka msukuma akupe kitu msifie tu!
 
Thread kadhaa huanzishwa hapa jf kuwakandia na kuwasiliba Wasukuma.

Wapo wanaosema mara Wasukuma hawaogi.

Mara Wasukuma ni washirikina.
Mara Wasukuma ni washamba .

Yote hayo inaweza kuwa Sawa lakini kaa ukijua hawa watu wamebarikiwa Sana.

Nimeishi Kanda karibu zote nchi hii hadi Zanzibar Ila Usukumani ni kiboko.

1. Hawa watu Wana uzazi Sana ,. Wasukuma hawahangaiki Kwa waganga kutafuta mimba wao wakigusa mwanamke Tu mimba chap, Usukumani mapacha kila Kona
2. Wasukuma ni wachapakazi Sana , hakuna msamiati uvivu Usukumani.

3. Wasukuma ni wakarimu Sana. Pamoja na kuwa na familia kubwa lakin Msukuma kumkirimu mgeni ni Jambo la lazima kwake.

4. Ardhi Yao imebarikiwa,, Wana kila kitu hawa watu,, ardhi yenye rutuba, samaki na madini . Kama unadhan nanasi tam zipo Chalinze basi ukifika Geita utajua hujui.

5. Wasukuma Wana afya za uhakika na miili ya kibantu haswa. Wasukuma si Kama wabena , waha au wangoni kwamba wakikalia kiberiti miguu haifik chin

6. Wasukuma Wana msimamo Sana,,, Msukuma akisema no ni no tena big noo

7. Wasukuma wanaushirikiano Sana. Usukumani Hadi Leo watu wanafanya kazi za kilimo kijamaa.

8. Wasukuma wana vipaji Sana, Kama ulikuwa hujui basi kaa ukijua MRISHO Ngasa ni Msukuma, Marehem Kanumba ni Msukuma, hata hum jf vipaji vya kisukuma ni Moto mfano Mtu Kama Analyse ni mtunzi hatar. Hata UMUGHAKA anaonekana Msukuma Tu japo anadai ni mkurya

Hayo ni machache Tu katika mengi waliyobarikiwa hawa watu.

Itoshe kusema Tu kwamba kelele nyingi za kuwaponda Wasukuma hutokana na wivu tu ,, maana mti wenye matunda........
3&5 well done!
Cc: National Anthem
 
Back
Top Bottom