wasomi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MR BINGO

    JamiiForums Tanzania Ticket ya South Korea: Msomi vs Msanii

    salaam Jf Katikat safari ya hivi karibuni ya "Mama kizimkazi" ya kwenda katikat moja ya mataifa yaliyoendelea kiteknolojia katikat kipind kiufupi Cha miaka 40 iliyopita south Korea, Hawa south Korea wako katika four tigers of Asia wako pamoja na Hong Kong, Singapore,and Taiwan. Hizi ni moja...
  2. La3

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vitengo vya masoko vya mashirika ya umma na binafsi visimamiwe na wasomi kutoka jamii za wanaojua kuendesha biashara Ili kuongeza ufanisi

    Kumekuwa na changamoto ya kukosekana kwa ufanisi katika uendeshaji wa mashirika mbalimbali ya uma na makampuni binafsi hapa nchini Tanzania kwa muda mrefu sasa. Ndio maana kuna mashirika kadhaa ya serikali yalibinafsishwa mfano, viwanda kama zana za kilimo (zzk) kule Mbeya ambacho hakifanyi...
  3. Mr Bakari Yusuph

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali tusaidieni wasomi kwa kutekeleza mfumo huu

    Chanzo: mtandaoni Tatizo la ajira ndugu wa Tanzania limekuwa janga kubwa sana kwa vijana waliohitimi vyuo mbali mbali nchini ,Serikali inajaribu kifanya juu chini kuweza kupunguza makali yake.Wahitimu wengi wamekuwa wakitapatapa kujikwamua kimaisha kwa kutafuta ajira pamoja na mitaji kwa ajiri...
  4. instagramer

    JamiiForums Tanzania Tusipowakemea hawa wabunge wanaobeza elimu yetu na wasomi wetu, tutazalisha Taifa la hovyo kabisa

    Habari wanabodi... Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na kiteknolojia. Lengo la kuandika huu uzi sio kuwataja hao wabunge au kuwadhalilisha bali ni kuwakosoa ili...
  5. Travelogue_tz

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Wasomi: Mabadiliko ya mitaala hayahitaji hisia; kurugenzi ya Mafunzo ya Wizara ya Afya ifuate kanuni.

    Mkufunzi Mstaafu na Mbobezi wa Mitaala. Siku chache zilizopita niliona andiko katika mitandao ya kijamii lenye kichwa cha habari, “BILA ‘D’ TANO HAUSOMI FAMASIA” na katika andiko hilo kulikuwa na picha ya Mfamasia Mkuu wa Serikali. Nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu habari ile nikagundua kuwa...
  6. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Mfumo mbovu wa elimu ndio unazalisha ukosefu wa ajira kwa wasomi vijana wa kitanzania

    Wadau habari za muda poleni na majukumu ninaomba kuuliza kwa wazoefu kwa nini serikali aitaki kuona elimu yetu imepitwa na wakati wabadili mfumo wa elimu uliopo uwe kama nchi zilizoendelea ili nasisi tuweze kupunguza matatizo ya kukosa ajira kwa wahitimu wa chuo.Mfano unakuta ajira zimetangazwa...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasomi na wahitimu wa vyuo mtaani, nafasi za uongozi Serikali za mitaa na udiwani 2025 zinawahitaji sana

    Kuna wasaka fursa za ajira wenye zaidi ya miaka mitano mijini wanapambana, lakini kwa bahati mbaya hakijaeleweka mpaka sasa hivi. Poleni sana, na pongezi nyingi kwa bidii, ustahimilivu, subra na moyo wa kutokukata tamaa katika kutimiza ndoto zako. Hebu tafadhali vijana ndugu zangu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo wa kutambua wasomi

    Mfumo wa kutambua wasomi wote nchini Katika miaka ijayo serikali chini ya wizara ajira na kazi itengeneze mfumo maalumu wa kutambua wasomi wa kada zote nchini na kwa hatua zote za elimu .mfumo huo utakao tumiwa na wasomi kuweka taarifa zao za elimu. Hii itamuwezesha muwajiri wowote nchini...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini nafurahishwa sana na nazikubali mno Nyodo na Dharau za Dotto Magari ambazo ni Chungu Kwetu Wasomi, Wabaguzi na wenye Dharau kwa Masikini?

    1. Wasomi wengi tuna Dharau kwa wale Wasiosoma 2. Wasomi wengi ni Wabaguzi hasa kwa wale Wasiosoma 3. Wasomi wengi tunadhani Kusoma sana ndiyo kuyapatia Maisha 4. Wasomi wengi tunaishi Maisha ya Kuigiza wakati kiuhalisia tuna Shida Milioni kidogo 5. Wasomi wengi tuna Roho Mbaya iwe Makazini...
  10. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa Tanzania ni vigeugeu?

    Nilipokuwa "mdogo", niliaminishwa kuwa wasomi si wanasiasa na hata wakiwa kwenye siasa husimamia misimamo yao ya kisomi. Lakini baada ya kuanza kufuatilia mambo ya kisiasa, nilibaini kuwa si wasomi wote wanaoweza kusimamia misimamo yao nyakati zote, hasa misimamo yao inapohatarisha "ugali" wao...
  11. Gilbert Prudence

    JamiiForums Tanzania Vijana wasomi wanapitia wakati mgumu maisha baada ya vyuo

    Maisha baada ya chuo ni magumu sana, mtu unaweza kuwa unajitafutia riziki mfano boda boda unakutana na disappointments nyingi. Kuna watakaokwambia kuwa umesoma Kwa ajili gani na unafanya kazi duni lakini watawala watatuita maafsa, ila yote ya yote ni kufocus na kujituma ukiwa unasubiri miujiza...
  12. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma PhD: naombeni mawazo yenu

    Wasalaam! Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye elimu ya degree mbili, bachelor of education na masters of public administration. Ila maisha yangu yote nimefanya kazi kwenye sekta ya elimu nilianza kama ticha baadae nikaamia kwenye development projects za education. Kwa sasa nipo free, nimepata...
  13. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Wasomi tusaidieni kuunganisha mashirika ya ndege Afrika

    Wataalamu wasomi na wanamajumui kwa kuweka ubinafsi kando na uafrika mbele, hili jambo kama si leo ni siku zijazo laweza leta mapinduzi chanya katika kujikwamua na kuamsha shughuli nyingi za kiuchumi kijamii kiafya n.k. Hebu wasomi tusaidieni tufanyaje? Zingatia kama sio fitna leo East Africa...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

    Wanapuuza elimu? Uwezo mdogo wa darasani? Hawataki elimu dunia ? Sio kwamba waarabu hawapo kabisa hivyo vyuo lakini idadi yao ni ndogo Mfano mdogo ni idadi ya mataifa yanayoongoza kwa wahitimu kwa mwaka jana 2022/23 chuo cha Havard, hii ni kutoka moja kwa moja kwenye tovuti ya Havard Havard...
  15. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Wasomi Mzumbe University mmekosa viwango mazishi ya Dkt. Kamala

    Katika ibada ya mazishi ya Dkt. Kamala, wasomi wenziwe waliamua kuvaa full Academic gear kuonesha usomi wa marehemu Dkt. Diodorus Kamala. Sasa msomi mmoja, tena yuko mbele kabisa , KAVAA RABA! Hapo nimechoka! No wonder tuna wasomi ambao hawajapikika! Wasomi Mzumbe University mmekosa viwango.
  16. F

    JamiiForums Tanzania Wasomi msio na ajira mje hapa tulonge, mnataka nini hasa?

    Napenda kuchukua maoni ya wasomi hasa vijana waliomaliza vyuo siku za karibuni na nitayafanyia kazi kuona wasomi wetu mnawezaje kutumia elimu yenu na kuchukua nafasi zenu katika jamii ya watanzania na kwingineko duniani. Je wewe ni msomi usiye na ajira na unapenda kuwa katika pool ya wasomi na...
  17. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Wasomi hawa wafuatao, wafikishwe mahakamani haraka sana!

    Heko Hayati JPM kwa uamzi huu ambao hukusikiliza kelele za wachumia tumbo na wanasiasa wajaza tumbo, kwao nchi badaye ila tumbo ndio kipaombele chao. Miongoni mwao mwa wanaohitajika kufika kwa pilato ni, Waziri Nape na Waziri January Makamba, hawa ndio walikuwa msitari wa mbele kama wanasiasa...
  18. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Ni lini Kanisa Katoliki litasimama kuliomba radhi taifa hili kwa kutuzalishia wengi wa wasomi wasio wazalendo?

    Friends and Our Enemies, Italian philosopher and poetry Dante Alighieri,who partly was influenced by Muslim Philosopher Ibn Sina used to say that 'how you do anything is how you do everything'... Kilchotokea kwenye Taifa hili mara baada tuh ya nchi hii kupata uhuru ni kupambana na maadui...
  19. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Vijana Wasomi wakimbilia fursa mlima Kilimanjaro

    Kama unadhani vijana wanaojihusisha na kazi ya kubeba mizigo ya watalii ndani ya hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimajnjaro(KINAPA) maarufu kwa jina la 'wagumu' ni vijana wasijiotambua na ambao hawajaenda shule,pole yako. Sasa unaambiwa miongoni mwa wanaobeba mizigo ya watalii ni wasomi wa vyuo...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Nimesoma maoni ya Chadema kuhusu miswada mitatu; Je, huu uchambuzi umefanywa na wasomi wa Tanzania au wa Havard University?

    Kama tunasoma vyuo vilevile bila kujali vyama vya siasa tunavyotoka, kwanini CHADEMA wawe na timu inayoweza kufanya uchambuzi wa kina na usio na upendeleo (biasness) kwa kiwango hiki? Kwa uchambuzi huu waliofanya, naamini hakuna maoni yaliyochambuliwa kama ya hawa watu. Taasisi na mashirika...
Back
Top Bottom